KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
katiba inasema ubaya ubwela!Wao wenyewe wanasema eti wanakuza lugha.
Famasikhara, nini?
Hivi kuna mtu mwenye hatimiliki ya lugha? Katiba inasemaje???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
katiba inasema ubaya ubwela!Wao wenyewe wanasema eti wanakuza lugha.
Famasikhara, nini?
Hivi kuna mtu mwenye hatimiliki ya lugha? Katiba inasemaje???
✅Kurogwa
Ni zalula au dharura siyo?Hakuna dharula kwenye kiswahili
Urozi au ulozi?
Una tatizo la matumizi ya "H". Hivi, sio ivi
Mkuu ni mtaalamu wa lugha? Kama sivyo inabidi tupate muongozo wa Bakita.Inategemea na aliyekusahihisha ni nani, maana huyo huyo akakwambia siku moja "mwanao amekuwa..." badala ya amekua
Kwa usahihi zaidi ni, "mwanao amekua. Amekuwa kijana sasa
Hii ni ndogo san mkuu 😁😁 zalula kachemka vibaya labda watu wa dasilamuNi zalula au dharura siyo?
Utakuwa umezaliwa 2003 weweMkuu, hivi kubananga ndiyo kuyatimba?
Ndugu zangu wa Kongo huwa wanatamka u' r'ozi ila jf niliambiwa ni ulozi nikakubaliUrozi au ulozi?
Urozi ama ulozi?Una tatizo la matumizi ya "H". Hivi, sio ivi
Hiyo kurogwa na kulogwa yaweza kutumika sambamba bila shaka, ila sahihi zaidi ni kulogwa
UloziUrozi ama ulozi?
Kurogwa ni wakurya wanatamka hivyoNdugu zangu wa Kongo huwa wanatamka u' r'ozi ila jf niliambiwa ni ulozi nikakubali
Mimi ni mkuryaKurogwa ni wakurya wanatamka hivyo
Kwa hiyo kurogwa ni makosa .Ulozi
inategemea umerogwa na nani!Kwa hiyo kurogwa ni makosa .
Huwenda ni kweli mkuu, ila kumbuka lugha yetu adhimu ya kiswahili ni lugha pana kwa hiyo siwezi nikafahamu kila neno. Naomba kueleweshwa maana yake🙏Utakuwa umezaliwa 2003 wewe
Ni kweli inabidi tupate mwongozo wa Bakita maana binafsi ni mswahili wa kawaida. Natumia ujuzi niliojifunza darasani. Kwa neno lako hilo ni huyo huyoMkuu ni mtaalamu wa lugha? Kama sivyo inabidi tupate muongozo wa Bakita.
Na je, huyo huyo ni sawa sio huyohuyo?
sio makosa. kurogwa ni sahihi.Kwa hiyo kurogwa ni makosa .