Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Zinapark wapi mkuu?Kwamba ambullance hizo zimepaki Amana na Muhimbili?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zinapark wapi mkuu?Kwamba ambullance hizo zimepaki Amana na Muhimbili?
Picha ipo wapi?Comasava
Dereva wa ambulance gari kaligeuza la kwake sio la wagonjwaAjali imetokea saa 3 asubuhi...zaidi ya masaa mawili hawajaokolewa. Ambulance zingekuwa zimeshafika. Ni sahihi kubebwa na gari yoyote kama ambulance hazipo. Lakini ni vyema tukajiuliza kwanini ambulance hazikuwepo? Ni jambo la kushangaza.
Tukubaliane tu kwamba mwenye suala la uokoaji tupo nyuma sana.
Nyumbani kwa dereva wa ambulanceZinapark wapi mkuu?
Utazoea tu....Hii nchi ya ajabu sana,kuna vitu ni vidogo lakini havifanyiwi kazi mpaka inashanganza,zinapotekea ajali wanakuja polisi na cruisers zao pickup na kupakia majeruhi/maiti kwenye tela kama mizigo,kwanini watu wasisitiriwe kwa kubebwa kwenye magari maalumu kwa ajili ya kazi hizo.Nchi ya kipumbavu sana kuwahi kutokea.
Wakechukuliwa km watu wasio na umuhimu hawana tofauti na maparachichi,Hii nchi ya ajabu sana,kuna vitu ni vidogo lakini havifanyiwi kazi mpaka inashanganza,zinapotekea ajali wanakuja polisi na cruisers zao pickup na kupakia majeruhi/maiti kwenye tela kama mizigo,kwanini watu wasisitiriwe kwa kubebwa kwenye magari maalumu kwa ajili ya kazi hizo.Nchi ya kipumbavu sana kuwahi kutokea.
Ishu si kuzoea kilaza wewe wahusika wabadilikeUtazoea tu
Zamu yako itafika tu utapakiwa kwenye GutaUtazoea tu....
Yana maanaKwa sasa la msingi ni wafike hospital wakiwa hai kwa haraka iwezekanavyo wapatiwe matibabu... mengine hayana maana
Majeruhi karibu wote waliokolewa wapatao 40 mpaka sasa kwenye tukio la kuanguka kwa ghorofa mitaa ya Kariakoo jijini Darisalama wamepelekwa hospitali ya Muhimbili wakiwa wamepakiwa kwenye gari za wazi nyuma maarufu kama Pick Up badala ya gari maalum za wagonjwa ambulance
Sasa najiuliza Kariakoo ni karibu kabisa na hospitali ya Amana na Muhimbili na hospitali nyingi tu za binafsi kama Rengency zipo mitaa hiyo kwanini ambulance za hospitali hizo hazikutumika kuja kuchukua majeruhi hao baadala yake wametumia Pickup za polisi na watu binafsi?
Matokeo yake kaja Dkt. Janabi, Mkuu wa Mkoa na Waziri Mkuu na magari ya kifahari aina ya landcruiser V8 ambayo pia hayakutumika kubeba majeruhi hao bali yamepaki yanawasubiri waheshimiwa
Polisi siku zote wanazuia gari za wazi kupakia abiria nyuma kwa sababu za kiusalama pindi ikitokea ajali wataumia sana
Comasava
Hao kina Janabi na wanasiasa wakiongozwa na Majaaliwa hawakwenda kutoa msaada. Wameenda kuuza sura tu hapo.Majeruhi karibu wote waliokolewa wapatao 40 mpaka sasa kwenye tukio la kuanguka kwa ghorofa mitaa ya Kariakoo jijini Darisalama wamepelekwa hospitali ya Muhimbili wakiwa wamepakiwa kwenye gari za wazi nyuma maarufu kama Pick Up badala ya gari maalum za wagonjwa ambulance
Sasa najiuliza Kariakoo ni karibu kabisa na hospitali ya Amana na Muhimbili na hospitali nyingi tu za binafsi kama Rengency zipo mitaa hiyo kwanini ambulance za hospitali hizo hazikutumika kuja kuchukua majeruhi hao baadala yake wametumia Pickup za polisi na watu binafsi?
Matokeo yake kaja Dkt. Janabi, Mkuu wa Mkoa na Waziri Mkuu na magari ya kifahari aina ya landcruiser V8 ambayo pia hayakutumika kubeba majeruhi hao bali yamepaki yanawasubiri waheshimiwa
Polisi siku zote wanazuia gari za wazi kupakia abiria nyuma kwa sababu za kiusalama pindi ikitokea ajali wataumia sana
Comasava
CHADEMA kila kitu kulaumu, hivi hii nchi mukiachiwa nyinyi mutaweza kuiongoza wajinga nyie?Majeruhi karibu wote waliokolewa wapatao 40 mpaka sasa kwenye tukio la kuanguka kwa ghorofa mitaa ya Kariakoo jijini Darisalama wamepelekwa hospitali ya Muhimbili wakiwa wamepakiwa kwenye gari za wazi nyuma maarufu kama Pick Up badala ya gari maalum za wagonjwa ambulance
Sasa najiuliza Kariakoo ni karibu kabisa na hospitali ya Amana na Muhimbili na hospitali nyingi tu za binafsi kama Rengency zipo mitaa hiyo kwanini ambulance za hospitali hizo hazikutumika kuja kuchukua majeruhi hao baadala yake wametumia Pickup za polisi na watu binafsi?
Matokeo yake kaja Dkt. Janabi, Mkuu wa Mkoa na Waziri Mkuu na magari ya kifahari aina ya landcruiser V8 ambayo pia hayakutumika kubeba majeruhi hao bali yamepaki yanawasubiri waheshimiwa
Polisi siku zote wanazuia gari za wazi kupakia abiria nyuma kwa sababu za kiusalama pindi ikitokea ajali wataumia sana
Comasava
Yana maana baadaye... Ukiwa na njaa unawaza kupata chakula tu ushibe ni chakula gani hata hujali. Ukishashiba sasa ndipo unaweza kujadili ni aina gani ya chakula ulichopewa, kilikuwa balanced diet au makapi tu ya kujaza tumbo.Yana maana
Ungekuepo ungekubariWanahitaji hewa nyingi acha wakae nyuma ya bodi