Kubeba majeruhi kwenye gari za wazi (Pickup) badala ya gari za wagonjwa (ambulance) kwenye tukio la kuanguka ghorofa K/Koo ni sahihi?

Dereva wa ambulance gari kaligeuza la kwake sio la wagonjwa
 
Hii nchi ya ajabu sana,kuna vitu ni vidogo lakini havifanyiwi kazi mpaka inashanganza,zinapotekea ajali wanakuja polisi na cruisers zao pickup na kupakia majeruhi/maiti kwenye tela kama mizigo,kwanini watu wasisitiriwe kwa kubebwa kwenye magari maalumu kwa ajili ya kazi hizo.Nchi ya kipumbavu sana kuwahi kutokea.
 
Utazoea tu....
 
Wakechukuliwa km watu wasio na umuhimu hawana tofauti na maparachichi,
 
 

Attachments

  • IMG-20241116-WA0038.jpg
    139.1 KB · Views: 2
  • IMG-20241116-WA0039.jpg
    160.8 KB · Views: 1
  • IMG-20241116-WA0045.jpg
    270.3 KB · Views: 2
Hao kina Janabi na wanasiasa wakiongozwa na Majaaliwa hawakwenda kutoa msaada. Wameenda kuuza sura tu hapo.
 
Sema yalitumika magari ya aina tofauti ambulance na pickup kuwahisha majeruhi hospitali siyo pickup pekee.
 
CHADEMA kila kitu kulaumu, hivi hii nchi mukiachiwa nyinyi mutaweza kuiongoza wajinga nyie?
 
Yana maana
Yana maana baadaye... Ukiwa na njaa unawaza kupata chakula tu ushibe ni chakula gani hata hujali. Ukishashiba sasa ndipo unaweza kujadili ni aina gani ya chakula ulichopewa, kilikuwa balanced diet au makapi tu ya kujaza tumbo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…