Kubeba majeruhi kwenye gari za wazi (Pickup) badala ya gari za wagonjwa (ambulance) kwenye tukio la kuanguka ghorofa K/Koo ni sahihi?

Asante mkuu japo watashangaa kwa hili.

Mkuu nimepata changamoto kidogo ya ugeni wa binamu yangu,
Huyu binamu , mama yake na baba angu ni mama mmoja na baba mmoja...

Changamoto ni kuwa amekuja mjini hapa lakini kutokana na ugumu wa life hana budi kuja kukaa na mimi.

Kumbuka ni wa kike na rika lety linaendana.
Je hi itakua sawa kukaa na binamu chumba kimoja. .?
Kumbuka yeye anasema hataki wajue kuwa yupo na mimi anaogopa wazazi watazingua...

Lakini naomba nishauri pia hii ni sawa..
Ningeandika uzi kuhusu hili suala ila nimeona hapana nahitaji majibu ya chap niweze toa maamuzi hapa...

NB binamu nyama ya hamu kuikosa ni haramu...
 
Wewe kwa kesi yako
ikiisha hii weekend njoo kwenye uzi wa rikiboy utoe ushuhuda
Shabhaaash tusichoshane hapa!
😁😁
 
Asante mkuu japo watashangaa kwa hili.

Mkuu nimepata changamoto kidogo ya ugeni wa binamu yangu,
Huyu binamu , mama yake na baba angu ni mama mmoja na baba mmoja...

Changamoto ni kuwa amekuja mjini hapa lakini kutokana na ugumu wa life hana budi kuja kukaa na mimi.

Kumbuka ni wa kike na rika lety linaendana.
Je hi itakua sawa kukaa na binamu chumba kimoja. .?
Kumbuka yeye anasema hataki wajue kuwa yupo na mimi anaogopa wazazi watazingua...

Lakini naomba nishauri pia hii ni sawa..
Ningeandika uzi kuhusu hili suala ila nimeona hapana nahitaji majibu ya chap niweze toa maamuzi hapa...

NB binamu nyama ya hamu kuikosa ni haramu...
Japo sijajua umri wako lkn naamini unaishi maisha ya kujitegemea, like sio mwanafunzi kwa hio yawezekana hupo tena kwenye dhamana ya wazee wako. So ukisema huyo binti mko rika moja naamini na yeye pia sio mwanafunzi, yawezekana ni binti mkubwa anaejitegemea kimaisha. Sasa km ni mkubwa na hana haja ya kuwepo chini ya uangalizi. Basi km hali inaruhusu, msaidie tu akae guest house.
Kukaa room 1 sio sawa.
Most of the time panapokuwa na watu wawili ya jinsia mbili tofauti basi wa tatu huwa ni Sheitani
Msije mkaigiza story za kwenye uzi wa kula tuna kimaskhara
I believe your brain is not that poor 😅
 
Lkn hatupaswi kuridhika. Sio hali ya kawaida katika karne hii.
Hapo kwa uchache kulitakiwa kuwe na ambulance walau 10. Ni hali ya dharura
Hata hospital za private wangejitolea ambulance zao kusaidia. Ndio professionalism
Asante kwa kumpiga ngumi za usoni kwenye komwe lake na kumtoa manundu 😄 🤣
 
Japo sijajua umri wako lkn naamini unaishi maisha ya kujitegemea, like sio mwanafunzi kwa hio yawezekana hupo tena kwenye dhamana ya wazee wako. So ukisema huyo binti mko rika moja naamini na yeye pia sio mwanafunzi, yawezekana ni binti mkubwa anaejitegemea kimaisha. Sasa km ni mkubwa na hana haja ya kuwepo chini ya uangalizi. Basi km hali inaruhusu, msaidie tu akae guest house.
Kukaa room 1 sio sawa.
Most of the time panapokuwa na watu wawili ya jinsia mbili tofauti basi wa tatu huwa ni Sheitani
Msije mkaigiza story za kwenye uzi wa kula tuna kimaskhara
I believe your brain is not that poor 😅
Ni kweli mkuu sio poor enough to escape this trap ..

Mkuu ni hvi yeye pia anajitafuta hivo anasema apate kazi kwanza...
Ndio anaweza kuchomoka.

Na ishu ya kukaa pamoja sijui shetani akapita na sisi unazani hiyo ni ishu kubwa sana..?

Je shetani kutupitia ...
Au ndgu kujua kuwa sisi tunaishi pamoja kipi ni hataree .

Samahani mkuu kwa kuamisha katika mada ni vile nahitaji tu ku solve hili swala leo hapa nimemsubrisha wasap...
 
Huna raha namna gani kijana hiyo raha ndiyo yaja wataka raha gani tena?
Weye tulimalize hapa hapa mchezo akija weye kula tu huyo ni Asusa wala si kharamu halal yako hiyo sheikh namna gani ami!
😁😁
Yaan yote unayoongea mkuu ujajua kuwa ishu ka hii ikifika kwa ndgu daah....
Kingine kula sio ishu ishu ikitokea akapata mimba je..
Imagine mimba ya binamu....

Imagine mkuu..
Try to wear my shoes
 
Ni kweli mkuu sio poor enough to escape this trap ..

Mkuu ni hvi yeye pia anajitafuta hivo anasema apate kazi kwanza...
Ndio anaweza kuchomoka.

Na ishu ya kukaa pamoja sijui shetani akapita na sisi unazani hiyo ni ishu kubwa sana..?

Je shetani kutupitia ...
Au ndgu kujua kuwa sisi tunaishi pamoja kipi ni hataree .

Samahani mkuu kwa kuamisha katika mada ni vile nahitaji tu ku solve hili swala leo hapa nimemsubrisha wasap...
Hapana mkuu
Muepuke km mbu wa. Malaria
Kumbe ni kukaa kabisa, mie nilidhani anapita tu.
Km vp washirikishe wazee bhana. Asijidai hataki wazee wake wajue... km ana mission zake jee!!!?
Bora mission iwe impossible na mapema, kuliko mission kuwa accomplished yakafuatia na Majuto
Hapo utakuja kushindwa hata kujieleza 😆
 
Umeongea haraka haraka lakini yana uzito mkubwa ndani yake mkuu...

Hapa nimewaza ni jinsi gani akili za ujana zilikua zinanipelkesha nikubali nikae nae..

Ila umenikumbhsha kuwa majuto ni mjukuu. Sitaki kujuta hapo badae.

Mkuu ahsante sana kwa ushauri wako
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Let say start now ntakua nakufata kwa socially advice kama hvi mkuu iwe jukwaani au PM popote pale...

Mi mda wowote takua nakucheki.
Asante aana Angel Nylon
 
Majeruhi karibu wote waliokolewa wapatao 40 mpaka sasa kwenye tukio la kuanguka kwa ghorofa mitaa ya Kariakoo jijini Darisalama wamepelekwa hospitali ya Muhimbili wakiwa wamepakiwa kwenye gari za wazi nyuma maarufu kama Pick Up badala ya gari maalum za wagonjwa ambulance

Sasa najiuliza Kariakoo ni karibu kabisa na hospitali ya Amana na Muhimbili na hospitali nyingi tu za binafsi kama Rengency zipo mitaa hiyo kwanini ambulance za hospitali hizo hazikutumika kuja kuchukua majeruhi hao baadala yake wametumia Pickup za polisi na watu binafsi?

Matokeo yake kaja Dkt. Janabi, Mkuu wa Mkoa na Waziri Mkuu na magari ya kifahari aina ya landcruiser V8 ambayo pia hayakutumika kubeba majeruhi hao bali yamepaki yanawasubiri waheshimiwa

Polisi siku zote wanazuia gari za wazi kupakia abiria nyuma kwa sababu za kiusalama pindi ikitokea ajali wataumia sana

Comasava
katika hali ya ghafla na dharura kama ilivyotokea ajali ya kariakoo na maeneo mengine ni sahihi mno gentleman!

au ungependelea kusubiri ambulance ili ufurahie kupelekwa hospitali na vingora?🐒
 
Bora mission iwe impossible na mapema, kuliko mission kuwa accomplished yakafuatia na Majuto

Umeongea haraka haraka lakini yana uzito mkubwa ndani yake mkuu...

Hapa nimewaza ni jinsi gani akili za ujana zilikua zinanipelkesha nikubali nikae nae..

Ila umenikumbhsha kuwa majuto ni mjukuu. Sitaki kujuta hapo badae.

Mkuu ahsante sana kwa ushauri wako
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Let say start now ntakua nakufata kwa socially advice kama hvi mkuu iwe jukwaani au PM popote pale...

Mi mda wowote takua nakucheki.
Asante aana Angel Nylon
Anytime mkuu
Ni kweli kuna umri ukisha kufika ukaanza kuchambua maisha ulioishi ndio unafaham kama kuna vitu uliharibu kwa mikono yako mwenyewe. Na inakuwa hakuna kurudi nyuma ukarekebisha. So ukiona mtu aliekuzidi umri anakuusia au kukukataza jambo basi jitahidi sana kumsikiliza na kufuata ushauri mkuu.
Bora upotee njia ya kutembea kwa miguu kuliko kupotea njia ya kwendea maisha yako
 
Nadhani wewe ndo huna Ubongo.
Mwenzako kasema Waheshimiwa wamekuja na V8 ina maana hadi wanafika Gari la wagonjwa linashindwaje kufika.

Hivi Kutoka hapo unajua hazifiki hata 3km kutoka Muhimbili au 3 kutoka Aman hospitali.
Hizo gari za wagonjwa zinasubiri nini muda wote huo?

Gari la wagonjwa lenyewe tayari lina First Aid hivyo linaanza toa huduma wakati mgonjwa yuko njiani huwezi fananisha na Gari la kawaida.

Pia Gari la wagonjwa ni jepesi kufika kwa muda kwani halikai foleni lile. alafu wewe unatetea kuwa hujaona tatizo hapo?
Mtz akishakuwa na kitengo tu serikalini anajua Hafi tena na wale mnaopata shida Hana hbr nanyi
 
Anytime mkuu
Ni kweli kuna umri ukisha kufika ukaanza kuchambua maisha ulioishi ndio unafaham kama kuna vitu uliharibu kwa mikono yako mwenyewe. Na inakuwa hakuna kurudi nyuma ukarekebisha. So ukiona mtu aliekuzidi umri anakuusia au kukukataza jambo basi jitahidi sana kumsikiliza na kufuata ushauri mkuu.
Bora upotee njia ya kutembea kwa miguu kuliko kupotea njia ya kwendea maisha yako
Daah thank a lot mkuu..
Ni poor brain ila kuna mda nakaa nasema weeeh hapana hili bila ushauri sitoboii ndo leo sasa...

Ila mkuu katika ushauri wako ukikuta sehemu naongelea kuhusu mashangazi naomba usinishauri..

Sitaki uhusiano wangu mi na wewe uvunjike kisa kunishauri vtu ambavyo moyo unapenda 😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌 natania bana
 
Jeshi la zimamoto na uokozi linatakiwa kuwa na ambulance kubwa kama basi za Eiche zenye vitanda hata 10+ maana majanga nchini yameanza kuwa mengi na gari za mtu mmoja mmoja hazitakidhi mahitaji.
 
Back
Top Bottom