Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Ni mkumbo tu na ujingaWatu wengi ni ziro brain hawaelewi umuhimu wa ambulance kwenye majanga kama haya
Kweli uelewa mdogo na hata elimu pia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mkumbo tu na ujingaWatu wengi ni ziro brain hawaelewi umuhimu wa ambulance kwenye majanga kama haya
Hicho ni kizazi kimoja tu. USA ina 248. Na tatizo sio nchi kuwa changa tu wala umasikini. Bali lack of experience with disastrous problems. Wenzetu Asia wanaodeal na Matetemeko, Maporomoko, Volcanos, Vimbunga na ma-Tsunamies kila siku. Hili ni tatizo la la masaa 5 pekee.Miaka 60 ya uhuru umri wa mtu mzima aliyestaafu kazi sema nchi ni masikini lakini sio changa
Aisee! Una IQ pengine isiyofika hata 0+Kwa sasa la msingi ni wafike hospital wakiwa hai kwa haraka iwezekanavyo wapatiwe matibabu... mengine hayana maana
Wewe ndiye mwenye IQ ndogo unaijua tanzania ilivyo, hata mtu akizidiwa home tunamkimbiza wenyewe hospitali kwa magari binafsi, bajaji na bodaboda, sasa leo ujifanye emergence watu kibao wanahitajikufika hospital eti ndo usubiri ambulance.... utaendelea kusubiri sana na IQ yako kubwa.Aisee! Una IQ pengine isiyofika hata 0+
Sio kwa fikra hizi.
Nadhani wewe ndo huna Ubongo.
Mwenzako kasema Waheshimiwa wamekuja na V8 ina maana hadi wanafika Gari la wagonjwa linashindwaje kufika.
Hivi Kutoka hapo unajua hazifiki hata 3km kutoka Muhimbili au 3 kutoka Aman hospitali.
Hizo gari za wagonjwa zinasubiri nini muda wote huo?
Gari la wagonjwa lenyewe tayari lina First Aid hivyo linaanza toa huduma wakati mgonjwa yuko njiani huwezi fananisha na Gari la kawaida.
Pia Gari la wagonjwa ni jepesi kufika kwa muda kwani halikai foleni lile. alafu wewe unatetea kuwa hujaona tatizo hapo?
Wewe ndiye mwenye IQ ndogo unaijua tanzania ilivyo, hata mtu akizidiwa home tunamkimbiza wenyewe hospitali kwa magari binafsi, bajaji na bodaboda, sasa leo ujifanye emergence watu kibao wanahitajikufika hospital eti ndo usubiri ambulance.... utaendelea kusubiri sana na IQ yako kubwa.
Wala mimi sijapinga kuwa haiko sawa, nilichosema sasa hivi kinachojalisha ni hao wafike hospitali salama iwe kwa guta au meli ili mradi wafike hospital wapate matibabu. Hayo mengine kwa sasa hayana maana.... Uelewa wako mdogo zaidi ndio maana hukuelewa hata nilichosema.Si-mleta Uzi, Si-mimi, wala yeyote mwingine anaekupinga aliesema kuwa wagonjwa wasipelekwe kwa Gari zilizopo.
UELEWE KWANZA HOJA, SIO KUKURUPUKA.
Watu walalama,wanahoji na kudadisi kutokuwepo kwa GARI MAALUM ZA WAGONJWA kuifanya shughuli hiyo ikitiliwa maanani kuwa hapa ni Dar na zama hizi.
Usipoelewa hapo, naagiza ukamatwe uwekwe ndani ya Tanker la mafuta Breki ya kwanza MILEMBE.
Mkuu wa mkoa na Dr Janabi na waziri mkuu wamefikaje Kariakoo na V8 kwa nini Ambulance isifike kwa wakati pumbavuKwahiyo ulitaka wapoteze maisha kisa kusubiria ambulance?!
Letaa yakooMajeruhi karibu wote waliokolewa wapatao 40 mpaka sasa kwenye tukio la kuanguka kwa ghorofa mitaa ya Kariakoo jijini Darisalama wamepelekwa hospitali ya Muhimbili wakiwa wamepakiwa kwenye gari za wazi nyuma maarufu kama Pick Up badala ya gari maalum za wagonjwa ambulance
Sasa najiuliza Kariakoo ni karibu kabisa na hospitali ya Amana na Muhimbili na hospitali nyingi tu za binafsi kama Rengency zipo mitaa hiyo kwanini ambulance za hospitali hizo hazikutumika kuja kuchukua majeruhi hao baadala yake wametumia Pickup za polisi na watu binafsi?
Matokeo yake kaja Dkt. Janabi, Mkuu wa Mkoa na Waziri Mkuu na magari ya kifahari aina ya landcruiser V8 ambayo pia hayakutumika kubeba majeruhi hao bali yamepaki yanawasubiri waheshimiwa
Polisi siku zote wanazuia gari za wazi kupakia abiria nyuma kwa sababu za kiusalama pindi ikitokea ajali wataumia sana
Comasava
Kunatokea ajalinmwenge unasubiri ambulance kweli???Majeruhi karibu wote waliokolewa wapatao 40 mpaka sasa kwenye tukio la kuanguka kwa ghorofa mitaa ya Kariakoo jijini Darisalama wamepelekwa hospitali ya Muhimbili wakiwa wamepakiwa kwenye gari za wazi nyuma maarufu kama Pick Up badala ya gari maalum za wagonjwa ambulance
Sasa najiuliza Kariakoo ni karibu kabisa na hospitali ya Amana na Muhimbili na hospitali nyingi tu za binafsi kama Rengency zipo mitaa hiyo kwanini ambulance za hospitali hizo hazikutumika kuja kuchukua majeruhi hao baadala yake wametumia Pickup za polisi na watu binafsi?
Matokeo yake kaja Dkt. Janabi, Mkuu wa Mkoa na Waziri Mkuu na magari ya kifahari aina ya landcruiser V8 ambayo pia hayakutumika kubeba majeruhi hao bali yamepaki yanawasubiri waheshimiwa
Polisi siku zote wanazuia gari za wazi kupakia abiria nyuma kwa sababu za kiusalama pindi ikitokea ajali wataumia sana
Comasava
Sasa hii haikutokea Mwenge imetokea Kariakoo kwenye ukaribu wa hospitali kubwa na nyingi kwa nini zisifike kuchukua majeruhi kutokana na umuhimu wake kuna first aid humo?Kunatokea ajalinmwenge unasubiri ambulance kweli???
Naleta Kirikuu chakoLetaa yakoo
Sasa kama IQ ni 0 huyo sasa ni mzima kweli au ziro brain? 😄 🤣 😂Aisee! Una IQ pengine isiyofika hata 0+
Sio kwa fikra hizi.
Asante mkuu kwa kuliona hilo hata miye huwa nawashangaa watu wengine baadala ya kujenga hoja kwenye mambo nyeti kama haya ili Serikali ijifunze kitu wanajenga vioja pwagu na pwaguziHua nasoma mijadala na comments kwenye mitandao kama linkedline yaan had mtu unafurahia watu wanavyo jikita kwenye maada tu tena kwa kirefu.
Hata hapa jf ni hivyo kwa baadhi ya wachangiaji wachache. Ila wengi humu ni watu wasio penda kabisa kufikiri kabla ya kutenda. Wanachangia utazani ni lazima wachangie ili waendelee kubaki jf.
Vifaa vya uokozi vinahusisha mitambo kama greda za aina mbali mbali, winchi, magari ya zima moto, magari ya wagonjwa pamoja na watu wenye utaalamu unaohusiana na janga husika.
Mleta maada yeye kauliza kutokuwepo kwa ambulances, lakini ukisoma nyuzi zingine kuna watu wamehoji juu ya uhaba wa vifaa vya uokozi. Kwahiyo kwaujumla timu ya uokoaji haitoshi na haijitoshelezi ki vifaa hadi kuna memba kwenye uzi mmoja humu kapendekeza raia wapange mistari mirefu wakiwa na ndoo wajaze vifusi kwenye maroli!!!
Eneo lililo katikati ya jiji kama kariakoo kukosa vifaa vya uokoaji ni aibu!! Ilitakiwa soko kama soko tu, wawe hata na ambulance 10 za soko tu! Wawe na magari ya kuzima moto hata mawili, lile ni moja ya masoko makubwa Afrika mashariki lazima lijiweke tayari kujisaidia kabla halijasaidiwa.
Kama kkoo wahanga wanakosa ambulance jiulize wewe hapo ukipata shida kwako unaweza kuipata ambulance kweli?? Hapa ilitakiwa watz tuungane tupige kelele moja na si kutofautiana namna hii.
Muda mwingine ni bora kukaa kimya ili watu wawe wanahisi hisi tu kua huenda wewe ni mjinga, kuliko kuongea ongea hovyo hata usiyo yajua maana hapo utakua una wathibitishia watu kua wewe NI MJINGA KABISA
Kwani wakikwambia Jehanamu unahisi ni wapi?.
Watanzania tunaishi Jehanamu, hatuishi kwenye nchi inayojali watu wake.
Tupo kwenye nchi ya Mazombi...
Kipaumbele chetu ni hiki kwanzaView attachment 3153821
Ni kama Gaza!