Kubenea awaonya wanaopiga ramli kuhusu hatima yake CHADEMA, azungumzia Virusi vya Corona

Kubenea awaonya wanaopiga ramli kuhusu hatima yake CHADEMA, azungumzia Virusi vya Corona

kubenea sema neno nchi imesimama kukusikiliza kamanda usie tetereka hakika unanguvu kubwa kwa hamasa hii ya wananchi kusubiria neno lako..kata kiu yetu kamanda wetu..
 
Ana hama huyo ni swala la muda tu kaona chadema ubaguzi plus udini cheki hii safu utadhani Baraza la maaskofu
Screenshot_20200401-231213.jpg
 
Body language inasema yuko sokoni, hivyo ni jukumu la ile kamati yetu ya manunuzi kuingia kazini haraka...
 
Mh Kubenea amekiri urafiki, ukaribu na undugu wake na Komu, lakini amesema kwamba si kila alifanyalo Komu na yeye aweza kufanya.Ameonya kwa Msisitizo mkubwa sana kwa watu kuacha kupiga ramli.

Amedai kwamba hana mpango wa kuhama Chadema wala hana sababu ya kufanya hivyo.
Siku akiujua ukweli na sababu atahama
 
🤣🤣unaniudhi kuwa ndumilakuwili...mara ccm.mara cdm..wewe km ni moto kuwa moto!...
Huyu kwisha habari yake, hajitambui. Alisoma hakuelimika! Aliondoa ujinga hakuongeza maarifa! Anadandiadandia, tofauti kabisa na mwanasheria msomi. Kusoma sheria sio kuwa mwanasheria! Kujua kiingereza utakuwa muingereza? Reasoning na logic vinatakiwa. Vinginevyo ni praise and worship team ikiongozwa na hao wa kutoka jalala kuu udsm!!
 
Subiri bunge livunjwe.Sasa hivi hawezi kuhama akaacha posho za bungeni. Vyuma vyenyewe vimekaza hivi.
100% uko sawa, hata alichokiongea leo si kile alichokuwa amekusudia kuongea, hasa ukizingatia mwelekeo wa uhakika wa kuendelea kuwa mbunge ktk jimbo lake.
 
Mh Kubenea amekiri urafiki, ukaribu na undugu wake na Komu, lakini amesema kwamba si kila alifanyalo Komu na yeye aweza kufanya.Ameonya kwa Msisitizo mkubwa sana kwa watu kuacha kupiga ramli.

Amedai kwamba hana mpango wa kuhama Chadema wala hana sababu ya kufanya hivyo.
Ila jana alipotangaza mkutano na media mlipagawa kama nawaona vile


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kubenea Ndani ya chadema umekuwa kama punching bag, kila kiongozi anakutukana na mtandaoni wame mobilize vijana kukutukana

Hawa Chadema ni watu wasio na shukran wala heshima

Chadema walikutumia Wewe kuanika ajenda zao sasa wanakutukana

Kupitia gazeti la mwanahalisi ambalo lilikuwa linaongozwa kwa kusomwa Nchini uliripoti kila hotuba za Chadema

Kila tukio la Chadema uliliandika leo hii wanakuona taka taka hii ni kweli jamani? Mimi nakasirika sana

Kupitia hoja za Chadema uliingia matatizoni na mafisadi ukamwagiwa tindikali almanusura uwe kipofu serkali ikakutibia

Bado kupitia hoja za Chadema, gazeti lako lilifungiwa hadi ukaingia kwenye madeni makubwa

Hawa ambao wakutukana leo hasa mitandaoni tukiwafatilia 2007 walikuwa hawaijui hata Chadema, walikuwa hata hawajui mwenye Chadema ni nani?

ati leo Ndio wanakuona Wewe mbaya kwa lipi?

Nikiikumbuka Chadema ya dr slaa ilyoheshimika nikiifananisha na hii ya kina mdee nagundua Chadema ina dhambi nyingi inatakiwa itubu kwa dr. Slaa

Kubenea waachie chama acha kutishwa na watu wasio jitambua

Ondoka Chadema Achana na vyama vya watu

Akufukuzay...
 
Back
Top Bottom