Kubenea awaonya wanaopiga ramli kuhusu hatima yake CHADEMA, azungumzia Virusi vya Corona

Kubenea awaonya wanaopiga ramli kuhusu hatima yake CHADEMA, azungumzia Virusi vya Corona

Mbona mlimtosa dr slaa mkampa Lowasa kugombea Urais cha ajabu kipi

Laana ya dr slaa itawatafuna hadi mwisho
Mkuu unamshahuri ahame chadema hili aje ccm alafu agombee ubunge kupitia , ccm ...kweli inainga Akili wakati sisi wana ccm hapa tumeshaweka nia hill tugombee hilo Jimbo la ubunge ...sijuo unamshauri ahamie, wapi Think twice... Watu tumeipigania ccm mda mrefu then mtu anatoka chadema kuja ccm alafu anapewa crown yakupeperusha bendela...uwo niujinga ...waache watu walio ijenga ccm nawenyewe wapate nafasi kweny chama chao.
 
Tunakuunga mkono mh kubenea hamia chama chochote Achana na hao wapiga majungu wa ufipa
Kubenea huyu ambae alimwagiwa tindikali Mafisadi,Jakaya akampeleka india kutibiwa bado amekubali kukaa na wahuni na matapeli? Nafikiri anasubiri mafao tu maana muda si mrefu mtanange unaanza.
 
Kubenea huyu ambae alimwagiwa tindikali Mafisadi,Jakaya akampeleka india kutibiwa bado amekubali kukaa na wahuni na matapeli? Nafikiri anasubiri mafao tu maana muda si mrefu mtanange unaanza.
Kubenea Ni mtanzania na JK Ni muungwana ndo maana serikali iligharimikia matibabu yake.umeleta tuhuma kuwa anakaa na wahuni na matapeli,Kama sikosei makosa hayo Ni serious Sana(crime) bila kuziainisha kwa kutaja na kuthibitisha,kwa ujumla comment yako Ni takataka.
 
Kawe Alumni, Acha kupotosha watu, aliyemtibia Kubenea ni Marehemu Mzee Ndesamburo ambaye ni Mwana CHADEMA. Period
 
Kawe Alumni, Huyo kubenea atakuwa wa ajabu kama akkubali kushauriwa na chama cha watu Wanaonyweshana Sumu... chama kilichotuma WATU WAKAMVAMIE NA KUMKATA MAPANGA NA KUMWAGIA TINDIKALI.LEO HAYO MAPENZI NA KUBENEA UNAYATOA WAPI?
nani alimnywesha sumu mzee MANGULA?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom