mwanamwana
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,309
- 4,798
Kupitia andiko hilo la leo, Jumanne Novemba 12.2024 Kubenea ambaye ni mwanahabari nguli nchini na Mkurugenzi wa kampuni ya habari ya Mwanahalisi amedai kuwa kitendo cha vyama vya upinzani nchini kuendelea kushiriki uchaguzi huo ni sawa na kuhalalisha 'uhuni' unaoendelea, na hivyo kutahadharisha kuwa madhara ya jambo hilo yataonekana mwakani (2025) kwenye uchaguzi mkuu
"Hakuna uchaguzi, kuna uchafuzi, ni muhimu vyama vyote vikajitoa na kuanza kujipanga upya, nje ya hapo wanakwenda kuhalalisha uhuni na madhara yake mtayaona 2025" -Kubenea
"Hakuna uchaguzi, kuna uchafuzi, ni muhimu vyama vyote vikajitoa na kuanza kujipanga upya, nje ya hapo wanakwenda kuhalalisha uhuni na madhara yake mtayaona 2025" -Kubenea