PreGE2025 Kubenea: Tundu Lissu alishiriki kumkataa Lowassa CHADEMA

PreGE2025 Kubenea: Tundu Lissu alishiriki kumkataa Lowassa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Tunazunguka pale pale. Alikiri kuwa alihusika na ujio wa Lowassa. Kusema kuwa alifanya hivyo kwa sababu tu ya collective responsibility ni ku cherry pick mada. Baada ya kukubali ndani ya kikao hawezi kusema kuwa alikuwa hakubaliani inapokuwa convenient kwake. Ni hivyo hivyo suala la Maridhiano. Alitaka kutuaminisha kuwa Mbowe aliwaburuza mpaka alipokumbushwa kuwa Heche alikuwa sehemu ya timu ya majadiliano.
Hilo la G55 linakuwa tiresome. Usipompa mtu nafasi ya kuongea ndani ya chama ataongea nje ya chama. Watu makini wasingewasimanga bali wangetafuta namna ya kukaa nao na kuwasikiliza in good faith. Badala ya kufanya hivyo mnawatungia majina na matusi Hivi kweli Catherine Ruge, Kiwanga n.k. ni watu wakutukanwa na vijana wa Chadema bila kiongozi kuwatetea? Mnataka CDM iwe cult ya kuabudu viongozi kama ilivyo katika vyama vingine? Mnawajengea chuki watu waliokipigania chama chenu kwa gharama kubwa kwa sababu tu wamediriki kusema wazi kuwa wanadhani njia mnayoitumia siyo sahihi!

Amandla...
Ni kama unajichanga, huenda ww ni G55 ndio maana unakuja na hoja za kulazimisha. Unasema wangetafuta namna ya kukaa nao, lakini waliitwa na hawakutaka kwenda. Sasa unasimamia wapi?
 
Tuna split hair. Nimesema alikiri alihusika uwepo (kumpokea sio kumleta) wa Lowassa. Msikilize hapa.
View: https://www.youtube.com/watch?v=EL5eo9bWOHw

Tofauti na mnavyodai sasa hivi humu anasema kuwa ujio wa Lowassa ulijadiliwa kwa muda mrefu na watu makini wa CDM. Hilo la yeye na Mnyika kuambiwa mwishoni ni kitu kipya. Hapa anasema kabisa kuwa alihusika na alikubali. Huyu sio mtu anayezungumza kwa sababu tuu amelazimishwa na collective responsibility.

Amandla...
 
CDM inaelekea huko. Angalia matamko kutoka katika matawi ya kuwasema wakina Mrema. Sitashangaa kuona mabango ya kuwatukana katika mikutano yenu ya hadhara. Sasa hivi mna T-Shirt zenye sura ya Lissu. Mnashindwa tu kuandamana kwa sababu dola haitawaruhusu. Kwa vile najua unajitahidi kuwa makini katika suala hili chunguza yanayoendelea na utatambua ukweli wa ninayoyasema. Uongozi wa Chadema ulitakiwa kuwakanya vijana wao ambao wanatumia majukwa yao kumtukana mtu kama Mbowe. Hamuwezi kutibu majeraha kwa mtindo huo.

Amandla....
Majeraha gani yapo, zaidi ya Mbowe kushindwa akiwa hajakubali?
 
Ni kama unajichanga, huenda ww ni G55 ndio maana unakuja na hoja za kulazimisha. Unasema wangetafuta namna ya kukaa nao, lakini waliitwa na hawakutaka kwenda. Sasa unasimamia wapi?
Hatuwezi kukubaliana. Hauwezi kunilazimisha nikubaliane na wewe. G55 wameeleza kwa undani kabisa sababu za wao kutohudhuria kikao cha kimaghumashi. Ila sishangai maana ulikiri kuwa hausomi mambo unayoona kuwa hayana maana. Bila shaka hata waraka unaouponda haujausoma.

Amandla...
 
Majeraha gani yapo, zaidi ya Mbowe kushindwa akiwa hajakubali?
Mbowe asingekubali saa hizi mngekuwa mahakamani. Uchaguzi umeisha, matokeo yametangazwa akampa pongezi Lissu akaondoka. Mlitaka akubali matokeo kivipi? Ameshindwa, kakabidhi chama na amekaa pembeni. Nyinyi ndio inaelekea hamuamini kuwa mmeshinda. Mngeamini msingetumia muda wenu mwingi kuendeleza vita mlioisha shinda. Kulazimisha wote wawapende ni alama ya weakness sio strength.

Amandla...
 
NO REFORM, NO ELECTION

Staying laser-focused.

Tundu Lissu's Mbamba Bay speech before his arrest last night was engraved in the annals of Tanzania's history.

He recounted how the vast resources from the fatherland of Oscar Kambona are being pillaged by rapacious CCM criminal cartel leaders and sent overseas.

Over 1000 freight trucks passed by him as he travelled from Dar es Salaam to Mbamba Bay via Mnazi Mmoja, Masasi, Nachingwea and Mbinga. Choke-full of coal mined in Mbamba Bay headed for the port of Dar es Salaam. Nobody knows what we are getting out of this brazen broad-daylight heist of our national wealth. Coal is highly valued in industrialized economies as a cheap method used in melting of iron ore, Lissu said.

Meanwhile, he proclaimed, a lamentable 35% of Mbamba Bay's children are stunted due to chronic starvation, according to statistics issued by the government that is itself causing the starvation.

Lissu pleaded with the people of Mbamba Bay to revive the historic nation building campaigns of their grandfather, Oscar Kambona, by repudiating the criminal outfit that is Chama Cha Mapinduzi and uprooting its fraudulent, dictatorial, bloodthirsty electioneering machine.
 
CDM inaelekea huko. Angalia matamko kutoka katika matawi ya kuwasema wakina Mrema. Sitashangaa kuona mabango ya kuwatukana katika mikutano yenu ya hadhara. Sasa hivi mna T-Shirt zenye sura ya Lissu. Mnashindwa tu kuandamana kwa sababu dola haitawaruhusu. Kwa vile najua unajitahidi kuwa makini katika suala hili chunguza yanayoendelea na utatambua ukweli wa ninayoyasema. Uongozi wa Chadema ulitakiwa kuwakanya vijana wao ambao wanatumia majukwa yao kumtukana mtu kama Mbowe. Hamuwezi kutibu majeraha kwa mtindo huo.

Amandla....
Daah!! Wewe na FAM tuu!!!
Wakitukanwa wengine ni sawa, ila FAM hapana!????
Kweli una mahaba na Mbowe.
 
Daah!! Wewe na FAM tuu!!!
Wakitukanwa wengine ni sawa, ila FAM hapana!????
Kweli una mahaba na Mbowe.
Mbowe alikuwa Mwenyekiti wa Chadema na hakutendewa haki. Na ingawa amejitoa katika ulingo wa siasa bado watu wanamuandama. Na sio yeye peke yake. Nimemtetea Aida, Sigrada, Wenje n.k. pale nilipoona hawatendewi haki. Mimi najaribu kuwatetea wale ambao naamini kuwa hawatendewi haki. Sio Mbowe peke yake.

Kongole sana kwa kuwa mtetea haki ndugu.
Kutetea haki ni uchaguzi sahihi.
 
Tundu Lissu ameongea dhana ya collective responsibility (Uwajibikaji wa Pamoja). Hata kama alipinga kwenye vikao vya ndani, kwa kuwa maamuzi yalifanyika ya pamoja na yeye alikuwa sehemu ya vikao basi anawajibika kwa maamuzi yale.
Yap
 
Mbowe asingekubali saa hizi mngekuwa mahakamani. Uchaguzi umeisha, matokeo yametangazwa akampa pongezi Lissu akaondoka. Mlitaka akubali matokeo kivipi? Ameshindwa, kakabidhi chama na amekaa pembeni. Nyinyi ndio inaelekea hamuamini kuwa mmeshinda. Mngeamini msingetumia muda wenu mwingi kuendeleza vita mlioisha shinda. Kulazimisha wote wawapende ni alama ya weakness sio strength.

Amandla...
Vita gani, watu wanaendelea na NRNE kambi yake ndio inawasilisha machungu yake.
 
Mbunge wa zamani wa Ubungo (CHADEMA), Saed Kubenea amedai kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu alishiriki kumkataa Hayati Edward Lowassa asimamie Chama hicho.

Katika Makosa yaliyofanywa na Chadema ilikuwa kumleta Lowasa. Hilo lilikuwa ni kosa la kiufundi. Silaa slikiwa kwenye position ya kuleta same results au zaidi na Chama kingeendelea kuwa imara zaidi.
 
Back
Top Bottom