chitambikwa
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 3,941
- 902
Siyo siku mmoja tu kujua mpenzi wako kakuacha unahitaji kuchunguza mda mrefu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli kisha ukiangalia joining date ya mtoa thread jamaa ni mkongwe kwenye jukwaa. Anyway nadhani atasoma hapa na kuona ukweli.Habari ya uongo isipokanushwa inageuka kuwa ya kweli...... asante kwa kutuhabarisha.
Wana JF nimelazimika kupost thread mpya kabisa ili niweze kueleza ukweli juu ya thread hii https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...m-yatimia-kubenea-atiwa-mfukoni-hatimaye.html.
Nililazimika kupiga simu gazeti la Mwanahalisi na simu yangu kupokelewa na mtu anayeitwa Yusuph Abudu - Afisa Tawala wa gazeti hilo na kisheria anayo power ya kuisemea kampuni hiyo. Ilibidi nimsomee thread yote na yeye kuanza kunijibu kashfa moja baada ya nyingine.
Kwanza ameanza kwa kukanusha kwamba si Kubenea wala Hali Halisi Publishers Co. Ltd kuwa imetiwa mfukoni na fisadi yoyote licha ya Rostam ambaye ametajwa katika thread hiyo kwa sababu zifuatazo:-
- Hakuna mtambo unauzwa 20ml kama alivyodai kamaudoulton. Mitambo ya kuchapisha magazeti ina thamani zaidi ya hiyo!
- Hali Halisi ina mitambo yake tayari na imenunua kutoka kampuni ya IPP iliyo chini ya Mengi na tayari wameshalipa DOWN PAYMENT. Hivyo tuhuma za kuwa na makubaliano ya kutaka kununuliwa mitambo ni uzushi, uongo na fitna ya wazi kabisa. ".....zinasema kijembe kile cha kumnunulia Kubenea mtambo wa kuchapishia magazeti kimefanyiwa kazi na Kubenea yuko mbioni kupata mtambo mpya wa kisasa lakini kwa sharti la kuachana na habari hasi za Rostam na Lowassa...." huu ndiyo uongo Hali Halisi imeshanunua mitambo yake ukitaka kuiona fika ofisi zao wako wazi watakuonyesha na hivi sasa wanatafuta mahali pa kuifunga. Mitambo hiyo ilikuwa inatumika na kampuni ya IPP lakini saizi hawaitumii tena mara baada ya kununua mipya.
- Kuhusu kutoandikwa kwa Lowasa kama mwandishi alivyosema na hapa namnukuu ".....kwa sharti la kuachana na habari hasi za Rostam na Lowassa kwenye gazeti lake na kuendesha kampeni kali dhidi ya msururu wa watu aliopewa katika miaka mitatu ijayo." Huu ni uongo ambao umekanushwa na Ndg Yusuph kwa kutoa uthibitisho wa gazeti la jana toleo No. 243. katika habari inayohusu "Maranda bila ya Kagoda ni bure" habari hiyo inapatikana katika uk wa 5. Akazidi kuweka wazi, kuwa katika ukurasa wa 10-11 kuna habari ya Kubenea inayosema "Makamba kapata wapi uwezo kunyanyasa wananchi?". Katika habari hiyo Kubenea amemchambua wazi Rostam na Lowasa hasa katika "column ya 4 -6 kwa walio na gazeti hilo someni.
- Vita ya ufisadi ilianzishwa na vyombo vya habari huku gazeti la MwanaHalisi likiongoza. Hili alithibitisha kwa kunipa mlolongo mrefu wa karibu watu wote waliojatwa kuwa ndiyo wahanga wa mkakati huo wa Rostam kumtika mfukoni Kubenea ambao kwa hapa sioni kama ni material sana. Ila kwa kifupi sana ni kama lifuatavyo hapa chini:
Hivyo alitoa hitimisho kwa kusema gezeti la MwanaHalisi ni gezeti lenye maadui wengi sana, lakini litabaki kutoa habali bila upendeleo wowote ule. Akatoa mfano wa magazeti yanayotoa habari upande mmoja kama Mtanzania, Uhuru n.k
- Anna Kilango na Sitta - Sakata la Richmond walipolifunga bungeni na Sitta kutoa tamko rasmi kuwa limekwisha na mjadala umefungwa
- Kinana - Pembe za ndovu zilikatwa kwenye meli yake.
- Kigoda - Sakata la posho mbili bungeni.
- Magufuli - Sakata la uuzaji nyumba za serikali n.k
Wana JF nawakilisha baada ya kupata ukweli,
My Take.
Tuache kuandika habari kwa upendeleo na kishabiki, ukipata kitu kitafiti kidogo tumia akili yako kuona kina ukweli ndiyo ukiwakilishe vinginevyo ni kuishushia hadhi JF kuwa ni jukwaa la kidaku daku.
Natoka nje ya topic kidogo hiyo avator yako ni kiboko mkuu,Thanks tulijua tumepoteza ma fighter.
Kubenea akinunuliwa na RA watanganyika tumekwisha, maana me namuona ni miongoni mwa wapiganaji makini na jasiri wa watz.Wana JF nimelazimika kupost thread mpya kabisa ili niweze kueleza ukweli juu ya thread hii https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...m-yatimia-kubenea-atiwa-mfukoni-hatimaye.html.
Nililazimika kupiga simu gazeti la Mwanahalisi na simu yangu kupokelewa na mtu anayeitwa Yusuph Abudu - Afisa Tawala wa gazeti hilo na kisheria anayo power ya kuisemea kampuni hiyo. Ilibidi nimsomee thread yote na yeye kuanza kunijibu kashfa moja baada ya nyingine.
Kwanza ameanza kwa kukanusha kwamba si Kubenea wala Hali Halisi Publishers Co. Ltd kuwa imetiwa mfukoni na fisadi yoyote licha ya Rostam ambaye ametajwa katika thread hiyo kwa sababu zifuatazo:-
- Hakuna mtambo unauzwa 20ml kama alivyodai kamaudoulton. Mitambo ya kuchapisha magazeti ina thamani zaidi ya hiyo!
- Hali Halisi ina mitambo yake tayari na imenunua kutoka kampuni ya IPP iliyo chini ya Mengi na tayari wameshalipa DOWN PAYMENT. Hivyo tuhuma za kuwa na makubaliano ya kutaka kununuliwa mitambo ni uzushi, uongo na fitna ya wazi kabisa. ".....zinasema kijembe kile cha kumnunulia Kubenea mtambo wa kuchapishia magazeti kimefanyiwa kazi na Kubenea yuko mbioni kupata mtambo mpya wa kisasa lakini kwa sharti la kuachana na habari hasi za Rostam na Lowassa...." huu ndiyo uongo Hali Halisi imeshanunua mitambo yake ukitaka kuiona fika ofisi zao wako wazi watakuonyesha na hivi sasa wanatafuta mahali pa kuifunga. Mitambo hiyo ilikuwa inatumika na kampuni ya IPP lakini saizi hawaitumii tena mara baada ya kununua mipya.
- Kuhusu kutoandikwa kwa Lowasa kama mwandishi alivyosema na hapa namnukuu ".....kwa sharti la kuachana na habari hasi za Rostam na Lowassa kwenye gazeti lake na kuendesha kampeni kali dhidi ya msururu wa watu aliopewa katika miaka mitatu ijayo." Huu ni uongo ambao umekanushwa na Ndg Yusuph kwa kutoa uthibitisho wa gazeti la jana toleo No. 243. katika habari inayohusu "Maranda bila ya Kagoda ni bure" habari hiyo inapatikana katika uk wa 5. Akazidi kuweka wazi, kuwa katika ukurasa wa 10-11 kuna habari ya Kubenea inayosema "Makamba kapata wapi uwezo kunyanyasa wananchi?". Katika habari hiyo Kubenea amemchambua wazi Rostam na Lowasa hasa katika "column ya 4 -6 kwa walio na gazeti hilo someni.
- Vita ya ufisadi ilianzishwa na vyombo vya habari huku gazeti la MwanaHalisi likiongoza. Hili alithibitisha kwa kunipa mlolongo mrefu wa karibu watu wote waliojatwa kuwa ndiyo wahanga wa mkakati huo wa Rostam kumtika mfukoni Kubenea ambao kwa hapa sioni kama ni material sana. Ila kwa kifupi sana ni kama lifuatavyo hapa chini:
Hivyo alitoa hitimisho kwa kusema gezeti la MwanaHalisi ni gezeti lenye maadui wengi sana, lakini litabaki kutoa habali bila upendeleo wowote ule. Akatoa mfano wa magazeti yanayotoa habari upande mmoja kama Mtanzania, Uhuru n.k
- Anna Kilango na Sitta - Sakata la Richmond walipolifunga bungeni na Sitta kutoa tamko rasmi kuwa limekwisha na mjadala umefungwa
- Kinana - Pembe za ndovu zilikatwa kwenye meli yake.
- Kigoda - Sakata la posho mbili bungeni.
- Magufuli - Sakata la uuzaji nyumba za serikali n.k
Wana JF nawakilisha baada ya kupata ukweli,
My Take.
Tuache kuandika habari kwa upendeleo na kishabiki, ukipata kitu kitafiti kidogo tumia akili yako kuona kina ukweli ndiyo ukiwakilishe vinginevyo ni kuishushia hadhi JF kuwa ni jukwaa la kidaku daku.
Siyo rahisi mkuu, ni rafiki na akina Nnape Nauye lakini kweli taaluma anakwambia urafiki pembeni na hivyo ndivyo alivyo.Kubenea akinunuliwa na RA watanganyika tumekwisha, maana me namuona ni miongoni mwa wapiganaji makini na jasiri wa watz.