Kubenea wa MWANAHALISI amenunuliwa na mafisadi?

Siyo siku mmoja tu kujua mpenzi wako kakuacha unahitaji kuchunguza mda mrefu.
 
Hivi kweli Kubenea ameshuka dhamani kiasi hii??. Hii habari imeegemea kwenye uongo na uzushi zaidi kuliko ukweli wenyewe
 
Wana JF nimelazimika kupost thread mpya kabisa ili niweze kueleza ukweli juu ya thread hii https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...m-yatimia-kubenea-atiwa-mfukoni-hatimaye.html.
Nililazimika kupiga simu gazeti la Mwanahalisi na simu yangu kupokelewa na mtu anayeitwa Yusuph Abudu - Afisa Tawala wa gazeti hilo na kisheria anayo power ya kuisemea kampuni hiyo. Ilibidi nimsomee thread yote na yeye kuanza kunijibu kashfa moja baada ya nyingine.

Kwanza ameanza kwa kukanusha kwamba si Kubenea wala Hali Halisi Publishers Co. Ltd kuwa imetiwa mfukoni na fisadi yoyote licha ya Rostam ambaye ametajwa katika thread hiyo kwa sababu zifuatazo:-

  1. Hakuna mtambo unauzwa 20ml kama alivyodai kamaudoulton. Mitambo ya kuchapisha magazeti ina thamani zaidi ya hiyo!
  2. Hali Halisi ina mitambo yake tayari na imenunua kutoka kampuni ya IPP iliyo chini ya Mengi na tayari wameshalipa DOWN PAYMENT. Hivyo tuhuma za kuwa na makubaliano ya kutaka kununuliwa mitambo ni uzushi, uongo na fitna ya wazi kabisa. ".....zinasema kijembe kile cha kumnunulia Kubenea mtambo wa kuchapishia magazeti kimefanyiwa kazi na Kubenea yuko mbioni kupata mtambo mpya wa kisasa lakini kwa sharti la kuachana na habari hasi za Rostam na Lowassa...." huu ndiyo uongo Hali Halisi imeshanunua mitambo yake ukitaka kuiona fika ofisi zao wako wazi watakuonyesha na hivi sasa wanatafuta mahali pa kuifunga. Mitambo hiyo ilikuwa inatumika na kampuni ya IPP lakini saizi hawaitumii tena mara baada ya kununua mipya.
  3. Kuhusu kutoandikwa kwa Lowasa kama mwandishi alivyosema na hapa namnukuu ".....kwa sharti la kuachana na habari hasi za Rostam na Lowassa kwenye gazeti lake na kuendesha kampeni kali dhidi ya msururu wa watu aliopewa katika miaka mitatu ijayo." Huu ni uongo ambao umekanushwa na Ndg Yusuph kwa kutoa uthibitisho wa gazeti la jana toleo No. 243. katika habari inayohusu "Maranda bila ya Kagoda ni bure" habari hiyo inapatikana katika uk wa 5. Akazidi kuweka wazi, kuwa katika ukurasa wa 10-11 kuna habari ya Kubenea inayosema "Makamba kapata wapi uwezo kunyanyasa wananchi?". Katika habari hiyo Kubenea amemchambua wazi Rostam na Lowasa hasa katika "column ya 4 -6 kwa walio na gazeti hilo someni.
  4. Vita ya ufisadi ilianzishwa na vyombo vya habari huku gazeti la MwanaHalisi likiongoza. Hili alithibitisha kwa kunipa mlolongo mrefu wa karibu watu wote waliojatwa kuwa ndiyo wahanga wa mkakati huo wa Rostam kumtika mfukoni Kubenea ambao kwa hapa sioni kama ni material sana. Ila kwa kifupi sana ni kama lifuatavyo hapa chini:

  • Anna Kilango na Sitta - Sakata la Richmond walipolifunga bungeni na Sitta kutoa tamko rasmi kuwa limekwisha na mjadala umefungwa
  • Kinana - Pembe za ndovu zilikatwa kwenye meli yake.
  • Kigoda - Sakata la posho mbili bungeni.
  • Magufuli - Sakata la uuzaji nyumba za serikali n.k
Hivyo alitoa hitimisho kwa kusema gezeti la MwanaHalisi ni gezeti lenye maadui wengi sana, lakini litabaki kutoa habali bila upendeleo wowote ule. Akatoa mfano wa magazeti yanayotoa habari upande mmoja kama Mtanzania, Uhuru n.k

Wana JF nawakilisha baada ya kupata ukweli,
My Take.
Tuache kuandika habari kwa upendeleo na kishabiki, ukipata kitu kitafiti kidogo tumia akili yako kuona kina ukweli ndiyo ukiwakilishe vinginevyo ni kuishushia hadhi JF kuwa ni jukwaa la kidaku daku.
 
Job well done!!!!
asante kututhibitishia unajali.
Wapendwa wangu mnaoandika habari bila kuthibitisha kwanza mnakuwa mnazitoa kwenye vichochoro gani? Hamuoni kuwa zaweza kuwavunjia heshima kabisa? Wacha mchezo huo!!!
 
Habari ya uongo isipokanushwa inageuka kuwa ya kweli...... asante kwa kutuhabarisha.
Ni kweli kisha ukiangalia joining date ya mtoa thread jamaa ni mkongwe kwenye jukwaa. Anyway nadhani atasoma hapa na kuona ukweli.
 
Wana JF nimelazimika kupost thread mpya kabisa ili niweze kueleza ukweli juu ya thread hii https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...m-yatimia-kubenea-atiwa-mfukoni-hatimaye.html.
Nililazimika kupiga simu gazeti la Mwanahalisi na simu yangu kupokelewa na mtu anayeitwa Yusuph Abudu - Afisa Tawala wa gazeti hilo na kisheria anayo power ya kuisemea kampuni hiyo. Ilibidi nimsomee thread yote na yeye kuanza kunijibu kashfa moja baada ya nyingine.

Kwanza ameanza kwa kukanusha kwamba si Kubenea wala Hali Halisi Publishers Co. Ltd kuwa imetiwa mfukoni na fisadi yoyote licha ya Rostam ambaye ametajwa katika thread hiyo kwa sababu zifuatazo:-

  1. Hakuna mtambo unauzwa 20ml kama alivyodai kamaudoulton. Mitambo ya kuchapisha magazeti ina thamani zaidi ya hiyo!
  2. Hali Halisi ina mitambo yake tayari na imenunua kutoka kampuni ya IPP iliyo chini ya Mengi na tayari wameshalipa DOWN PAYMENT. Hivyo tuhuma za kuwa na makubaliano ya kutaka kununuliwa mitambo ni uzushi, uongo na fitna ya wazi kabisa. ".....zinasema kijembe kile cha kumnunulia Kubenea mtambo wa kuchapishia magazeti kimefanyiwa kazi na Kubenea yuko mbioni kupata mtambo mpya wa kisasa lakini kwa sharti la kuachana na habari hasi za Rostam na Lowassa...." huu ndiyo uongo Hali Halisi imeshanunua mitambo yake ukitaka kuiona fika ofisi zao wako wazi watakuonyesha na hivi sasa wanatafuta mahali pa kuifunga. Mitambo hiyo ilikuwa inatumika na kampuni ya IPP lakini saizi hawaitumii tena mara baada ya kununua mipya.
  3. Kuhusu kutoandikwa kwa Lowasa kama mwandishi alivyosema na hapa namnukuu ".....kwa sharti la kuachana na habari hasi za Rostam na Lowassa kwenye gazeti lake na kuendesha kampeni kali dhidi ya msururu wa watu aliopewa katika miaka mitatu ijayo." Huu ni uongo ambao umekanushwa na Ndg Yusuph kwa kutoa uthibitisho wa gazeti la jana toleo No. 243. katika habari inayohusu "Maranda bila ya Kagoda ni bure" habari hiyo inapatikana katika uk wa 5. Akazidi kuweka wazi, kuwa katika ukurasa wa 10-11 kuna habari ya Kubenea inayosema "Makamba kapata wapi uwezo kunyanyasa wananchi?". Katika habari hiyo Kubenea amemchambua wazi Rostam na Lowasa hasa katika "column ya 4 -6 kwa walio na gazeti hilo someni.
  4. Vita ya ufisadi ilianzishwa na vyombo vya habari huku gazeti la MwanaHalisi likiongoza. Hili alithibitisha kwa kunipa mlolongo mrefu wa karibu watu wote waliojatwa kuwa ndiyo wahanga wa mkakati huo wa Rostam kumtika mfukoni Kubenea ambao kwa hapa sioni kama ni material sana. Ila kwa kifupi sana ni kama lifuatavyo hapa chini:

  • Anna Kilango na Sitta - Sakata la Richmond walipolifunga bungeni na Sitta kutoa tamko rasmi kuwa limekwisha na mjadala umefungwa
  • Kinana - Pembe za ndovu zilikatwa kwenye meli yake.
  • Kigoda - Sakata la posho mbili bungeni.
  • Magufuli - Sakata la uuzaji nyumba za serikali n.k
Hivyo alitoa hitimisho kwa kusema gezeti la MwanaHalisi ni gezeti lenye maadui wengi sana, lakini litabaki kutoa habali bila upendeleo wowote ule. Akatoa mfano wa magazeti yanayotoa habari upande mmoja kama Mtanzania, Uhuru n.k

Wana JF nawakilisha baada ya kupata ukweli,
My Take.
Tuache kuandika habari kwa upendeleo na kishabiki, ukipata kitu kitafiti kidogo tumia akili yako kuona kina ukweli ndiyo ukiwakilishe vinginevyo ni kuishushia hadhi JF kuwa ni jukwaa la kidaku daku.

RED:Ongeza habari leo na jambo leo
 
Asante kwa kuandika habari zenye uchunguzi wa kina.Mafisadi lazima watafute pa kupitia
 
Na huyo RA ana mfuko mkubwa namna gani hadi Kubenea aenee kwenye mfuko wake? Nyerere angekuwepo angemfukuzia mbali RA na kumpiga marufu kutembelea eneo la East Africa ...
 
Ukweli au uongo wa muanzisha thread umeonekana kwenye toleo la wiki hii, wapenzi wa mwanahalisi lisomeni lote mtajua ukweli, RACHEL wana kazi ngumu kupambana na Kubenea
 
Nilijua kwamba ni uongo, chuki binafsi, propaganda, uzabizabina, uzandukina maana haya ni magazeti kwelikweli. Ukisoma kwa mwaka mzima unaanza kuwa na akili nzuri. Sio kama Uhuru na Mzalendo, utabakia kusema zidumu tu zote.:A S 103:
 
wakuu tunahitaji watu kama hawa humu ndani ili kuondoa uongo wote wa vibaraka wa mafisadi. sijui hata huyu jamaa alipewa kiasi gani hadi akabuni uongo huu na kuutupa humu ndani. sisi tunamuaminia Kubenea ni mpiganaji asiyeyumbishwa kama wengine. Ahsante mtoa mada.
 
Wana JF nimelazimika kupost thread mpya kabisa ili niweze kueleza ukweli juu ya thread hii https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...m-yatimia-kubenea-atiwa-mfukoni-hatimaye.html.
Nililazimika kupiga simu gazeti la Mwanahalisi na simu yangu kupokelewa na mtu anayeitwa Yusuph Abudu - Afisa Tawala wa gazeti hilo na kisheria anayo power ya kuisemea kampuni hiyo. Ilibidi nimsomee thread yote na yeye kuanza kunijibu kashfa moja baada ya nyingine.

Kwanza ameanza kwa kukanusha kwamba si Kubenea wala Hali Halisi Publishers Co. Ltd kuwa imetiwa mfukoni na fisadi yoyote licha ya Rostam ambaye ametajwa katika thread hiyo kwa sababu zifuatazo:-

  1. Hakuna mtambo unauzwa 20ml kama alivyodai kamaudoulton. Mitambo ya kuchapisha magazeti ina thamani zaidi ya hiyo!
  2. Hali Halisi ina mitambo yake tayari na imenunua kutoka kampuni ya IPP iliyo chini ya Mengi na tayari wameshalipa DOWN PAYMENT. Hivyo tuhuma za kuwa na makubaliano ya kutaka kununuliwa mitambo ni uzushi, uongo na fitna ya wazi kabisa. ".....zinasema kijembe kile cha kumnunulia Kubenea mtambo wa kuchapishia magazeti kimefanyiwa kazi na Kubenea yuko mbioni kupata mtambo mpya wa kisasa lakini kwa sharti la kuachana na habari hasi za Rostam na Lowassa...." huu ndiyo uongo Hali Halisi imeshanunua mitambo yake ukitaka kuiona fika ofisi zao wako wazi watakuonyesha na hivi sasa wanatafuta mahali pa kuifunga. Mitambo hiyo ilikuwa inatumika na kampuni ya IPP lakini saizi hawaitumii tena mara baada ya kununua mipya.
  3. Kuhusu kutoandikwa kwa Lowasa kama mwandishi alivyosema na hapa namnukuu ".....kwa sharti la kuachana na habari hasi za Rostam na Lowassa kwenye gazeti lake na kuendesha kampeni kali dhidi ya msururu wa watu aliopewa katika miaka mitatu ijayo." Huu ni uongo ambao umekanushwa na Ndg Yusuph kwa kutoa uthibitisho wa gazeti la jana toleo No. 243. katika habari inayohusu "Maranda bila ya Kagoda ni bure" habari hiyo inapatikana katika uk wa 5. Akazidi kuweka wazi, kuwa katika ukurasa wa 10-11 kuna habari ya Kubenea inayosema "Makamba kapata wapi uwezo kunyanyasa wananchi?". Katika habari hiyo Kubenea amemchambua wazi Rostam na Lowasa hasa katika "column ya 4 -6 kwa walio na gazeti hilo someni.
  4. Vita ya ufisadi ilianzishwa na vyombo vya habari huku gazeti la MwanaHalisi likiongoza. Hili alithibitisha kwa kunipa mlolongo mrefu wa karibu watu wote waliojatwa kuwa ndiyo wahanga wa mkakati huo wa Rostam kumtika mfukoni Kubenea ambao kwa hapa sioni kama ni material sana. Ila kwa kifupi sana ni kama lifuatavyo hapa chini:
  • Anna Kilango na Sitta - Sakata la Richmond walipolifunga bungeni na Sitta kutoa tamko rasmi kuwa limekwisha na mjadala umefungwa
  • Kinana - Pembe za ndovu zilikatwa kwenye meli yake.
  • Kigoda - Sakata la posho mbili bungeni.
  • Magufuli - Sakata la uuzaji nyumba za serikali n.k
Hivyo alitoa hitimisho kwa kusema gezeti la MwanaHalisi ni gezeti lenye maadui wengi sana, lakini litabaki kutoa habali bila upendeleo wowote ule. Akatoa mfano wa magazeti yanayotoa habari upande mmoja kama Mtanzania, Uhuru n.k

Wana JF nawakilisha baada ya kupata ukweli,
My Take.
Tuache kuandika habari kwa upendeleo na kishabiki, ukipata kitu kitafiti kidogo tumia akili yako kuona kina ukweli ndiyo ukiwakilishe vinginevyo ni kuishushia hadhi JF kuwa ni jukwaa la kidaku daku.
Kubenea akinunuliwa na RA watanganyika tumekwisha, maana me namuona ni miongoni mwa wapiganaji makini na jasiri wa watz.
 
Kwa mimi nilvyoichukulia ile thread niliona ka yule mtoa uzi alikuwa anaona ka kuandikwa ufisadi wa Jk na watu wake wa karibu ni mbinu za kina RACHEL dhidi ya JK lakini sikuamini ka kweli mwanahalisi wanaweza nunuliwa lakini shukrani kwa hili umeweka evidence ya kuchoka waache kudhaniadhania wapekue

Pukudu@ Ilkiding'a, Arusha
 
Tangu mwanzo mimi nilisema hili ni uwongo. Hamkunielewa. Haya unaona Bw. Aboud amekuja kuliweka wazi. Tena nawaambia mtambo wa Kubenea upo pale IPP nendeni mkauone. Yule bwana kiboko. Kama ingekuwa Kubenea kanunuliwa asingekuwa na urafiki na Mengi wala Mengi asingeweza kumuuzia mtambo. Haya uwongo una mwisho
 
Kubenea akinunuliwa na RA watanganyika tumekwisha, maana me namuona ni miongoni mwa wapiganaji makini na jasiri wa watz.
Siyo rahisi mkuu, ni rafiki na akina Nnape Nauye lakini kweli taaluma anakwambia urafiki pembeni na hivyo ndivyo alivyo.
 
Back
Top Bottom