Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
Hahhaha.Huwezi kushinda mkeka hata mmoja
Mkuu, mbona wanikatisha tamaa, kumbuka kila mkeka unajitegemea hapaHuwezi kushinda mkeka hata mmoja
Haha tatizo hela yake ya mikeka mitano keshaipigia mahesabu tayari na matumizi kabla mikeka haijatiki. Ni kosa kubwa sana kwenye bettingHahhaha.
Ukishinda kama kila mkeka unajitegemea unatumiwa pesa muda huo huo.
Hapo sawa mkuu...Hahhaha.
Ukishinda kama kila mkeka unajitegemea unatumiwa pesa muda huo huo.
Hahaha mkuu sikukatishi tamaa betting ni zaidi ya uijuavyoMkuu, mbona wanikatisha tamaa, kumbuka kila mkeka unajitegemea hapa
Hapana mkuu, sio hvyoHaha tatizo hela yake ya mikeka mitano keshaipigia mahesabu tayari na matumizi kabla mikeka haijatiki. Ni kosa kubwa sana kwenye betting
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Huwezi kushinda mkeka hata mmoja
Kumaanisha umecheza single single x5Mkuu, mbona wanikatisha tamaa, kumbuka kila mkeka unajitegemea hapa
Mkeka ukitiki hata dakika ya 5 unawekewa mpunga wako hata kama gemu inaendelea ndo uzuri wa site za mbele!Mkuu, mbona wanikatisha tamaa, kumbuka kila mkeka unajitegemea hapa
Anawaza anunue kiwanja na sementi.Haha tatizo hela yake ya mikeka mitano keshaipigia mahesabu tayari na matumizi kabla mikeka haijatiki. Ni kosa kubwa sana kwenye betting
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Anawaza anunue kiwanja na sementi.
Hebu nikuulize kidogo mkuu..Hahhaha.
Ukishinda kama kila mkeka unajitegemea unatumiwa pesa muda huo huo.
uujue mpira na uzijue timumi sifahamu kabisa hii kitu, hivi kama nikitaka kuanza lazima niwe na nini cha kwanza?
Mkuu, Actually kubet ni bahat tuuujue mpira na uzijue timu
leta mrejesho mikeka yako imeendajeMkuu, Actually kubet ni bahat tu
Hata ukijua timu unaweza kuliwa vizuri.. Si kikubwa ni kubahatisha/ kuotea tu maana matokeo kamili huyafahamu/huyajui...
Nimekula 3 - 2 nimeliwa mkuuleta mrejesho mikeka yako imeendaje