Kubeti na 1xbet

Kubeti na 1xbet

Clark boots

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
6,770
Reaction score
6,202
Mambo vipi wakuu wangu....
Ni hivi, leo nianza rasmi kubeti kupitia hii App ya 1Xbet, nimeweka mikeka mitano( mmojamoja) ambapo mechi zitapigwa mda tofautitofauti..
Sasa wakuu naomba ufahamu kidogo juu ya hili.
*kama nimeshinda mkeka wa kwanza kucheza(unaanza mapema), nitatumiwa pesa yangu papohapo baada ya mechi husika kumalizika Au mpaka ziishe mechi zote ndo nipate hela yangu kwa mechi nilizoshinda..?
 
Hahhaha.

Ukishinda kama kila mkeka unajitegemea unatumiwa pesa muda huo huo.
Hebu nikuulize kidogo mkuu..
Hivi zile namba/Asilimia/ viwango vya pesa baada ya kushinda huwa zinabadilikaga kadri muda wa mechi husika unavyokaribia..?
Yaan kwa mfano Simba - Yanga SC zinacheza SAA kumi na mbili Jioni.. So probably SAA 7 mchana
Simba 5.61 - Yanga 3.4

SAA kumi jioni ikawa
Simba 2.97 - Yanga 4.16
 
Back
Top Bottom