Kubeti ni kama kudanga tu!

There is no royal road in making profits. Betting ni biashara yenye ukwasi mwingi mno what is most important andaa strategy yako basi af uje uniambie asante.
But there is royal road in learning, soma sana uje uajiriwe
Nasikia kizunguzungu..... 🤔🤔. Anyways ngoja niandae strategy nyingine labda but how?
 
Betting ni burdani tu. Ile hali ya hela yako uliyoitafuta kwa jasho inapokuwa na hati hati ya kupotea au kudouble... Kuna kile kitete kinakuandama hujui kesho yako hapo ndipo burdani ya Kamali ilipo. Usidhani hiyo ni kazi. Nahisi ndio maana huwa wanatumia tag line "bet responsibly"


Kinachonipa wasiwasi ni kwanini mwanaume mzima uende kwa mhindi umpe pesa yako kwa mategemeo wengine watapoteza ili wewe upate nyingi!? Kwanini msiungane mkanunue hisa mpate wote!? Kwa kuzalisha!?
 
Wazo mujarabu kabisa mkuu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…