Kubeti sio kamari, kamari ni kama vile Tatu Mzuka (sio betting)

Kubeti sio kamari, kamari ni kama vile Tatu Mzuka (sio betting)

Kwenye kununua Hapa unazungumzia biashara ambayo inakua na kutoa / kupokea huduma au/na bidhaa Kwa fedha

Sasa mkuu tusaidie kwenye betting unapokea huduma au bidhaa Gani ?
Unanunua mazao ili baadae uje uyauze yakipanda bei... hapo kwenye kupanda bei ndipo kuna probability.
 
Unaonaje ukinunua mchele shambani 2500 na mteja wako umuuzie 2500 maana ukizidisha utakua umetenda dhambi maana wewe ulinunua 2500 na hiyo si ni kamari maana ukizidisha unachukia hela ya mtu
Faida ni halali kwenye dini ila kamari si halali kwenye dini. Shubamiit zenu dini itawakosesha raha vijana hahahaha.

Mwenye tatizo na betting siyo mimi ni wewe unayetaka isiwe kamari ili kuhalalisha kuicheza.

Mtu anayebeti kwangu namuona yupo sawa tu as long as haijawa uraibu ila wewe ndo unatamani isiwe kamari kwanza ili kuhalalisha kuicheza ila ni kamari.
 
Turudi kwanza kwenye kwenye huduma au bidhaa unayopata kwenye betting
Kwenye betting huduma unayopata ni ile network ya mtu kukupangia odd na kutumia maunzi yake kuplace bet na system kuchakata bet yako ikakurudishia matokeo pale ikwia bet imeenda upande wako umekula au ikiwa hakwenda upande wako umeliwa. Hiyo ndio huduma unayopata.
 
Hapa kwenye maelezo Yako hakuna huduma

Huduma inapaswa kuwa na relief kwako Sasa hapa unapata relief Gani ?
 
Hapa kwenye maelezo Yako hakuna huduma

Huduma inapaswa kuwa na relief kwako Sasa hapa unapata relief Gani ?
Unapata relief ya kuplace a bet ukaishi kwa matumaini kuwa utashinda, ukaota majengo na magari. na unaipata kupitia amunzo ya mtoa huduma ya kubet.
 
1. Mkulima anayekwenda shambani kulima akitegemea mvua ambayo haiko ndani ya uwezo wake anabeti.
2. Mfanya biashara anayenunua maparachichi na nyanya kwa mkulima akitegemea kuuza kwa mteja ambaye hamjui anabeti.

3. Serikali inapopitisha bajeti ya mwaka ujao wa fedha na kupanga matumizi ya fedha ambazo hawajui kama zitapatikana au la inabeti.

4. Mimi ninaposema timu ya Yanga itaifumua timu ya Simba nabeti.

5. Suala la ndoa ni kubeti.

6. Kununua hisa za makampuni na kufanya uwekezaji wowote ule ni kubeti.
.........................
Kamari ni ile wewe unaweka 1000 unategemea kupata mamilioni bila kujua kompyuta inatumia hesabu gani ili kuchagua mshindi. Na kwakuwa hujui basi huna uwezo wa kudai ushindi.

Kwenye betting timu uliyosema kuwa unadhani itashida ikishinda kweli na usipopewa chako unaweza kudai na utalipwa maana kanuni ya kupata mshindi inajulikana.

NB: Nina mpango wa kufungua chama cha kubeti Tanzania (CCKT) na kitatoa fursa za vijana kushirikiana kutoa odds zakibabe na kushiriki kwenye mikutano mbalimbali ya wawekezaji kwenye sekta ya betting ambao pia ni walipakodi walio nyooka.
Kwenye kesi zote ulizotaja ukiacha namba 4 zote zinahusisha uwekezaji,kufanya kazi na uzalishaji wa vitu vinavyo onekana vipi kwenye betting hizi sifa tunaweza kuziona zote Kwa pamoja ?

Kesi zote ulizotaja ukiacha namba 4 zinatoa relief (ahueni/pumziko/kufurahi etc)na hii inafanya ziwe productive Sasa kwenye betting unapata relief Gani ?
 
Uzalishaji si kwa vitu tu vinavyoonekana, kuna watu uzalishaji wao ni maarifa na wanaingiza ela. Sio lazima uzalishaji uhusishe vitu tangible na visible mkuu.
Mimi si bet nilishaacha na wala sishauri mtu kubet ila niko hapa kukuchallenge kwa hoja tu.
 
Unapata relief ya kuplace a bet ukaishi kwa matumaini kuwa utashinda, ukaota majengo na magari. na unaipata kupitia amunzo ya mtoa huduma ya kubet.
Kwahiyo relief ni matumaini ambayo hayapo
Uzalishaji si kwa vitu tu vinavyoonekana, kuna watu uzalishaji wao ni maarifa na wanaingiza ela. Sio lazima uzalishaji uhusishe vitu tangible na visible mkuu.
Mimi si bet nilishaacha na wala sishauri mtu kubet ila niko hapa kukuchallenge kwa hoja tu.
Nakubaliana na wewe kwenye uzalishaji unaweza kuwa invisible Sasa relief je ipo kwenye betting ?
 
Kwahiyo relief ni matumaini ambayo hayapo

Nakubaliana na wewe kwenye uzalishaji unaweza kuwa invisible Sasa relief je ipo kwenye betting ?
Soma hii "Betting can be considered a service because it involves providing an organized platform or mechanism for people to place wagers on various events or outcomes, typically in exchange for a fee or a portion of the bet."
Yani kama ambavyo unaambiwa elimu ni ufunguo wa maisha, unasema kwa imani ukiwa na matumaini ya kufungua maisha unamaliza na unabaki kitaa kupga tofali kama ambaye hakusoma, na wengine wanatoboa kupitia hiyo elimu. Na betting iko hivyo.
 
Faida ni halali kwenye dini ila kamari si halali kwenye dini. Shubamiit zenu dini itawakosesha raha vijana hahahaha.

Mwenye tatizo na betting siyo mimi ni wewe unayetaka isiwe kamari ili kuhalalisha kuicheza.

Mtu anayebeti kwangu namuona yupo sawa tu as long as haijawa uraibu ila wewe ndo unatamani isiwe kamari kwanza ili kuhalalisha kuicheza ila ni kamari.
Hamna uhalali wowote akili huna yaani umuumize mwenzio Kwa Bei tofauti useme dini inasema hivyo acha uongo mzee huo ni wizi pia haiwezekani ununue 2500 halafu uuze 3000 zaidi umemtapeli mwenzio hivyo kiufupi hamna kitu halali ni sawa na kamari tu
 
Kwenye kesi zote ulizotaja ukiacha namba 4 zote zinahusisha uwekezaji,kufanya kazi na uzalishaji wa vitu vinavyo onekana vipi kwenye betting hizi sifa tunaweza kuziona zote Kwa pamoja ?

Kesi zote ulizotaja ukiacha namba 4 zinatoa relief (ahueni/pumziko/kufurahi etc)na hii inafanya ziwe productive Sasa kwenye betting unapata relief Gani ?
Akili Yako ndogo sana ndio maana mijitu mieusi inakufa masikini Kwa taarifa Yako betting ni biashara kama biashara nyingine Ina faida na hasara ukiishindwa wewe wenzio wanaiweza
 
Kamari ni ile wewe unaweka 1000 unategemea kupata mamilioni bila kujua kompyuta inatumia hesabu gani ili kuchagua mshindi. Na kwakuwa hujui basi huna uwezo wa kudai ushindi.
Kama kamari ni ile inayoendeshwa na kompyuta, je karata tatu sio kamari?
 
Hamna uhalali wowote hawezekani ununue 2500 halafu uuze zaidi umemtapeli mwenzio hivyo kiufupi hamna kitu halali hapo
Ok, tukiassume kuwa si halali, hata katika hayo mazingira bado Kununua kitu 2500 kisha ukakiuza 3000 si kitendo cha kulinganisha na ukatili wa kamari sababu Kamari inaumiza with nothing in return unapopoteza huku mwingine anachekelea sababu kachukua yote uliyopoteza na kakuacha bila kitu.

Tofauti na ukinunua mchele hata kama umepoteza 500 zaidi kwa kununua 3000 badala ya 2500 still bado unao mchele ulionunua.
 
Ok, tukiassume kuwa si halali, hata katika hayo mazingira bado Kununua kitu 2500 kisha ukakiuza 3000 si kitendo cha kulinganisha na ukatili wa kamari sababu Kamari inaumiza with nothing in return unapopoteza huku mwingine anachekelea sababu kachukua yote uliyopoteza.

Tofauti na ukinunua mchele hata kama umepoteza 500 zaidi kwa kununua 3000 badala ya 2500 still bado unao mchele ulionunua.
Wewe nahisi kichwani kwako kumejaa kinyesi yaani uibe 500 ya mtu kwenye kilo Moja halafu useme kirahisi tu hivi mtu akinunua kilo 100 hapoa utakua umemtapeli Bei Gani mzee huna hoja wizi ni wizi tu haijalishi kiasi gani
 
Every Punter (anayecheza na sio kuchezesha) anabet (Na sio betting pekee bali ni kwamba anamtajirisha mchezeshaji) In the end THE HOUSE ALWAYS WINS..., Kwanini ? Sababu the Odds are on their Favor..., hence you can not consistently overcome this mathematical fact....
Hivi Wanaodictate hizi odds ni kina nani na huwa wanatumia mfumo gani kuhakikisha kwamba the house is always favoured?

Huwa najiuliza sana kwa sababu hata ukifanya ile wanaita Hedging ambapo unaangalia option mbili tu either A or B then kote kote ukitia mpunga kwa kuzingatia hesabu zilivyo ili usipate loss mwisho wa siku hutapata faida.

Ni mara chache sana huwa wana mess up.... Who are these people!??
 
Mungu anabariki kazi ya mikono
Pia tumeambiwa tutakula kwa jasho
So it betting inafit hapo it's okay
Ila kiukweli siamini niliumbiwa kula kwa jasho za wenzangu
Hii mkuu ilikuwa enzi za Nguvu kazi za kukimbizana na swala ili mkono uende kinywani..., Dunia ya sasa Does not mean hard work pays na wengi wanakula jasho la wengine..., In fact nature inavyofanya kazi ni kwa viumbe vya aina fulani kula vingine..., Yaani Matsya Nyaya

Law of the Fishes; It is described as the fundamental law of nature explained by the proverb of the big fish devouring the smaller fish, hence strong devour the weak.
 
Back
Top Bottom