Unanunua mazao ili baadae uje uyauze yakipanda bei... hapo kwenye kupanda bei ndipo kuna probability.Kwenye kununua Hapa unazungumzia biashara ambayo inakua na kutoa / kupokea huduma au/na bidhaa Kwa fedha
Sasa mkuu tusaidie kwenye betting unapokea huduma au bidhaa Gani ?
Faida ni halali kwenye dini ila kamari si halali kwenye dini. Shubamiit zenu dini itawakosesha raha vijana hahahaha.Unaonaje ukinunua mchele shambani 2500 na mteja wako umuuzie 2500 maana ukizidisha utakua umetenda dhambi maana wewe ulinunua 2500 na hiyo si ni kamari maana ukizidisha unachukia hela ya mtu
Turudi kwanza kwenye kwenye huduma au bidhaa unayopata kwenye bettingUnanunua mazao ili baadae uje uyauze yakipanda bei... hapo kwenye kupanda bei ndipo kuna probability.
Kwenye betting huduma unayopata ni ile network ya mtu kukupangia odd na kutumia maunzi yake kuplace bet na system kuchakata bet yako ikakurudishia matokeo pale ikwia bet imeenda upande wako umekula au ikiwa hakwenda upande wako umeliwa. Hiyo ndio huduma unayopata.Turudi kwanza kwenye kwenye huduma au bidhaa unayopata kwenye betting
Hapa kwenye maelezo Yako hakuna hudumaKwenye betting huduma unayopata ni ile network ya mtu kukupangia odd na kutumia maunzi yake kuplace bet na system kuchakata bet yako ikakurudishia matokeo pale ikwia bet imeenda upande wako umekula au ikiwa hakwenda upande wako umeliwa. Hiyo ndio huduma unayopata.
Unapata relief ya kuplace a bet ukaishi kwa matumaini kuwa utashinda, ukaota majengo na magari. na unaipata kupitia amunzo ya mtoa huduma ya kubet.Hapa kwenye maelezo Yako hakuna huduma
Huduma inapaswa kuwa na relief kwako Sasa hapa unapata relief Gani ?
Kwenye kesi zote ulizotaja ukiacha namba 4 zote zinahusisha uwekezaji,kufanya kazi na uzalishaji wa vitu vinavyo onekana vipi kwenye betting hizi sifa tunaweza kuziona zote Kwa pamoja ?1. Mkulima anayekwenda shambani kulima akitegemea mvua ambayo haiko ndani ya uwezo wake anabeti.
2. Mfanya biashara anayenunua maparachichi na nyanya kwa mkulima akitegemea kuuza kwa mteja ambaye hamjui anabeti.
3. Serikali inapopitisha bajeti ya mwaka ujao wa fedha na kupanga matumizi ya fedha ambazo hawajui kama zitapatikana au la inabeti.
4. Mimi ninaposema timu ya Yanga itaifumua timu ya Simba nabeti.
5. Suala la ndoa ni kubeti.
6. Kununua hisa za makampuni na kufanya uwekezaji wowote ule ni kubeti.
.........................
Kamari ni ile wewe unaweka 1000 unategemea kupata mamilioni bila kujua kompyuta inatumia hesabu gani ili kuchagua mshindi. Na kwakuwa hujui basi huna uwezo wa kudai ushindi.
Kwenye betting timu uliyosema kuwa unadhani itashida ikishinda kweli na usipopewa chako unaweza kudai na utalipwa maana kanuni ya kupata mshindi inajulikana.
NB: Nina mpango wa kufungua chama cha kubeti Tanzania (CCKT) na kitatoa fursa za vijana kushirikiana kutoa odds zakibabe na kushiriki kwenye mikutano mbalimbali ya wawekezaji kwenye sekta ya betting ambao pia ni walipakodi walio nyooka.
Uzalishaji si kwa vitu tu vinavyoonekana, kuna watu uzalishaji wao ni maarifa na wanaingiza ela. Sio lazima uzalishaji uhusishe vitu tangible na visible mkuu.Kwenye kesi zote ulizotaja ukiacha namba 4 zote zinahusisha uwekezaji,kufanya kazi na uzalishaji wa vitu vinavyo onekana vipi kwenye betting hizi sifa tunaweza kuziona zote Kwa pamoja ?
Kesi zote ulizotaja ukiacha namba 4 zinatoa relief (ahueni/pumziko/kufurahi etc)na hii inafanya ziwe productive Sasa kwenye betting unapata relief Gani ?
Kwahiyo relief ni matumaini ambayo hayapoUnapata relief ya kuplace a bet ukaishi kwa matumaini kuwa utashinda, ukaota majengo na magari. na unaipata kupitia amunzo ya mtoa huduma ya kubet.
Nakubaliana na wewe kwenye uzalishaji unaweza kuwa invisible Sasa relief je ipo kwenye betting ?Uzalishaji si kwa vitu tu vinavyoonekana, kuna watu uzalishaji wao ni maarifa na wanaingiza ela. Sio lazima uzalishaji uhusishe vitu tangible na visible mkuu.
Mimi si bet nilishaacha na wala sishauri mtu kubet ila niko hapa kukuchallenge kwa hoja tu.
Soma hii "Betting can be considered a service because it involves providing an organized platform or mechanism for people to place wagers on various events or outcomes, typically in exchange for a fee or a portion of the bet."Kwahiyo relief ni matumaini ambayo hayapo
Nakubaliana na wewe kwenye uzalishaji unaweza kuwa invisible Sasa relief je ipo kwenye betting ?
Hamna uhalali wowote akili huna yaani umuumize mwenzio Kwa Bei tofauti useme dini inasema hivyo acha uongo mzee huo ni wizi pia haiwezekani ununue 2500 halafu uuze 3000 zaidi umemtapeli mwenzio hivyo kiufupi hamna kitu halali ni sawa na kamari tuFaida ni halali kwenye dini ila kamari si halali kwenye dini. Shubamiit zenu dini itawakosesha raha vijana hahahaha.
Mwenye tatizo na betting siyo mimi ni wewe unayetaka isiwe kamari ili kuhalalisha kuicheza.
Mtu anayebeti kwangu namuona yupo sawa tu as long as haijawa uraibu ila wewe ndo unatamani isiwe kamari kwanza ili kuhalalisha kuicheza ila ni kamari.
Akili Yako ndogo sana ndio maana mijitu mieusi inakufa masikini Kwa taarifa Yako betting ni biashara kama biashara nyingine Ina faida na hasara ukiishindwa wewe wenzio wanaiwezaKwenye kesi zote ulizotaja ukiacha namba 4 zote zinahusisha uwekezaji,kufanya kazi na uzalishaji wa vitu vinavyo onekana vipi kwenye betting hizi sifa tunaweza kuziona zote Kwa pamoja ?
Kesi zote ulizotaja ukiacha namba 4 zinatoa relief (ahueni/pumziko/kufurahi etc)na hii inafanya ziwe productive Sasa kwenye betting unapata relief Gani ?
Kama kamari ni ile inayoendeshwa na kompyuta, je karata tatu sio kamari?Kamari ni ile wewe unaweka 1000 unategemea kupata mamilioni bila kujua kompyuta inatumia hesabu gani ili kuchagua mshindi. Na kwakuwa hujui basi huna uwezo wa kudai ushindi.
Ok, tukiassume kuwa si halali, hata katika hayo mazingira bado Kununua kitu 2500 kisha ukakiuza 3000 si kitendo cha kulinganisha na ukatili wa kamari sababu Kamari inaumiza with nothing in return unapopoteza huku mwingine anachekelea sababu kachukua yote uliyopoteza na kakuacha bila kitu.Hamna uhalali wowote hawezekani ununue 2500 halafu uuze zaidi umemtapeli mwenzio hivyo kiufupi hamna kitu halali hapo
Wewe nahisi kichwani kwako kumejaa kinyesi yaani uibe 500 ya mtu kwenye kilo Moja halafu useme kirahisi tu hivi mtu akinunua kilo 100 hapoa utakua umemtapeli Bei Gani mzee huna hoja wizi ni wizi tu haijalishi kiasi ganiOk, tukiassume kuwa si halali, hata katika hayo mazingira bado Kununua kitu 2500 kisha ukakiuza 3000 si kitendo cha kulinganisha na ukatili wa kamari sababu Kamari inaumiza with nothing in return unapopoteza huku mwingine anachekelea sababu kachukua yote uliyopoteza.
Tofauti na ukinunua mchele hata kama umepoteza 500 zaidi kwa kununua 3000 badala ya 2500 still bado unao mchele ulionunua.
Hivi Wanaodictate hizi odds ni kina nani na huwa wanatumia mfumo gani kuhakikisha kwamba the house is always favoured?Every Punter (anayecheza na sio kuchezesha) anabet (Na sio betting pekee bali ni kwamba anamtajirisha mchezeshaji) In the end THE HOUSE ALWAYS WINS..., Kwanini ? Sababu the Odds are on their Favor..., hence you can not consistently overcome this mathematical fact....
Hii mkuu ilikuwa enzi za Nguvu kazi za kukimbizana na swala ili mkono uende kinywani..., Dunia ya sasa Does not mean hard work pays na wengi wanakula jasho la wengine..., In fact nature inavyofanya kazi ni kwa viumbe vya aina fulani kula vingine..., Yaani Matsya NyayaMungu anabariki kazi ya mikono
Pia tumeambiwa tutakula kwa jasho
So it betting inafit hapo it's okay
Ila kiukweli siamini niliumbiwa kula kwa jasho za wenzangu