Kubeti sio kazi

asante sport pesa kwa mara ya tano leo nakula milion 9 team zote kubwa niliweka under ya 4.5 tren la wiki moja asanten sana spotpesa hatimae nafikisha milion 85 kwenye toka nianze kubet mwaka jana kwa kila kampun ngoja kesho nikawasaidie wasio jiweza
 
Habari,kubeti imekuwa kazi kuliko kuchimba dhahabu man city kanilaza na viatu itabidi niachane na hii kazi haina faida....... ๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ก. NB:Mali yapatikana shambani
Majuto ni mjukuu ...
 
๐Ÿ˜„ ๐Ÿคฃ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜† ๐Ÿ˜„
 
Kwani hiyo pitch hai-meet viwango vya FA/UEFA/FIFA? Au ni kama ule wa kule Unyanyembe mtu mzima alichomoa dakika ya mwisho kabisa nyongeza?
 
Ya vocha tajiri
labda nikutengenezee mkeka hela hy nilipanga yote nikawasaidie yatima na wagonjwa pamoja na wafungwa so naenda kuwapa hela yote sitaki nibak hata na mia mana kama kula beting nimekula vya kutosha na nimeliwa vya kutosha
 
Sawa hata huko mkeka ni msaada pia boss!
Nipe utaratibu wa kuupata mkeka wangu sasa!
 
Habari,kubeti imekuwa kazi kuliko kuchimba dhahabu man city kanilaza na viatu itabidi niachane na hii kazi haina faida....... ๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ก. NB:Mali yapatikana shambani
Kuna aseno na yanga pia
 
๐—ช๐—ฎ๐—น๐—ฒ ๐˜„๐—ฎ๐—ด๐—ผ๐—ป๐—ท๐˜„๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ ๐—ฎ๐—ธ๐—ถ๐—น๐—ถ ๐—น๐—ฒ๐—ผ ๐˜„๐—ฎ๐—น๐—ถ๐˜๐—ผ๐—ฎ ๐˜๐—ฎ๐—บ๐—ธ๐—ผ ๐—ด๐—ฎ๐—ป๐—ถ ?
 
Habari,kubeti imekuwa kazi kuliko kuchimba dhahabu man city kanilaza na viatu itabidi niachane na hii kazi haina faida....... ๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ก. NB:Mali yapatikana shambani
Bafo hujafuzu kua mkamaria wewe changamoto ndogp ushaanza kulia lia ajali kazin sitosahau ihefu na yanga ile ya kuvunja unbeaten ya 49 ilivyochana mkeka wangu
 
Ungekula ingekuwaje? Ungeyasema haya! Hata Mimi nimepigwa mechi hiyo hiyo tena niliweka city ashinde adroo
 
Bafo hujafuzu kua mkamaria wewe changamoto ndogp ushaanza kulia lia ajali kazin sitosahau ihefu na yanga ile ya kuvunja unbeaten ya 49 ilivyochana mkeka wangu
Nina miaka mi5 Niko kwenye gemu mwaka huu Hali imekuwa ngumu zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ