Kubeti sio kazi

Kubeti sio kazi

asante sport pesa kwa mara ya tano leo nakula milion 9 team zote kubwa niliweka under ya 4.5 tren la wiki moja asanten sana spotpesa hatimae nafikisha milion 85 kwenye toka nianze kubet mwaka jana kwa kila kampun ngoja kesho nikawasaidie wasio jiweza
 
asante sport pesa kwa mara ya tano leo nakula milion 9 team zote kubwa niliweka under ya 4.5 tren la wiki moja asanten sana spotpesa hatimae nafikisha milion 85 kwenye toka nianze kubet mwaka jana kwa kila kampun ngoja kesho ni
asante sport pesa kwa mara ya tano leo nakula milion 9 team zote kubwa niliweka under ya 4.5 tren la wiki moja asanten sana spotpesa hatimae nafikisha milion 85 kwenye toka nianze kubet mwaka jana kwa kila kampun ngoja kesho nikawasaidie wasio jiweza
Tajiri naomba hela ya vocha tajiri
 
asante sport pesa kwa mara ya tano leo nakula milion 9 team zote kubwa niliweka under ya 4.5 tren la wiki moja asanten sana spotpesa hatimae nafikisha milion 85 kwenye toka nianze kubet mwaka jana kwa kila kampun ngoja kesho nikawasaidie wasio jiweza
😄 🤣 😂 😆 😄
 
𝗧𝗶𝗺𝘂 𝗸𝘂𝗯𝘄𝗮 𝗵𝗮𝘇𝗶𝘄𝗲𝘇𝗶 𝗸𝘂𝗽𝗮𝘁𝗮 𝗺𝗮𝘁𝗼𝗸𝗲𝗼 𝗽𝗮𝗹𝗲 𝗶𝗹𝗲 𝗽𝗶𝘁𝗰𝗵 𝗻𝗶 𝗻𝗱𝗼𝗴𝗼 𝗺𝗻𝗼𝗼, 𝗸𝘄𝗮𝗵𝗶𝘆𝗼 𝘁𝗶𝗺𝘂 𝗸𝘂𝗯𝘄𝗮 𝗹𝗮𝘇𝗶𝗺𝗮 𝘇𝗶 𝘀𝘁𝗿𝘂𝗴𝗴𝗹𝗲 𝗸𝘂𝗽𝗮𝘁𝗮 matokeo
Kwani hiyo pitch hai-meet viwango vya FA/UEFA/FIFA? Au ni kama ule wa kule Unyanyembe mtu mzima alichomoa dakika ya mwisho kabisa nyongeza?
 
Ya vocha tajiri
labda nikutengenezee mkeka hela hy nilipanga yote nikawasaidie yatima na wagonjwa pamoja na wafungwa so naenda kuwapa hela yote sitaki nibak hata na mia mana kama kula beting nimekula vya kutosha na nimeliwa vya kutosha
 
Sawa hata huko mkeka ni msaada pia boss!
Nipe utaratibu wa kuupata mkeka wangu sasa!
 
𝗪𝗮𝗹𝗲 𝘄𝗮𝗴𝗼𝗻𝗷𝘄𝗮 𝘄𝗮 𝗮𝗸𝗶𝗹𝗶 𝗹𝗲𝗼 𝘄𝗮𝗹𝗶𝘁𝗼𝗮 𝘁𝗮𝗺𝗸𝗼 𝗴𝗮𝗻𝗶 ?
 
Habari,kubeti imekuwa kazi kuliko kuchimba dhahabu man city kanilaza na viatu itabidi niachane na hii kazi haina faida....... 😡😡😡. NB:Mali yapatikana shambani
Bafo hujafuzu kua mkamaria wewe changamoto ndogp ushaanza kulia lia ajali kazin sitosahau ihefu na yanga ile ya kuvunja unbeaten ya 49 ilivyochana mkeka wangu
 
Ungekula ingekuwaje? Ungeyasema haya! Hata Mimi nimepigwa mechi hiyo hiyo tena niliweka city ashinde adroo
 
Bafo hujafuzu kua mkamaria wewe changamoto ndogp ushaanza kulia lia ajali kazin sitosahau ihefu na yanga ile ya kuvunja unbeaten ya 49 ilivyochana mkeka wangu
Nina miaka mi5 Niko kwenye gemu mwaka huu Hali imekuwa ngumu zaidi
 
Back
Top Bottom