Kuchagua kifo, ni sawa iwe sheria na haki kwa watu hawa?

Kuchagua kifo, ni sawa iwe sheria na haki kwa watu hawa?

LellozWho

Member
Joined
Jul 13, 2021
Posts
89
Reaction score
122
Najua kifo ni mtihani na ni neno linalo leta hofu.

Lakini Nina swali moja nakosaga jibu.

Najua wengi tumekutana na watu/ndugu/jamaa/rafiki ambao wapo kwenye wakati mgumu hasa katika hali ya kuugua.

Kua na matatizo ya kiafya ya muda mrefu, yanayo watesa na kuwakatisha Tamaa kwa kua hakuna tumaini la kupona.
eg: cancer and so on..

UNADHANI WATU HAWA KAMA WANAHITAJI KUKATISHA MAISHA YAO KUKWEPA MATESO WANAYOPOTIA,

NI SAWA WAKAPEWA SHERIA IWE NI HAKI YAO KUFUPISHA SAFARI YAO YAMAISHA!?
 
Back
Top Bottom