Kuchanganyikiwa na kutokuwa na akili kwa wanaojiita wanaharakati

TEC wanajizima Data uharifu uliofanyika wanajufanya hawauoni.
 
Kwanza kabisa hao wanaharakati waliokataa watu wasitokewe ni kina nani?

Na kwa nini unaandika mambo kijumlajumla?
 
Wale wadau waliokua wakilalamikia kero ya mwendokasi wakogo wapi siku hizi, au wameacha kusafiri wanafanyia kazi zao majumbani mwao๐Ÿ˜‚, jopo la maria, mange na sativa mlichowafanyia wananchi sio powa.

Saivi watalazimika kutumia kutumia nauli mara tatu zaidi ya ile ya mwendo kasi kisa ujinga wa kuchoma na kuharibu miundombinu ya DART๐Ÿค•

Wazeee wa mbezi wanaitafuta kivukoni kila kukicha wanaelewa show ya kuondokewa na huduma za DART๐Ÿ˜…
 
Umeandika upumbavu mtupu unaelimu gani?madrasa?
 
Kanisa Katoliki limehusika pakubwa sana kwenye mauwaji ya watu zaidi ya 400,000 mwaka 1994 kwenye mauwaji ya Kimbari. Kanisa Katoliki halijaacha utamaduni wake wa kugawa watu kwa maslahi yake. Tamaa, ufisadi, uzandiki na ubanafsi
 
Umeandika upumbavu mtupu unaelimu gani?madrasa?
(โœ๐Ÿผ anaandika Joseph Mapunda wa jimbo katoliki la Mbinga)

BARAZA LA MASKOFU (TEC) MNATUKOSEA SANA WAUMINI WAKATOLIKI.๐Ÿ“Œ

Tumsifu Yesu Kristo.

Jana tarehe 15 Novemba, 2025 nimesoma andiko la Baraza la Maaskofu (TEC) lililoitwa โ€œTafakari ya Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) Juu ya Yaliyotokea Siku na Baada ya Uchaguzi-2025โ€

Awali ya yote kabisa naomba kuchukua nafasi hii kutoa pole za dhati kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki wote waliopoteza ndugu zao katika vurugu zilizotokea tarehe 25 Oktoba, 2025 na siku zilizofuata wakati ambapo nchi yetu Tanzania ilijikuta katika matukio ambayo hayajawahi kutokea na hayafanani kabisa na utamaduni wa Watanzania. Matukio mageni haswa.

Naungana na Watanzania wote kuwaombea Marehemu wote wapumzike mahali pema peponi na majeruhi wote wapone haraka.

Napenda pia kuwapa pole wote waliopoteza mali zao, walipoteza biashara zao, walipoteza ajira zao na ambao wanapitia kipindi kigumu cha giza nene kutokana na kupoteza kipato ambacho kiliendesha maisha yao na familia zao ama wapendwa wao.

Kwa wale ambao wamehusika na uhuni huu ama kwa kuchochea ama kwa kutekeleza matukio ya uharibifu wa miundombinu ya umma, wizi wa mali za watu binafsi na umma, uchomaji moto wa majengo, magari na biashara za watu mbalimbali, Mwenyezi Mungu mwenye kutoa haki awape wanachostahili.

Naomba nirudi kwa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), bila kupepesa macho naomba kusema wazi nasikitishwa sana na mwenendo wa TEC kutoa matamko na maandiko ambayo badala ya kuponya Taifa yanachochea mgawanyiko, uhasama na kuligombanisha Kanisa na Serikali. Ni kweli Maaskofu ndio viongozi wakuu wa majimbo ya Kanisa Katoliki lakini ni muhimu Mababa Askofu mkaheshimu demokrasia na haki ya waumini wa Kanisa Katoliki kwa kutofanya mambo ambayo yanatokana na matakwa yenu, hayana baraka za waumini na yanawaharibia waumini wa Kanisa hili lenye heshima kubwa hapa Tanzania na ambalo limejengwa kwa jasho jingi la Watanzania vizazi na vizazi.

Nimeona mara kadhaa mnavyotoa matamko yenye vinasaba vya Kisiasa ambayo hakuna asiyejua kuwa yana mwelekeo wa siasa za upinzani na yanalenga kuishambulia Serikali. Sina tatizo na hoja mnazojenga lakini muhimu hapa kwa nini mnatumia Kanisa kufanya minyukano ya Kisiasa? Sisi Wakatoliki tumejenga Kanisa hili ili litupe huduma za kiroho, lihubiri Injili, lituweke pamoja na lidumishe amani na upendo kwa mwanadamu. Mnayoyafanya mnakiuka misingi hii.

Matukio yaliyotokea tarehe 29 Oktoba, 2025 na siku kadhaa za mbele hakuna yaliyemfurahisha, kwa nini nyie TEC mnaibuka na andiko la namna hii tena siku moja baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan kutoa hotuba ya kuwaunganisha Watanzania, ya kuhimiza amani na utulivu, ya kujibu hoja za vijana na ya kuendeleza mkono wa maridhiano? Kwa nini Kanisa langu mnafanya mambo haya?

Tuseme Waumini wa Kanisa Katoliki na wanaopendezwa na mambo yanayoendelea nchini watawashangilia na kwa kuwa kuna kampeni ya mitandaoni ya kuitisha maandamano tarehe 9 Desemba, 2025 ili wajitokeze tena kupambana na vyombo vya dola kama ilivyokuwa tarehe 29 Oktoba, 2025, mnataka watu wengine wauawe? hata wale ambao hawahusiki na uchochezi huu? Mnataka watu wengine waingie kwenye umasikini kwa biashara zao kuvamiwa, kuibiwa, kuharibiwa na kuchomewa moto? Au tuseme mnataka nchi iingie katika mapinduzi? Hamzijui gharama za mapinduzi?

Nimesoma andiko lenu mstari kwa mstari. Nataka niwaulize hoja chache kabisa na nyie mtafakari huku mkiongozwa na Roho Mtakatifu na roho wa haki;
1. Hivi Mababa Askofu kwenye andiko lenu mnasema tarehe 29 Oktoba, 2025 waandamaji walishambuliwa na kuuawa. Naomba kuuliza wale walikuwa waandamanaji au waleta vurugu, wezi na waharibifu wa mali za umma? Nyie mmetembea nchini nyingi Duniani, watu wanaoandamana huwa wanafanya vitendo ambavyo vilifanyika siku ile? Waandamaji wanakwenda kuwatia umasikini
 
Na wazuri kutukana hao na wafuasi wao na kulazimisha mitazamo yao yaani wana akisi mapungufu ya makuzi na maadili kwa upande wao

Kama kutakuwa na ICC huyu Mange,Maria , Lissu na Heche wasukumwe nao huko kwa kuleta maandamano ya fujo, uporaji na kusababisha vifo, hata hao wa mzozo wa Palestine wote kwa pande mbili imetolewa hati ya kushitakiwa

Lawama ziende kwa pande zote mbili wote hawana usafi huo wanawatumia vijana masikini na uduni wa elimu ku push agenda zao ovu na kutuvunjia amani sie ambao hatutaki kujua ma upuuzi yao
 
Tupo kwenye msiba mzito sana kuwaomboleza maelfu kwa mamia ya ndugu zetu watanganyika waliouwawa na mzanzibari

Mungu awalaze mahala pema, na laana ya milele iwaandame wote waliohusika
 
TEC NI GENGE LA VIBAKA...
 
Tupo kwenye msiba mzito sana kuwaomboleza maelfu kwa mamia ya ndugu zetu watanganyika waliouwawa na mzanzibari

Mungu awalaze mahala pema, na laana ya milele iwaandame wote waliohusika
Wewe Muhalifu umechoma Vituo vya mafuta zaidi ya 30 na umeharibu miundombinu ya mwendokasi ngoja tume ifanye kazi yake wote mtakamatwa.
 
๐Ÿ˜… Nani mwengine kagundua hii jumuiya ya MAKAFIRI sikuizi haina nguvu.!๐Ÿ˜‚

Zamani walikua wanajifanya wao ndo wanaoiongoza serikali, kila wanachotaka basi kitekelezwe..bajeti ya nchi wana fungu lao.

Saivi wakiongea ni kama kaongea dudu baya tu au gigy money๐Ÿ˜….

THEY ARE USELESS.
 
Wewe Muhalifu umechoma Vituo vya mafuta zaidi ya 30 na umeharibu miundombinu ya mwendokasi ngoja tume ifanye kazi yake wote mtakamatwa.
ACha kuwa mjinga, kamanda Muliro alisema hakuna mali zilizoharibiwa wala mwananchi alieuawa ni picha za kutengeneza, nyie ccm akili hamna, yaani mnapingana na statements zenu, stupid
 
Kuweka lawama kwa wanaharakati bila ushahidi ni argument by assumption, siyo facts. Kutaka due process na rule of law kufuatwa siyo kuchochea vurugu bali ni msingi wa nchi yoyote inayodai kuwa na demokrasia.

And honestly, criticizing government โ‰  plotting chaos. Tofauti ya mawazo haimaanishi watu hawana akili bali ni dalili kuwa hawaamini propaganda zako.
 
๐Ÿ˜… Nani mwengine kagundua hii jumuiya ya MAKAFIRI sikuizi haina nguvu.!๐Ÿ˜‚

Zamani walikua wanajifanya wao ndo wanaoiongoza serikali, kila wanachotaka basi kitekelezwe..bajeti ya nchi wana fungu lao.

Saivi wakiongea ni kama kaongea dudu baya tu au gigy money๐Ÿ˜….

THEY ARE USELESS.
 
Mungu akulaze mahali pema peponi Sheikh Ilunga. Maaskofu walimtesa sana Kikwete, akawahonga mabilioni ili aongoze kwa amani. Wanataka kufanya tena hii michezo kwa Rais Samia Suluhu. Never!
 
Ficha upumbavu labda and I mean labda kuna baadhi hawatabaini kuwa wewe ni mpumbavu.
Kwanza source ya yote haya ni huyo bibi yenu Samia, ameunda vikosi vya utekaji, ufiraji na uuaji hivi wewe chawa umeshawahi kufungua uzi kumlaani Samia anakuwa vipi na polisi kama Mafwele anayejisifu kwa kuteka na kuua?
Vituo vya mafuta sijui takataka gani zote hizo material things zinaweza kuwa replaced lakini vipi uhai wa watu kuanzia mliokuwa mkiwateka na kuwaua mpaka hawa mliowaua kuanzia 29th to 31st Oct? Zana za kuzuia riots I mean water cannons, tear gases and tear bombs pamoja na rubber bullets mbona havikutumika mkaja na high caliber bullets which is obvious mlikuja kuua na si kuzuia maandamano wala kuzuia riots. FFU wenye jukumu lao walikuwa na nafasi ndogo sana kwani wao ni specialists wa vurugu lakini badala yake mkajaza polisi wauaji na mercenaries.
It's stupidity pale muanzilishi wa yote haya anaposema eti anatoa msamaha badala ya yeye kuomba msamaha na ndipo anapopingwa vikali so don't pretend that you don't understand.
Uchaguzi haukuwepo na huyo haramu wenu anatawala kiharamu.
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Shida ya nchi hii wala sio viongozi, ni UDINI. Na hapa kwenye UDINI bila kupepesa macho ni Wakatoliki. Toka nchi inapata UHURU, Katoliki wamejikuta wana hadhi zaidi ya wengine, wanapanga Marais hadi Mabaraza ya Mawaziri. Huu mfumo chini ya Rais Samia hauna nafasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ