Kuchanganyikiwa na kutokuwa na akili kwa wanaojiita wanaharakati

Sijasoma najua wewe ni miongoni ambao tunawahitaji Kwa namna yoyote Ile tarehe 09.12.2025
 
Sasa we dada ester unalipizaje kisasi kwa kuchoma mendo kasi na kuvunja maduka ya watu binafsi?
Hivi nyie kina mama wa mitaani mbona uchokoraa umekupofueni macho mpk mnatetea majambazi?
Au uliandika kwa jazba, sasa andamaneni tena. Mtakiona
 
Kwa nini wewe ni mpumbavu hivi?
Mpumbavu babako.
Jenga hoja. Mipasho peeka kwenu bonyokwa wahedi
Maalim Ritz unanipasua mbavu
Makafiri wanatapata km wamekalia spoku
 
Umeandika upumbavu mtupu unaelimu gani?madrasa?
Ugalatia ni laana ya ajabu.
Sasa mwenzeko kajenga hoja we unatukana. Halafu mnadai ati mmesoma. Msomi anaweza kupigia goti sanamu na kuliomba limtafutie kazi?
Kazi kweli kweli
 
Kwanza kabisa hao wanaharakati waliokataa watu wasitokewe ni kina nani?

Na kwa nini unaandika mambo kijumlajumla?
We ulitaka aandike ki rejareja.
We kijana siku nyingi nilikwambia hilo jina lako linakuponza.
 
Mpumbavu babako.
Jenga hoja. Mipasho peeka kwenu bonyokwa wahedi

Maalim Ritz unanipasua mbavu
Makafiri wanatapata km wamekalia spoku
LAKINI haya yote ni tatizo la muda mrefu la mfumo wetu ambao umewaaminisha wakatoliki na kanisa lao kuwa wao ni wengi na wao wanaweza kuamua hatama ya taifa hili. Yaani wao wanajiona ni sehemu ya deep state na wanajiona wao ndiyo wanaopanga nani awe kiongozi wa hii nchi ndiyo maana akikosa urais mtu wao wanakuwaga na nongwa kweli kweli..
 
Sijasoma najua wewe ni miongoni ambao tunawahitaji Kwa namna yoyote Ile tarehe 09.12.2025
Kitendo cha TEC kusema yale ni maandamano ni kitendo cha kijinga sana kufanywa na sioni tofauti kati ya PANYA ROAD na TEC. Yaani waandamanaji wanachoma na kuvunja benki? Waandamanaji wanachoma vituo vya mwendokasi na magari ya usafiri wa mwendokasi? haya ni maandamano kweli? Yaani waandamanaji wanachoma vituo vya mafuta ? wanapora biashara za watu? Wanauwa polisi waliokuwa wanasimamia uchaguzi? Aina hii ya waandamanaji ni ya aina yake na kwa kweli kaa TEC wanaona haya yalikuwa ni maandamano nasi tuna kila sababu ya kuanza kuona kumbe wenzao wa Rwanda waliyoyafanya haikuwa bahati mbaya na hawa akina Askofu Pisa nao ni kama wale wenzao wa Rwanda ana wanatamani sana nchi hii iingie kwenye machafuko kama yale.
 
Sijasoma najua wewe ni miongoni ambao tunawahitaji Kwa namna yoyote Ile tarehe 09.12.2025
Nyie watoto wa zinaa wa paroko hebu mjaribu kuandamana hio tarehe 9 muone. Safari hii badala ya kunywa divai mtakunywa damu ya kweli kweli.
Nyie wizi mnaolenga maduka ya raia kwa kisingizio cha kutaka nchi safari hii tumesha waambia askari wakae kimya ili muone namna gani mtu anatahiriwa bila ganzi.
Tunawasubiri kwa hamu sana.

Nyamafu wahedi
 
Kwa dharau kubwa sana !!! Tarehe 29.10.2025 mlitutisha sana lakini bado tuliandamana.Kwa taarifa kama ni Silaha na sisi tumezipa mpya kabisa.Tukutane tarehe 09.12.2025

Ahsante sana Rais Paul Kagame
 
 

Maria Sarungi nendeni Kenya mkamkamate,Mange Kimambi mwanasheria mkuu kilaza kuwa kutokea kasema atamkamata
 
Unachowalaumu kwacho wanaharakati, ndicho mnachofanya machawa na ccm.🤷‍♀️🤷‍♀️🤷‍♀️🤷‍♀️
 
Watu pekee walio changanyikiwa sasa hivi ni Samia Suluhu Hassan, Kikwete na Genge lao wanaodhani taifa hili ni mali yao.

Mtu kama mleta mada hizi za kipumbavu anayajuwa haya vizuri sana. ndiyo maana anahangaika kiasi hiki.

Haitasaidia kitu. Tanzania imo njiani kukombolewa.
 
..Mama Samia alikosea kukubali ushauri wa kutotekeleza falsafa ya 4R.

..Kama angetekeleza 4R uchaguzi ungekuwa huru na vurugu na mauaji yangeepukwa.

mkuu unafikiri magwada wa CCM wangemuachia? CCM lolote linahatarisha uwepo wao hawawezi kukuelewa.
 
mkuu unafikiri magwada wa CCM wangemuachia? CCM lolote linahatarisha uwepo wao hawawezi kukuelewa.
..walichangishana BILLION 100 kwa ajili ya uchaguzi.

..sasa kwanini wasitumie mabilioni yao kuwashawishi vijana wasiingie mtaani, badala yake wakawaacha washawishiwe na fedha toka nje ya nchi?
 
Kwa dharau kubwa sana !!! Tarehe 29.10.2025 mlitutisha sana lakini bado tuliandamana.Kwa taarifa kama ni Silaha na sisi tumezipa mpya kabisa.Tukutane tarehe 09.12.2025

Ahsante sana Rais Paul Kagame
Teh teh teh.
Wewe una jeuri ya kuandamana? Au basi nyodo tu za Key board hero!
You hide behind computer and over a sudden you become a superman.
Njoo mitaani hio tarehe 9. Tunakusubiri kwa hamu sana.
Tena mimi ntakuja na mkate wa azam kukulisha ili usije kudai umepigwa ukang'olewa meno na kende zako bila kula mwili wa Bwana.
 
Unapoandika utopolo huu inatakiwa na wewe uje mitaani kuonyesha umahiri wako wa kutaka huko unakokuita KUKOMBOA NCHI.
Tanzania unaikomboa kutoka kwa nani? Nyie vibaraka mliotumwa na hao wakoloni safari hii wala hatuto subiri askari waje kuwakimbiza.
Safari hii utaona kobazi na balagashia tu. Sisi hatutumii silaha kali. Tunapiga bakora za kalio mpk uite "mamaaaa".
Shwaini wahedi.
Mnavunja maduka ya wananchi na kuchoma magari yao kisha mnadai mnakomboa nchi?
We mtoto huna adabu kweli kweli.
Km mzazi wako hajakufunza nidhamu ya kuheshimu Dola.
Njoo uandamane tena kisha uone
Nyau wahedi
 
Hawa perpetrators na plotter wa machafuko haya hawataki watu waachiwe kwa kuwa watakosa kazi ya kufanya na kulipwa
Mtu mwenye akili timamu kichwani utapata wapi muda wa kukaa chini na kuandika takataka kama hii hapa!?

Ni lazima mtu uwe umevurugikiwa sana akili kuanza kupoteza muda namna hii; ukitarajia kuna vichaa wenzako watakaokaa na kusoma takataka.

Ili usiniweke kwenye kundi hilo, sijasoma nje ya mistari hiyo na kichwa cha mada; na hasa nikijuwa wewe ni mtu juha siku zote, maoni yangu haya yatakuwa ni sahihi kabisa.
 
Unapoandika utopolo huu inatakiwa na wewe uje mitaani kuonyesha umahiri wako wa kutaka huko unakokuita KUKOMBOA NCHI.
Siku nyingi sana ulipotea; naona Samia kakuibua tena kwa matumaini ya kinachokukuna siku zote?

Sasa unajuwaje kuwa sikuja mitaani; na bado nitakuja mitaani kumaliza kazi iliyo bakia.
Tanzania unaikomboa kutoka kwa nani? Nyie vibaraka mliotumwa na hao wakoloni safari hii wala hatuto subiri askari waje kuwakimbiza.
Dah! Siku zote hizi ulikuwa kimya, kumbe akili ni zilezile za miaka yote?
Hivi kweli mtu kama wewe unayo matarajio ya kuiona Tanzania unayoijenga akilini mwako; kwa kutegemea Samia Suluhu Hassan ambaye tayari anasubiri tu kuwajibishwa?

Mmejipanga vipi huko uliko wewe hadi uwe na hata fikra za kutishia watu hapa?

Tanzania inakombolewa toka kwenye mikono miovu mnakotaka kuikabidhi nyinyi kwa kumtumia huyu mwanamke dhaifu kabisa asiyekuwa na uwezo wowote. Mmemteka ili atimize matakwa yenu ya siku zote, tokea nchi hii imepata uhuru wake.
Sasa wewe unadhani watu hawajui kinacho endelea hapa?
Na kwa taarifa yako, hao askari unao wazungumzia, ndio watakaomaliza kazi ya kuwafyekea mbali; au umesahau mlivyo fyekwa mara kadhaa kila mlipojaribu kuvuruga taifa hili.
Kumbe unaandika tu hata hujui mtu unayemjibu ni wa namna gani?
Wewe historia yako humu inajulikana tokea 2009; ningefikiri wakati wote huo ungekuwa umejifunza kitu, kumbe bado ni mtupu kabisa kama vilevile ulivyokuwa mwanzo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…