Kuchanganyikiwa na kutokuwa na akili kwa wanaojiita wanaharakati

Kama nyinyi tu waswahili wa Pwani, tena bora wakatoliki nyie waswahili wa Pwani hamuoni shida kumuua yeyote kwa ajili ya madaraka.
 
Kuna mmoja anaitwa hilda newton uyu ni taira kabisa ana uwezo mdogo sana wa kufikiri kama Dr dr dr dr dr dr dr dr dr 98%
We ndio una uwezo mdogo wa kufikiri na hujui. Kama wamekamatwa na hatia achia mahakama ifanye kazi yake. Mahakama ni chombo huru hakifanyi kazi kwa maagizo ya Rais wala mtu yeyote kikatiba. We unaleta hisia kwenye utaalamu.
Kama mahakama itaona hawana kesi za kujibu itawaachia kama haitaona na hakuna ushahidi dhidi yao itawaachia pia lakini Rais kutoa maagizo hapo kasoro inapoanzia ndio unaona watu wanahoji kwa nini waachiwe kwa maagizo.
 
Niliachana na hili jukwaa muda mrefu sababu lilijaa watoto wa zinaa wengi. Hakuna hoja iliokuwa ina tija ya mimi kuwemo humu.
Ila sasa nimelazimika kurudi kwa kuona watoto hao hao wa zinaa wanataka kuharibu amani ya nchi hii.
Labda hunijui vizuri au labda hujanisoma kwa kituo
Kwa taarifa yako mimi sio mwana siasa wala sijihusishi na upuuzi wwt wa siasa. Na serikali ya CCM ina laana ya asili toka wakati wa nyerere laanatullah.
Hapa najadili AMANI YA HII NCHI.
Nyie mnaodai mnataka kukomboa Nchi hii 99% ni WEZI. na lzm wezi wachukuliwe hatua na mkija na silaha lzm mtulizwe na SILAHA KALI ZAIDI.
Wewe na chuki zako za Samia inahusiana nini na Duka la James au la Bakari?
Kwanini mnavunja na kuiba vitu vya raia wasio na hatia?
Kwanini mnachoma mwendokasi na kuvunja vituo vyake ambavyo vinatumiwa na Wananchi MASKINI?

Wewe na hao wenye nyodo za kukomboa nchi kwanini msiende IKULU alipo huyo mnaemchukia na kumtusi humu kila siku,?
Why mnakuja kutuchomea vibanda vyetu huku uswahilini?

Nyie ni WEZI, WASHENZI NA MAJAMBAZI msio na huruma.
Na Mungu atawaangamiza kabla hata askari hawajafika.

Nimekwambia safari hii sisi mliotuvunjia na kutuibia TUMEJIPANGA.
Sasa leteni hayo makalio yenu laini muone km mtaiba tena.
 
Are you normal? Ulicho jibu na nilicho andika una hakika vina endana
 
Wewe **** wewe na hao machawa wenzako tarehe 9/12 mtajua kwamba nguvu ya umma haitanii ukitaka kuamini Hilo muulize Mulilo kwa nini amekua mpole
 
Umepata wapi nguvu ya kuandika haya yote?!πŸ€”
Lengo kuu la maandamano batili ya Oct. 29 lilikuwa ni kupindua serikali kwa ghasia. Sasa vijana mnachopasa kujua ni kwamba, kila kitu kina ujira wake, ujira wa kutaka kupindua serikali halali ni mkubwa zaidi ya unavyodhani. Pengine kwa Tanzania, ndio kumekufa watu wachache zaidi.
 
Wewe **** wewe na hao machawa wenzako tarehe 9/12 mtajua kwamba nguvu ya umma haitanii ukitaka kuamini Hilo muulize Mulilo kwa nini amekua mpole
Sasa wewe shoga unaandika na Tecno yako huku umejificha Kimara Temboni mlivyochoma vituo vya mafuta na vituo vya mwendokasi jaribuni tena muone.
 
Nyie Wagalatia wajinga sana.

Nimeingia space ya maandalizi ya maandamano ya Dec. 09 na kilichoniuma zaidi ni kwamba, wale wenye mikwara mikali wote wako nje. Lugha wanazotumia sasa, β€œtutatoka”, β€œtutakuwa mstari wa mbele”

Nawahakikishia hatuna utani, hii itakuwa ni zaidi ya Oct. 29, mtazikana sana.
 
Tanzania NGOs admit receiving $2m from Ford Foundation to fund thousands of protestors who participated in the October 29th demos. The demos that the government declared unlawful led to looting and burning down of government and private property. Tanzania police had to use lethal force to thwart the criminal acts.
 
Tanganyika idai uhuru wake mkoloni kaburu warejee Zanzibar maisha Serikali kupenda kesi kesi mda wote kuliko maendeleo yafike mwisho, watu wamechoka kutekwa kuuawa kuonewa kubambikia kesi na Polisiccm, wanataka Uhuru wa kuongea kukosoa
Wewe utakuwa unatoka BurundiπŸ˜…
 
Mashirika yasiyo ya kiserikali ya Tanzania yakiri kupokea dola milioni 2 kutoka kwa Ford Foundation kufadhili maelfu ya waandamanaji walioshiriki katika maandamano ya Oktoba 29. Maandamano ambayo serikali iliyatangaza kuwa kinyume cha sheria yalisababisha uporaji na uchomaji wa mali ya serikali na ya kibinafsi. Polisi wa Tanzania walilazimika kutumia nguvu kali kuzuia vitendo hivyo vya uhalifu.
 
Watu wanapoteza uhai, kumbe wengine wananufaika. Harakati za ukombozi ni ngumu sana πŸ˜…
 
Kwa hiyo hamtaki kukubali mnapokea grants toka Ford Foundation ana Open Society au?

Yaani wakenya wawafanyie kazi bure? Mnafanya kazi ya shetani kubalini kuandamana naye!..

Mbona kama mmehamaki na kutaharuki yaani kusikia mambo ya 5bn TZS πŸ˜„πŸ˜„
 
Kwa hiyo hamtaki kukubali mnapokea grants toka Ford Foundation ana Open Society au?
Kama hata wanapokea funds kutoka kwa shetani mwenyewe mimi sijui wala huko sipo (unless kuna sheria inasema watu wasipokee funds) achana na Ford hata shetani mwenyewe leo akisema anakuja kushughulika ili wauwaji wawajibishwe nitamkaribisha na kuwambia go ahead - Tuhukumu kosa moja kwa moja na sio by proxy; kama mtu atakuja na kusema kwenye shida yako nakupa funds ili ufanye unachofanya na ambacho ungefanya hata bila funds nitasema well and good....;
Yaani wakenya wawafanyie kazi bure? Mnafanya kazi ya shetani kubalini kuandamana naye!..
Kazi gani hio inayofanywa ? Na wapi mimi naongelea issues na sio events wala individuals na kuna issue ya mauaji imetokea na nataka watu wawajibike basi kwahio hata kama ni mtu kutoka Timbuktu na sio jirani ambaye zikitokea shida hapa atapata tabu ya wakimbizi kwahio inamuhusu - akileta msaada ninaoona unaendana na mtazamo wangu well and good
Mbona kama mmehamaki na kutaharuki yaani kusikia mambo ya 5bn TZS πŸ˜„πŸ˜„
Hizo 5bn za wapi mbona kama tunacheza mchezo wa watawala wa divide and rule ?!!! Kama kuna mtu amefanya kosa kwa kupokea chochote na ni kosa basi yeye pamoja na hao wauwaji wote waende mbele ya pilato ili tuendelee na maisha...

As things goes mimi kama mlipa kodi sipati value for money as waliopo madarakani now ndio walikuwepo miaka kadhaa iliyopita na sioni muelekeo wowote zaidi ya kutupa lawama huku na kule...

 
Weka hapa risiti za malipo acha maneno mengi wewe.

Eti maandamano ambayo serikali iliyatangaza kuwa kinyume cha sheria?

Maandamano yapo kisheria kwenye katiba wewe unakuja kusema serikali ilisema yako kinyume cha sheria , serikali ipi hiyo?

Serikali inaacha kufunga majizi na mafisadi yanayotajwa kwenye ripoti za CAG , inahangaika na watu wanaotumia haki ya kikatiba kutoa malalamiko yao?
 
Sasa hivi wazazi, ndugu, TEC kimya huku watu wa NGO's wapo kuhamasisha vurugu halafu baada ya December 10 vianze vilio hatujauona mwili popote tumeamua kuzika nguo zake na viatu vyake. Usipoziba ufa.
 
Ndiyo unavyodanganya watoto wa watu hivyo! Ulidanganya watu hapa ooh JWTZ wamenitumia DM wanasema nyie tokeni tu wao watamaliza kazi! Ooh JWTZ wako na waandamanaji

Kiko wapi? Takataka kabisa
 
Tanganyika idai uhuru wake mkoloni kaburu warejee Zanzibar maisha Serikali kupenda kesi kesi mda wote kuliko maendeleo yafike mwisho, watu wamechoka kutekwa kuuawa kuonewa kubambikia kesi na Polisiccm, wanataka Uhuru wa kuongea kukosoa
Mmechoma Mwendokasi na Vituo vya Polisi mmeiba vitu vya watu eti mmechoka wewe punguani kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…