Daah aisee hii ajira portal kisanga, Leo nimegundua kitu. Katika kujaza kozi (program) kwenye mfumo unaweza ukakuta kozi Moja imejirudia Mara mbili, kwa mfano Mimi
BED PSYCHOLOGY ipo Mara mbili Sasa ukitaka kuomba kazi ukijaza ile ya juu mfumo unakukatalia, Ila ya chini mfumo unakubali, na Kuna muda mwengine option ya chini inakataa na ya juu inakubali.
KWAIYO ukiwa unaomba kazi ikakataa Basi jaribu kubadilisha option Kama kozi yako imeandikwa Mara mbili, inaweza ikakubali.
Sasa haiwezi kuonekana unaudanganya mfumo kwasababu ikija post hii unachange hivi, ikija nyengine unachange tena, though jina la kozi ni lilelile.
View attachment 2274937