Si kila anayefariki kwa sasa anafariki kwa COVID, watu wengine wana matatizo yao ya muda mrefu yanayo_compromise Immune system, acheni kuhemkwa hovyo, imarisheni mifumo yenu ya kinga ya mwili kwa kula vitu vyenye nutrients muhimu vinavyo_fight bacteria, virus, parasites etc, acheni ujinga.
Hiyo chanjo mmekwishaambiwa haina kinga kwa 100%, kuna watu walishamaliza circle ya chanjo na wamekufa, na wengine wanaendelea kuvaa barakoa, acheni ujinga na kubabaisha watu, mtu aachie ngazi kwa sababu ipi ya kimantiki, kwa sheria ipi? Kwa kanuni ipi?