We mpumbavu nini.....si uchanje mwenyewe...Sasa inabidi Serikali ichukue uamuzi mgumu juu ya chanjo.
Wafanyakazi Serikalini lazima wachanje, au waachie ngazi kutazama afya zao.
Tutavaa barakoa hadi lini?
Tatizo kubwa ni hao wa Gwajima, wasiotaka kuchanja na ndio kwa kiasi kikubwa wanaeneza Covid katika jamii.
Ni jambo la kusikitisha vifo vya hivi karibuni familia ya Hanspoppe, kuna waliokataa kuchanja, mauti imewatembelea.
Imefika muda tusicheze na hili janga.
Eti tutavaa barakoa mpaka lini...hivi wewe hayawani ni nani aliyekuambia ukichanja huvai barakoa....