Sasa mkuu unaambiwa hata ukisha chanja haimaniishi hauwezi kupata Covid lazima uvae barakoaSasa inabidi Serikali ichukue uamuzi mgumu juu ya chanjo.
Wafanyakazi Serikalini lazima wachanje, au waachie ngazi kutazama afya zao.
Tutavaa barakoa hadi lini?
Tatizo kubwa ni hao wa Gwajima, wasiotaka kuchanja na ndio kwa kiasi kikubwa wanaeneza Covid katika jamii.
Ni jambo la kusikitisha vifo vya hivi karibuni familia ya Hanspoppe, kuna waliokataa kuchanja, mauti imewatembelea.
Imefika muda tusicheze na hili janga.
Wapambane na hali zaoPia kuna waliochanjwa wengi wana hofu hawahui nini kitawapata hapo baadae,wanataka kushinikiza wote wachanjwe ili kama kuna madhara wasiwapate peke yao,hii ni roho mbaya na ya kichawi.
Sasa inabidi Serikali ichukue uamuzi mgumu juu ya chanjo.
Wafanyakazi Serikalini lazima wachanje, au waachie ngazi kutazama afya zao.
Tutavaa barakoa hadi lini?
Tatizo kubwa ni hao wa Gwajima, wasiotaka kuchanja na ndio kwa kiasi kikubwa wanaeneza Covid katika jamii.
Ni jambo la kusikitisha vifo vya hivi karibuni familia ya Hanspoppe, kuna waliokataa kuchanja, mauti imewatembelea.
Imefika muda tusicheze na hili janga.
Kama watu Wana Kinga za asili na zipo poa ni lzm wachanj?Sasa inabidi Serikali ichukue uamuzi mgumu juu ya chanjo.
Wafanyakazi Serikalini lazima wachanje, au waachie ngazi kutazama afya zao.
Tutavaa barakoa hadi lini?
Tatizo kubwa ni hao wa Gwajima, wasiotaka kuchanja na ndio kwa kiasi kikubwa wanaeneza Covid katika jamii.
Ni jambo la kusikitisha vifo vya hivi karibuni familia ya Hanspoppe, kuna waliokataa kuchanja, mauti imewatembelea.
Imefika muda tusicheze na hili janga.
Nyie watu miosoma na kuwa half cooked mna matstizo ya kufikiri.chanjo wala haizuii kuambukizwa/kuambukiza covid bali inapunguza tu uwezekano we kilaza
Inabidi wapimwe kila public function kujiridhisha kama wako salamaKama watu Wana Kinga za asili na zipo poa ni lzm wachanj?
We kama ulichanjwa usilazimishe watuSasa inabidi Serikali ichukue uamuzi mgumu juu ya chanjo.
Wafanyakazi Serikalini lazima wachanje, au waachie ngazi kutazama afya zao.
Tutavaa barakoa hadi lini?
Tatizo kubwa ni hao wa Gwajima, wasiotaka kuchanja na ndio kwa kiasi kikubwa wanaeneza Covid katika jamii.
Ni jambo la kusikitisha vifo vya hivi karibuni familia ya Hanspoppe, kuna waliokataa kuchanja, mauti imewatembelea.
Imefika muda tusicheze na hili janga.
We mjinga afya haitawaliwi na sheria na kuugua si kosa la jinai.Kuchanja ni hiari,usijiweke juu ya sheria cheo ni dhamana
Hizo J&J hazija expire kweli? Mbona muda sasa! DRC waliharibu chango astrazenica laki tatu zilipoisha mda wa matumizi!chanjo wala haizuii kuambukizwa/kuambukiza covid bali inapunguza tu uwezekano we kilaza
Tunajua mnatafuta sababu za kufukuza kazi watu, ili nafsai hizo muweke ndugu zenu. Kama ipo ipo tu! Msiwanyanyase wafanyakazi wa serikali.Wafanyakazi Serikalini lazima wachanje,
Si kila anayefariki kwa sasa anafariki kwa COVID, watu wengine wana matatizo yao ya muda mrefu yanayo_compromise Immune system, acheni kuhemkwa hovyo, imarisheni mifumo yenu ya kinga ya mwili kwa kula vitu vyenye nutrients muhimu vinavyo_fight bacteria, virus, parasites etc, acheni ujinga.Sasa inabidi Serikali ichukue uamuzi mgumu juu ya chanjo.
Wafanyakazi Serikalini lazima wachanje, au waachie ngazi kutazama afya zao.
Tutavaa barakoa hadi lini?
Tatizo kubwa ni hao wa Gwajima, wasiotaka kuchanja na ndio kwa kiasi kikubwa wanaeneza Covid katika jamii.
Ni jambo la kusikitisha vifo vya hivi karibuni familia ya Hanspoppe, kuna waliokataa kuchanja, mauti imewatembelea.
Imefika muda tusicheze na hili janga.
na wala hazikuchukua muda mrefu kama zetu.Hizo J&J hazija expire kweli? Mbona mda sasa! DRC waliharibu chango esrazenica laki tatu zilipoisha mda wa watumizi!
Mkuu jiongeze kufikiri.Si kila anayefariki kwa sasa anafariki kwa COVID, watu wengine wana matatizo yao ya muda mrefu yanayo_compromise Immune system, acheni kuhemkwa hovyo, imarisheni mifumo yenu ya kinga ya mwili kwa kula vitu vyenye nutrients muhimu vinavyo_fight bacteria, virus, parasites etc, acheni ujinga.
Hiyo chanjo mmekwishaambiwa haina kinga kwa 100%, kuna watu walishamaliza circle ya chanjo na wamekufa, na wengine wanaendelea kuvaa barakoa, acheni ujinga na kubabaisha watu, mtu aachie ngazi kwa sababu ipi ya kimantiki, kwa sheria ipi? Kwa kanuni ipi?
From killing mosquitoes to killing thoughts!Chanja uwakinge uwapendao na hata jamii.
Mfanyakazi ambaye hajachanja ni health security risk kwa familia yake na hata wafanyakazi wenzake.Tunajua mnatafuta sababu za kufukuza kazi watu, ili nafsai hizo muweke ndugu zenu. Kama ipo ipo tu! Msiwanyanyase wafanyakazi wa serikali.