jailos mrisho
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 647
- 1,360
Kwa hiyo hata hans pop alikataa chanjo?Sasa inabidi Serikali ichukue uamuzi mgumu juu ya chanjo.
Wafanyakazi Serikalini lazima wachanje, au waachie ngazi kutazama afya zao.
Tutavaa barakoa hadi lini?
Tatizo kubwa ni hao wa Gwajima, wasiotaka kuchanja na ndio kwa kiasi kikubwa wanaeneza Covid katika jamii.
Ni jambo la kusikitisha vifo vya hivi karibuni familia ya Hanspoppe, kuna waliokataa kuchanja, mauti imewatembelea.
Imefika muda tusicheze na hili janga.
Tatizo ni Hata Ukichanja:-Sasa inabidi Serikali ichukue uamuzi mgumu juu ya chanjo.
Wafanyakazi Serikalini lazima wachanje, au waachie ngazi kutazama afya zao.
Tutavaa barakoa hadi lini?
Tatizo kubwa ni hao wa Gwajima, wasiotaka kuchanja na ndio kwa kiasi kikubwa wanaeneza Covid katika jamii.
Ni jambo la kusikitisha vifo vya hivi karibuni familia ya Hanspoppe, kuna waliokataa kuchanja, mauti imewatembelea.
Imefika muda tusicheze na hili janga.
At least kaka yake naambiwa, he is now dead.Kwa hiyo hata hans pop alikataa chanjo?
Hizo ni kanuni za afya ambazo toka ukoloni zipo.Tatizo ni Hata Ukichanja:-
1. Barakoa lazima uendelee kuvaa
2. Lazima Kunawa
3. Lazima Social Distance
4. Kuambukizwa kuko palepale
Huna tofaut na asiyechanjwa
Sayansi ya kuchanja imekupita kwa mbali, bado una upupu wa Gwajima kichwani.Ukichanja bado utapata maambukizi na utaendelea kuambukiza wengine, chanjo ni dili la mabeberu nashangaa bado watu kama nyinyi hamjashtukia mchezo, it is purely business.....
We Chidu La acha unafiki asee, unataka kuaminisha hans amepigwa na Covid tuwe na hisia za hofu basi, hii tabia ya watu maarufu wakifariki mnasingizia corona, mbaya zaidi hampingi hiyo mikusanyiko kwa hao waliofariki kwa Covid.
😨UNAFIKI!.
Acha usenge wee jamaa.Sasa inabidi Serikali ichukue uamuzi mgumu juu ya chanjo.
Wafanyakazi Serikalini lazima wachanje, au waachie ngazi kutazama afya zao.
Tutavaa barakoa hadi lini?
Tatizo kubwa ni hao wa Gwajima, wasiotaka kuchanja na ndio kwa kiasi kikubwa wanaeneza Covid katika jamii.
Ni jambo la kusikitisha vifo vya hivi karibuni familia ya Hanspoppe, kuna waliokataa kuchanja, mauti imewatembelea.
Imefika muda tusicheze na hili janga.
We mjinga mimi nimechanja, tena wakati bado ni hiari.Pia kuna waliochanjwa wengi wana hofu hawajui nini kitawapata hapo baadae,wanataka kushinikiza wote wachanjwe ili kama kuna madhara yasiwapate peke yao,hii ni roho mbaya na ya kichawi.
Ikumbukwe hii chanjo siyo ya kwanza zipo zizilizotangulia, Kwenye zilizotangulia,ukishampa taarifa jirani yako basi
unaendelea na maisha suala la ataenda kuchanjwa au la hatufuatilii,jiulize hii mbona wakishachanjwa wanataka na wewe uende hata kama ni kwa lazima?
watu weusi ni wa ajabu sana, wengi huamini mawazo ya mzungu ndo final kwa kila kitu na hiki ndo kimetufanya tubaki nyuma miaka yote.Nyie watu miosoma na kuwa half cooked mna matstizo ya kufikiri.
Sima tena bandiko langu ulielewe.
Hata ukachanja kifo kipo pale pale,kwani tarehe ya kutokea wewe kifo haijui gwajima wala watengeneza chanjo) KIUFUPI UPO TUMBONI KWA MAMA YAKO UTAANDIKA MAMBO MANNE RIDHIKI YAKO.Sasa inabidi Serikali ichukue uamuzi mgumu juu ya chanjo.
Wafanyakazi Serikalini lazima wachanje, au waachie ngazi kutazama afya zao.
Tutavaa barakoa hadi lini?
Tatizo kubwa ni hao wa Gwajima, wasiotaka kuchanja na ndio kwa kiasi kikubwa wanaeneza Covid katika jamii.
Ni jambo la kusikitisha vifo vya hivi karibuni familia ya Hanspoppe, kuna waliokataa kuchanja, mauti imewatembelea.
Imefika muda tusicheze na hili janga.
Kule unakosema mafua yanawasumbua sana, jambo ambalo hamjui magonjwa mengi ya mfumo wa upumuaji siyo tatizo kwa nchi zetu kutokana na kinga ya asili iliyojengwa kwa miaka lukuki. Kulinganisha kinga ya ngozi nyeusi na nyeupe ni sawa na kulinganisha kuku wa kienyeji na wale wa kizungu, hivyo hivyo hata kwa mbwa wa kizungu na hawa mbwa wetu wa kiswahili......tofauti zao za kuhimili magonjwa na hali ngumu ya mzingira ni kubwa mnoo, haya endeleeni kucheza ngoma ya mabeberu.....Hizo ni kanuni za afya ambazo toka ukoloni zipo.
Vijana wa sasa wanaona ni mpya.
Kule Asia barakoa hata kabla ya covid zinavaliwa sana.
Na aliye chanja kafariki pia.At least ndugu yake nimetinywa alikataa kuchanjwa. Amefariki.
Futa kauli yako ya kusema hutegemei kufa kesho ao keshokutwa ao miaka kumi...!We mjinga mimi nimechanja, tena wakati bado ni hiari.
Msio na upeo wa kufikiri mbali zaidi ya pua zenu mnashindwa kudadavua mambo basic kabisa.
Marekani ya watu milioni 300, karibia milioni 150 tayari wamechanja.
Uingereza ya watu milioni 68, tayari milioni 48 wamechanja.
sitegemei hao watu kufa kesho wala keshokutwa wala miaka 10 ijayo.
Hii ndiyo faida ya watu waliosoma na kuelewa.
Sasa ninyi vilaza wa kutoka vijijini juzi mmeaminishwa kujifukiza, hata sayansi kwenu ni uchawi.
Taabu kwer kwer!
Sasa inabidi Serikali ichukue uamuzi mgumu juu ya chanjo.
Wafanyakazi Serikalini lazima wachanje, au waachie ngazi kutazama afya zao.
Tutavaa barakoa hadi lini?
Tatizo kubwa ni hao wa Gwajima, wasiotaka kuchanja na ndio kwa kiasi kikubwa wanaeneza Covid katika jamii.
Ni jambo la kusikitisha vifo vya hivi karibuni familia ya Hanspoppe, kuna waliokataa kuchanja, mauti imewatembelea.
Imefika muda tusicheze na hili janga.
Wajinga zaidi yako ni wale waliokwisha fariki kwa covid.Acha usenge wee jamaa.
I can assure you that.covid-19 is not a big threat in Tanzania and other African countries as its portrayed by idiotic westernized people and their Allies.
Ni ujinga kutengeneza Deni kingine la nchi kwa tatizo fake lenye milengo ya kuuza chanjo na vitendanishi.
Japo mzungu na mwafrica wapo katika species moja but our genes expression towards diseases May differ.
Tumieni akili zenu Jamani
Nareply kulingana na kujifisu kuwa umechanja (siyo hayo matusi) japo wenzako walipiga na picha ila wewe ulisahau.We mjinga mimi nimechanja, tena wakati bado ni hiari.