sinajinasasa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 2,988
- 4,152
Mkuu rekebisha hapo sio watu weusi ndo wanamatatizo, mbona sisi weusi tulio wengi ndo hatutaki chanjo?watu weusi ni wa ajabu sana, wengi huamini mawazo ya mzungu ndo final kwa kila kitu na hiki ndo kimetufanya tubaki nyuma miaka yote.
siku za nyuma nilipinga sana approaches za magufuli dhidi ya covid ila baadae ndo zimekuja onekana ndo approaches nzuri dhidi ya corona na hata wazungu wenyewe wamezitumia.
tuacheni kuwa watumwa kifikra hata sisi tunaweza kua source ya kutatua jambo lolote duniani bila kumtegemea mzungu maana tofauti yetu na wao ni rangi tu.
Bwege sana wewe Jidula Mabambasi,tulazimishane chanjo hii ya mwendokasi?Sasa inabidi Serikali ichukue uamuzi mgumu juu ya chanjo.
Wafanyakazi Serikalini lazima wachanje, au waachie ngazi kutazama afya zao.
Tutavaa barakoa hadi lini?
Tatizo kubwa ni hao wa Gwajima, wasiotaka kuchanja na ndio kwa kiasi kikubwa wanaeneza Covid katika jamii.
Ni jambo la kusikitisha vifo vya hivi karibuni familia ya Hanspoppe, kuna waliokataa kuchanja, mauti imewatembelea.
Imefika muda tusicheze na hili janga.
Umekwisha elezwa hata ukichanjwa lazima uvae barakoa ,au unamihemuko?,fuatilia ujifunze,pia hata kuchanja hakuzuii kutokuambukiza na kuambukizwa, virus wanageuka kila uchao,utachanja mpaka ujishangaaSasa inabidi Serikali ichukue uamuzi mgumu juu ya chanjo.
Wafanyakazi Serikalini lazima wachanje, au waachie ngazi kutazama afya zao.
Tutavaa barakoa hadi lini?
Tatizo kubwa ni hao wa Gwajima, wasiotaka kuchanja na ndio kwa kiasi kikubwa wanaeneza Covid katika jamii.
Ni jambo la kusikitisha vifo vya hivi karibuni familia ya Hanspoppe, kuna waliokataa kuchanja, mauti imewatembelea.
Imefika muda tusicheze na hili janga.
Hans mwenyewe alikili kuwa anaumwa COVID-19 akiwa hosptal alihojiwa na Maulid KitengeWe Chidu La acha unafiki asee, unataka kuaminisha hans amepigwa na Covid tuwe na hisia za hofu basi, hii tabia ya watu maarufu wakifariki mnasingizia corona, mbaya zaidi hampingi hiyo mikusanyiko kwa hao waliofariki kwa Covid.
[emoji32]UNAFIKI!
Sasa kitu gani kinakufanya uweweseke wakati wewe tayari umechanjwa,na kujidhania upo salama?We mjinga mimi nimechanja, tena wakati bado ni hiari.
Msio na upeo wa kufikiri mbali zaidi ya pua zenu mnashindwa kudadavua mambo basic kabisa.
Marekani ya watu milioni 300, karibia milioni 150 tayari wamechanja.
Uingereza ya watu milioni 68, tayari milioni 48 wamechanja.
sitegemei hao watu kufa kesho wala keshokutwa wala miaka 10 ijayo.
Hii ndiyo faida ya watu waliosoma na kuelewa.
Sasa ninyi vilaza wa kutoka vijijini juzi mmeaminishwa kujifukiza, hata sayansi kwenu ni uchawi.
Taabu kwer kwer!
Mimi tayariiiSasa inabidi Serikali ichukue uamuzi mgumu juu ya chanjo.
Wafanyakazi Serikalini lazima wachanje, au waachie ngazi kutazama afya zao.
Tutavaa barakoa hadi lini?
Tatizo kubwa ni hao wa Gwajima, wasiotaka kuchanja na ndio kwa kiasi kikubwa wanaeneza Covid katika jamii.
Ni jambo la kusikitisha vifo vya hivi karibuni familia ya Hanspoppe, kuna waliokataa kuchanja, mauti imewatembelea.
Imefika muda tusicheze na hili janga.
mwenyewe ndiye alisema hivyo akiwa hospital, wewe unabisha ni nani??!We Chidu La acha unafiki asee, unataka kuaminisha hans amepigwa na Covid tuwe na hisia za hofu basi, hii tabia ya watu maarufu wakifariki mnasingizia corona, mbaya zaidi hampingi hiyo mikusanyiko kwa hao waliofariki kwa Covid.
😨UNAFIKI!
Punguani utawajua tu.Sasa inabidi Serikali ichukue uamuzi mgumu juu ya chanjo.
Wafanyakazi Serikalini lazima wachanje, au waachie ngazi kutazama afya zao.
Tutavaa barakoa hadi lini?
Tatizo kubwa ni hao wa Gwajima, wasiotaka kuchanja na ndio kwa kiasi kikubwa wanaeneza Covid katika jamii.
Ni jambo la kusikitisha vifo vya hivi karibuni familia ya Hanspoppe, kuna waliokataa kuchanja, mauti imewatembelea.
Imefika muda tusicheze na hili janga.
😂😂😂 Tayari huyo chanjo ishaanza kufanya yake.Labda ndo side effect mojawapo..kulazimisha wengine😀😂
Hahaha..tutaona mengi. Wanasema " when you are dead, you don't know if you are dead. It is only hard for the remaining ones"😂. Tujiandae kisaikolojia kudeal nao😀😂😂😂 Tayari huyo chanjo ishaanza kufanya yake.
Siyo yeye !tumuonee huruma
dada kwanini umeandika hiviSasa inabidi Serikali ichukue uamuzi mgumu juu ya chanjo.
Wafanyakazi Serikalini lazima wachanje, au waachie ngazi kutazama afya zao.
Tutavaa barakoa hadi lini?
Tatizo kubwa ni hao wa Gwajima, wasiotaka kuchanja na ndio kwa kiasi kikubwa wanaeneza Covid katika jamii.
Ni jambo la kusikitisha vifo vya hivi karibuni familia ya Hanspoppe, kuna waliokataa kuchanja, mauti imewatembelea.
Imefika muda tusicheze na hili janga.
Mkuu afya ya binadamu ipo kwenye maamuzi. Usiwapangie watuSasa inabidi Serikali ichukue uamuzi mgumu juu ya chanjo.
Wafanyakazi Serikalini lazima wachanje, au waachie ngazi kutazama afya zao.
Tutavaa barakoa hadi lini?
Tatizo kubwa ni hao wa Gwajima, wasiotaka kuchanja na ndio kwa kiasi kikubwa wanaeneza Covid katika jamii.
Ni jambo la kusikitisha vifo vya hivi karibuni familia ya Hanspoppe, kuna waliokataa kuchanja, mauti imewatembelea.
Imefika muda tusicheze na hili janga.
Siyo kweli walikuwa hawajachanja.Hao walikuwa wote wamechanja.
Nakama uko mzee usijaribu JJ inapeleka puta ile mbaya.
Msipochanja mimi nakereka.Kwani sisi tusiochanja tukifa wewe unakereka wapi?
Sijachanja Ila bado nna option 2, kubaki kutokuchanja au kuchanja.
Wewe uliyechanja una option moja tu kuendelea kupigwa booster km kuku wa kisasa.
Nazani waliochanja wakifikiria hilo wanapagawa ndio maana wanalazimisha wote tuchanje. Wakisukumwa na msemo "Msiba wa wengi ni harusi!
Nawashukuru sana kwa kuniunga mkono.Kachanje wewe halafu uache wasio chanja wapate funzo kwa kutochanja kwao. Kwani ukichanja si hautopata corona? Sasa mwenzio asipochanjwa wewe wasiwasi wako nini?
Kweli hii Nchi inayo watu wa ajabu sana, yaani hata hichi kifo cha Zakaria Hans pope bado unataka kubisha kuwa hakuugua Covid ? Yeye mwenyewe ametangazia watu akiwa amelazwa Aghakhan Hospital kwamba anaugua covid na kwamba huu ugonjwa unatesa sana, akaendelea kumwambia Gerson Msigwa Waambieni watu wachukue tahadhari, huu ugonjwa unatesa sana !! Acheni ubishi katika kitu ambacho kiko wazi kabisa, Huko duniani walikoendelea sana wameshaanza kuwachanja mpaka watoto wadogo, je wanataka kuwaua watu wao wote mpaka watoto ??!!!We Chidu La acha unafiki asee, unataka kuaminisha hans amepigwa na Covid tuwe na hisia za hofu basi, hii tabia ya watu maarufu wakifariki mnasingizia corona, mbaya zaidi hampingi hiyo mikusanyiko kwa hao waliofariki kwa Covid.
😨UNAFIKI!