#COVID19 Kuchanja sasa kuwe lazima, hasa wafanyakazi serikalini. Chanja au achia ngazi

#COVID19 Kuchanja sasa kuwe lazima, hasa wafanyakazi serikalini. Chanja au achia ngazi

We mjinga mimi nimechanja, tena wakati bado ni hiari.

Msio na upeo wa kufikiri mbali zaidi ya pua zenu mnashindwa kudadavua mambo basic kabisa.
Marekani ya watu milioni 300, karibia milioni 150 tayari wamechanja.
Uingereza ya watu milioni 68, tayari milioni 48 wamechanja.
sitegemei hao watu kufa kesho wala keshokutwa wala miaka 10 ijayo.
Hii ndiyo faida ya watu waliosoma na kuelewa.

Sasa ninyi vilaza wa kutoka vijijini juzi mmeaminishwa kujifukiza, hata sayansi kwenu ni uchawi.
Taabu kwer kwer!
duh! logic yako ya kutaka kumlazimisha kila mtu achanje ni ipi?

ni haya matusi?
 
Sasa inabidi Serikali ichukue uamuzi mgumu juu ya chanjo.

Wafanyakazi Serikalini lazima wachanje, au waachie ngazi kutazama afya zao.

Tutavaa barakoa hadi lini?

Tatizo kubwa ni hao wa Gwajima, wasiotaka kuchanja na ndio kwa kiasi kikubwa wanaeneza Covid katika jamii.

Ni jambo la kusikitisha vifo vya hivi karibuni familia ya Hanspoppe, kuna waliokataa kuchanja, mauti imewatembelea.

Imefika muda tusicheze na hili janga.
watu wana chanjwa lakini bado wanavaa barakoa sasa maana yake n nn?
 
Wakishachanja alafu wanabaki kuhudumia wananchi wangapi ambao hawajachanja?

Matibabu ni hiyari usilete mawazo ya akina Ndugai hapa kila jambo kutumia nguvu
 
Punguani utawajua tu.
Akamuulize mwenzie aliyesema watu wote walazimishwe kuchanjwa,hadi leo anabadilishiwa kesi.
Hili jambo kila mwenye busara analifanya kwa kuzingatia maamuzi ya nafsi yake basi.
Jiponye nafsi yako,ukiona njia bora ni kuchanjwa wahi,ukiona ni kutochanjwa tulia,ukifuata mkumbo utajuta.
 
Kweli hii Nchi inayo watu wa ajabu sana, yaani hata hichi kifo cha Zakaria Hans pope bado unataka kubisha kuwa hakuugua Covid ? Yeye mwenyewe ametangazia watu akiwa amelazwa Aghakhan Hospital kwamba anaugua covid na kwamba huu ugonjwa unatesa sana, akaendelea kumwambia Gerson Msigwa Waambieni watu wachukue tahadhari, huu ugonjwa unatesa sana !! Acheni ubishi katika kitu ambacho kiko wazi kabisa, Huko duniani walikoendelea sana wameshaanza kuwachanja mpaka watoto wadogo, je wanataka kuwaua watu wao wote mpaka watoto ??!!!
ok,nani alimzuia kuchanjwa,wakati chanjo zipo hapa nchini muda mrefu?
Hivi tunawezaje kuwatofautisha waliokufa kama matokeo ya kuchanjwa au kutochanjwa?
 
Nyie mliochanja mbona mnaweweseka sana? ambao hatujachanja na hatuna mpango huo tupo huru tu na mimi binafsi sijawahi kuvaa barakoa lakini sina hafu yoyote. Wewe umechanjwa, bado umejishindilia li Barakoa puani na bado una hofu tukueleweje
 
Sasa inabidi Serikali ichukue uamuzi mgumu juu ya chanjo.

Wafanyakazi Serikalini lazima wachanje, au waachie ngazi kutazama afya zao.

Tutavaa barakoa hadi lini?

Tatizo kubwa ni hao wa Gwajima, wasiotaka kuchanja na ndio kwa kiasi kikubwa wanaeneza Covid katika jamii.

Ni jambo la kusikitisha vifo vya hivi karibuni familia ya Hanspoppe, kuna waliokataa kuchanja, mauti imewatembelea.

Imefika muda tusicheze na hili janga.
Ningejua tusi kubwa kuliko yote ningekutukana
Akili yako imejaa kinyesi
 
Swali la Gwajima ni rahisi sana, Je nikichanjwa sihitaji tena kuvaa barakoa ?🤣🐒
 
watu wana chanjwa lakini bado wanavaa barakoa sasa maana yake n nn?
Wale wasiochanjwa na wana covid wanaweza kuwaambukiza.
Ila waliochanjwa wakiambukizwa ugonjwa hsuna makali kama kwa wale wasiochanjwa.
 
ok,nani alimzuia kuchanjwa,wakati chanjo zipo hapa nchini muda mrefu?
Hivi tunawezaje kuwatofautisha waliokufa kama matokeo ya kuchanjwa au kutochanjwa?
Tunafahamishwa kitaalamu kwamba MTU akichanjwa hata kama ataambukizwa covid madhara yake hayatakuwa makubwa kama yule MTU ambaye hajachanjwa,
 
Wakishachanja alafu wanabaki kuhudumia wananchi wangapi ambao hawajachanja?

Matibabu ni hiyari usilete mawazo ya akina Ndugai hapa kila jambo kutumia nguvu
Kuna daktari Muhimbili alikataa katakata kuchanja, alipata covid na akafa.
Sijui aliambukiza wangapi?
 
Nyie mliochanja mbona mnaweweseka sana? ambao hatujachanja na hatuna mpango huo tupo huru tu na mimi binafsi sijawahi kuvaa barakoa lakini sina hafu yoyote. Wewe umechanjwa, bado umejishindilia li Barakoa puani na bado una hofu tukueleweje
Tunaogopa kuambukizwa na wasiochanjwa,
 
Back
Top Bottom