nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978
duh! logic yako ya kutaka kumlazimisha kila mtu achanje ni ipi?We mjinga mimi nimechanja, tena wakati bado ni hiari.
Msio na upeo wa kufikiri mbali zaidi ya pua zenu mnashindwa kudadavua mambo basic kabisa.
Marekani ya watu milioni 300, karibia milioni 150 tayari wamechanja.
Uingereza ya watu milioni 68, tayari milioni 48 wamechanja.
sitegemei hao watu kufa kesho wala keshokutwa wala miaka 10 ijayo.
Hii ndiyo faida ya watu waliosoma na kuelewa.
Sasa ninyi vilaza wa kutoka vijijini juzi mmeaminishwa kujifukiza, hata sayansi kwenu ni uchawi.
Taabu kwer kwer!
Aliyedhamiriwa ni aliyerusha jiwe gizani.duh! logic yako ya kutaka kumlazimisha kila mtu achanje ni ipi?
ni haya matusi?
watu wana chanjwa lakini bado wanavaa barakoa sasa maana yake n nn?Sasa inabidi Serikali ichukue uamuzi mgumu juu ya chanjo.
Wafanyakazi Serikalini lazima wachanje, au waachie ngazi kutazama afya zao.
Tutavaa barakoa hadi lini?
Tatizo kubwa ni hao wa Gwajima, wasiotaka kuchanja na ndio kwa kiasi kikubwa wanaeneza Covid katika jamii.
Ni jambo la kusikitisha vifo vya hivi karibuni familia ya Hanspoppe, kuna waliokataa kuchanja, mauti imewatembelea.
Imefika muda tusicheze na hili janga.
Wakishachanja alafu wanabaki kuhudumia wananchi wangapi ambao hawajachanja?Sasa inabidi Serikali ichukue uamuzi mgumu juu ya chanjo.
Wafanyakazi Serikalini lazima wachanje, au waachie ngazi kutazama afya zao.
Tutavaa barakoa hadi lini?
Tatizo kubwa ni hao wa Gwajima, wasiotaka kuchanja na ndio kwa kiasi kikubwa wanaeneza Covid katika jamii.
Ni jambo la kusikitisha vifo vya hivi karibuni familia ya Hanspoppe, kuna waliokataa kuchanja, mauti imewatembelea.
Imefika muda tusicheze na hili janga.
Akamuulize mwenzie aliyesema watu wote walazimishwe kuchanjwa,hadi leo anabadilishiwa kesi.Punguani utawajua tu.
Mtazirudisha tu hela zao!Kuchanja kwa hiari is not an ption anymore
ok,nani alimzuia kuchanjwa,wakati chanjo zipo hapa nchini muda mrefu?Kweli hii Nchi inayo watu wa ajabu sana, yaani hata hichi kifo cha Zakaria Hans pope bado unataka kubisha kuwa hakuugua Covid ? Yeye mwenyewe ametangazia watu akiwa amelazwa Aghakhan Hospital kwamba anaugua covid na kwamba huu ugonjwa unatesa sana, akaendelea kumwambia Gerson Msigwa Waambieni watu wachukue tahadhari, huu ugonjwa unatesa sana !! Acheni ubishi katika kitu ambacho kiko wazi kabisa, Huko duniani walikoendelea sana wameshaanza kuwachanja mpaka watoto wadogo, je wanataka kuwaua watu wao wote mpaka watoto ??!!!
Mtoa mada ni tabolarasaIli iweje?
Iwapo watanzania 60 wamegoma kuchanjwa, ukichanjwa wafanyakazi wa serikali ambao hawazidi 500,000 itakuwa na effect gani kama zaidi ya 99% ya watu hawajachanjwa?
Basi umekwisha,maana kukereka kunapunguza kinga mwiliniMsipochanja mimi nakereka.
Ningejua tusi kubwa kuliko yote ningekutukanaSasa inabidi Serikali ichukue uamuzi mgumu juu ya chanjo.
Wafanyakazi Serikalini lazima wachanje, au waachie ngazi kutazama afya zao.
Tutavaa barakoa hadi lini?
Tatizo kubwa ni hao wa Gwajima, wasiotaka kuchanja na ndio kwa kiasi kikubwa wanaeneza Covid katika jamii.
Ni jambo la kusikitisha vifo vya hivi karibuni familia ya Hanspoppe, kuna waliokataa kuchanja, mauti imewatembelea.
Imefika muda tusicheze na hili janga.
Wale wasiochanjwa na wana covid wanaweza kuwaambukiza.watu wana chanjwa lakini bado wanavaa barakoa sasa maana yake n nn?
Pata covid ndo utajua mbwa nani!Mbwa kabisa wew
Tunafahamishwa kitaalamu kwamba MTU akichanjwa hata kama ataambukizwa covid madhara yake hayatakuwa makubwa kama yule MTU ambaye hajachanjwa,ok,nani alimzuia kuchanjwa,wakati chanjo zipo hapa nchini muda mrefu?
Hivi tunawezaje kuwatofautisha waliokufa kama matokeo ya kuchanjwa au kutochanjwa?
Kuna daktari Muhimbili alikataa katakata kuchanja, alipata covid na akafa.Wakishachanja alafu wanabaki kuhudumia wananchi wangapi ambao hawajachanja?
Matibabu ni hiyari usilete mawazo ya akina Ndugai hapa kila jambo kutumia nguvu
Tunaogopa kuambukizwa na wasiochanjwa,Nyie mliochanja mbona mnaweweseka sana? ambao hatujachanja na hatuna mpango huo tupo huru tu na mimi binafsi sijawahi kuvaa barakoa lakini sina hafu yoyote. Wewe umechanjwa, bado umejishindilia li Barakoa puani na bado una hofu tukueleweje
Za deni la Taifa mmelipa?Mtazirudisha tu hela zao!
Usinitakie ban buree!Ningejua tusi kubwa kuliko yote ningekutukana
Akili yako imejaa kinyesi