I M
JF-Expert Member
- Dec 23, 2012
- 434
- 767
Binafsi sio muislam, ila shehe hapo aelekezwe tu idadi ya fimbo za kuchapa kisheria.Inaweza
Inaweza kuwa Nia yake njema,ila iwe fundisho kwa wenye Nia ya kupania kupiga watoto ovyo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binafsi sio muislam, ila shehe hapo aelekezwe tu idadi ya fimbo za kuchapa kisheria.Inaweza
Inaweza kuwa Nia yake njema,ila iwe fundisho kwa wenye Nia ya kupania kupiga watoto ovyo!
👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻Hakuna kitu kama hicho, ingekuwa wote tumefanyiwa hivyo nadhani
Kumbe ndiyo maana kuna mambo magumu Sana kwenye kuelezea tu jamii ielewe twende mbele kwa kuwa wengi tunaamini kwenye kusukuma kwa nguvu, kwa kuwa ndiyo mifumo tumekulia, sasa umri wa utu uzima mtu anaamini kwenye kusukuma, nani atamsukuma tena na ana misuli yake? Kumbe saikolojia hii ndiyo inafanya mambo yawe magumu magumu tu mahala pengi, tumeathirika utotoni wengi wetu. Hatuwezi kuendelea hivi
Barua ya Zanzibar inaihusu nini Mbagala ya nyoka Dsm
Inaonekana mwanzo ilidhaniwa ni Zanzibar. Na ukiangalia hapo nimepost barua 2, ya kwanza inayoonesha ofisi ya Mufti kuwa inaitafuta hio madrassa na mwalimu aliefanya kitendo cha upigaji wa namne ile kwa watt. Hio ya pili ndio imekuja na jibu mana watu wa Zanzibar walikuwa wameingiwa na taharuki kwa namna wtt walivochapwaBarua ya Zanzibar inaihusu nini Mbagala ya nyoka Dsm
Ewaaaa hapo sawa.Kwamba na chapian,
Ki Africa tuna mkanganyiko wa kimwenendo unaogemeo milengo ya DINI, TAMADUNI (KABILA ) na kisheria , ukitazama hapo naona hilo limetokea katk taasisi ya kidin ambayo husimamia sheria za kidin japo hakuna taratb / sheria yoyote inayoenda kinyume na katiba (Laws Of Tanzania) itakuwa sio ni morraly wrong act
Ok MkuuInaonekana mwanzo ilidhaniwa ni Zanzibar. Na ukiangalia hapo nimepost barua 2, ya kwanza inayoonesha ofisi ya Mufti kuwa inaitafuta hio madrassa na mwalimu aliefanya kitendo cha upigaji wa namne ile kwa watt. Hio ya pili ndio imekuja na jibu mana watu wa Zanzibar walikuwa wameingiwa na taharuki kwa namna wtt walivochapwa
mwalimu hajatumia ngumi,makofi wala mateke..infact uislam unakataza kupiga usoni (kichwani in general).ndugu yangu, mimi nilishadeclare interest humu kuwa ni mwanasheria na nimeshawakilisha kesi nyingi sana za mauaji, hicho kipigo cha mithali kwenye Biblia, ndio kipigo kikubwa kama kile? ndio kupiga mtoto kama unauwa nyoka, mahakamani huko kuna kesi nyingi tu za mzazi kuua mtoto, anafikiri anaadhibu, wengine wanapiga mateke, wengine ngumi, wengine anampiga mtoto kofi nzito, anadondoka, anasubiri wee kwamba ataamka, mtoto ndio amekufa hivyo. kesi nyingi sana zipo huko mahakamani wazazi kuua watoto na wanaishia masononeko maisha yao yote.
zaidi ya yote, mtoto anayepigwa kama hao kwenye madrasa anaingiziwa roho ya hofu na ukatili kana kwamba hata akifanyiwa kitendo kibaya akatishiwa kwamba asiseme akisema atashughulikiwa, hata ufanyeje ataificha hiyo siri. siri hizo za kubakwa na kulawitiwa n.k, ambazo mtakuja kuzijua akiwa mtu mzima ameshaharibika yupo upande mwingine wa shilingi.
sisi sote watoto huwa tunawaadhibu, ila unamkalisha, mnajadili na kumweleza kosa alilofanya na unamwadhibu kistaarabu sio kumkomoa ila kumrekebisha. unampa na mtoto nafasi ya kujieleza kwa nini amekosea, mara nyingi watu wanapiga watoto kwa sababu wamejipakulia mboga hasa nyama, kumbe mtoto alikuwa anaona njaa, ungemuuliza angesema mama nimekula nyama hiyo kwa sababu nilikuwa na hamu au niliona njaa, na kwa sababu umezoea kumpigapiga hata ukirudi hatakwambia "mama nimekula nyama" kwa sababu anajua utampiga, ila kama wewe ni rafiki, ukirudi tu atakwambia unajua nini maza nimeona njaa nikala nyama.
watoto hao wa shule wengine wanapitia mateso makubwa kwa wazazi wao, wengine wakirudi nyumbani wanajitafutia vyakula, wazazi wapo ulevini huko au wapo kutafuta maisha wanarudi usiku, watoto wanaosha vyombo, wanafanya kazi zote mama akifika pawe panaeleweka, wanachoka, na bado shuleni wanahcapwa viboko, nyumbani wanachapwa, madrasa wanachapwa sasa wakimbilie wapi? ndio wanabaki na mioyo ya sugu na ukatili unazaliwa. mi nilifikiri huko madrasa ndio lingekuwa kimbilio kwa watoto kwa sababu wanaenda kufundishwa mambo ya Mungu, sasa huko nako wanaumizwa wakimbilie wapi sasa? si ndio maana wanakimbilia mtaani?
Shule za serikali zina bakora na adhabu kali kushinda hizo...Tulikuwa tunaambiwa tuiname tunapitisha mikono miguuni na kushika masikio zaidi ya saa nzima.Zipo. Ila viboko vya madras si mchezo! Shuleni at least kale kaptula ka khaki na wavulana sababu ya utundu na kujiandaa tulikuwa tuna vaa 2!
Madras si mchezo aisee!
Saw mkuuEwaaaa hapo sawa.
Mimi nilielewa unachokimaanisha kwenye point yako, tatizo lilikuwa lile yai ulilotema limekusaliti sana
Inamaan kwa wahusika mkuu , ndio maan watoto wako hapoHuyuu mwalimu chizi sasa hiyoo Qur'an ina faida gani kwa taifaaa letu yaaan mpaka uwapige watoto hivi
umefungiwa kwenye cage fulani hivi ambayo unaamini hakuna mwanafunzi aliwahi kufariki kwa kupigwa fimbo. cage hiyo ni hiyo dini yako ya ajabuajabu. binafsi, kuna kesi zaidi ya 5 nazijua, mwanafunzi anafariki kwa kuchapwa na mwalimu, achilia kuwa mlemavu, anachapwa fimbo tu hizi. wazazi pia kuchapa watoto na kufariki ipo sana, nenda magerezani huko utakuta mahabusu wa aina hiyo au uliza askari magereza kama kuna watu huwa wanaletwa gerezani kwa sababu hiyo watakuambia, au uliza polisi. usiwe mgumu kuendelea kuishi kwenye cage inayoamini hadi leo kwamba punda anaweza kupaa angani (kama mpinga Kristo aliyeleta dini ya ajabu alivyowaaminisha).mwalimu hajatumia ngumi,makofi wala mateke..infact uislam unakataza kupiga usoni (kichwani in general).
Hakuna mwanafunzi kafariki kwa kuchapwa fimbo mkononi. Tumesoma shule za serikali na tulikuwa tukichapwa fimbo nyingi zaidi ya hizo ...wakati mwingine walimu wanajipanga msururu unapita kupokea bakora kutoka mwalimu mmoja mpaka mwingine na hakuna cases zozote za mauaji wala kushtakiwa polisi.
Acha ufirauni wewe.Acha kuchanganya
Regious issue na illegal issue hapo ni madrasa yako regulated na regious ethical issues japo zko against illegal