Kuchapwa watoto kiasi hiki ni sawa?

Inaweza

Inaweza kuwa Nia yake njema,ila iwe fundisho kwa wenye Nia ya kupania kupiga watoto ovyo!
Binafsi sio muislam, ila shehe hapo aelekezwe tu idadi ya fimbo za kuchapa kisheria.
 
👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻
 
Barua ya Zanzibar inaihusu nini Mbagala ya nyoka Dsm
Inaonekana mwanzo ilidhaniwa ni Zanzibar. Na ukiangalia hapo nimepost barua 2, ya kwanza inayoonesha ofisi ya Mufti kuwa inaitafuta hio madrassa na mwalimu aliefanya kitendo cha upigaji wa namne ile kwa watt. Hio ya pili ndio imekuja na jibu mana watu wa Zanzibar walikuwa wameingiwa na taharuki kwa namna wtt walivochapwa
 
Ewaaaa hapo sawa.

Mimi nilielewa unachokimaanisha kwenye point yako, tatizo lilikuwa lile yai ulilotema limekusaliti sana
 
Ok Mkuu
 
Huyuu mwalimu chizi sasa hiyoo Qur'an ina faida gani kwa taifaaa letu yaaan mpaka uwapige watoto hivi
 
mwalimu hajatumia ngumi,makofi wala mateke..infact uislam unakataza kupiga usoni (kichwani in general).

Hakuna mwanafunzi kafariki kwa kuchapwa fimbo mkononi. Tumesoma shule za serikali na tulikuwa tukichapwa fimbo nyingi zaidi ya hizo ...wakati mwingine walimu wanajipanga msururu unapita kupokea bakora kutoka mwalimu mmoja mpaka mwingine na hakuna cases zozote za mauaji wala kushtakiwa polisi.
 
Zipo. Ila viboko vya madras si mchezo! Shuleni at least kale kaptula ka khaki na wavulana sababu ya utundu na kujiandaa tulikuwa tuna vaa 2!
Madras si mchezo aisee!
Shule za serikali zina bakora na adhabu kali kushinda hizo...Tulikuwa tunaambiwa tuiname tunapitisha mikono miguuni na kushika masikio zaidi ya saa nzima.

Kuna kung'oa visiki,kukata miti na kuchimbishwa mashimo na sururu mpaka mikono inatoka malengelenge.

Fimbo ndio usiseme.Mnachapwa fimbo na walimu wote , unakuta walimu 7 wamepanga mstari unapita kupokea fimbo tatu kwa kila mwalimu. Bakora 21 za makalio mpk kukaa unakaa kiupandeupande ila hakuna mwalimu aliyeshtakiwa wala kupelekwa polisi.
 
umefungiwa kwenye cage fulani hivi ambayo unaamini hakuna mwanafunzi aliwahi kufariki kwa kupigwa fimbo. cage hiyo ni hiyo dini yako ya ajabuajabu. binafsi, kuna kesi zaidi ya 5 nazijua, mwanafunzi anafariki kwa kuchapwa na mwalimu, achilia kuwa mlemavu, anachapwa fimbo tu hizi. wazazi pia kuchapa watoto na kufariki ipo sana, nenda magerezani huko utakuta mahabusu wa aina hiyo au uliza askari magereza kama kuna watu huwa wanaletwa gerezani kwa sababu hiyo watakuambia, au uliza polisi. usiwe mgumu kuendelea kuishi kwenye cage inayoamini hadi leo kwamba punda anaweza kupaa angani (kama mpinga Kristo aliyeleta dini ya ajabu alivyowaaminisha).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…