Kucheleweshwa kwa Mkopo World Bank: Tumkemee Zitto Kabwe kwa pamoja

Kucheleweshwa kwa Mkopo World Bank: Tumkemee Zitto Kabwe kwa pamoja

Ruzuku kwa kila mwanafunzi wa Shule ya Msingi kuwa ni Tsh 6,000 na Sekondari Tsh 25,000 kwa kila Mwanafunzi kwa mwaka
Elimu bure unamchangia Tsh 6000 kwa mwaka, are you serious? Mzazi anayemnunulia mwanae Counter Books zaidi ya 10, Uniforms, fedha za nauli na kula mchana ndio ashindwe kulipa Tsh 6000 au 25000? Sasa hiyo 6000 au 25000 kwa mwaka mwanafunzi anatumia kwenye nini? Elimu bure ni Changa la Macho la kuwaibia Mbeberu fedha zao tu.
 
Sasa yeye kama kaiomba Benki Kuu ya Dunia kuahirisha kuipa Tanzania Dollar Milion 500 za Mkopo, wewe kama unaona hakufanya vizuri, husituambie sisi humu JF.

Kama unajiamini, na unaona una uwezo, basi waandikie Benki ya Dunia kukanusha habari hizo, na uwaambie Zitto kasema uongo, hivyo watoe huo msaada/ mkopo.
 
Re-Entry policy ambayo iliasisiwa na mheshimiwa Kikwete na kufanyiwa tafiti za kutosha kwenye nchi zinazopractice imeishia kwenye makabrasha huko wizarani, Pamoja na kwamba mabilioni ya walipa kodi yalitumika ili kufanikisha sera nini kimefanyika?

Labda ningeona unaongea unachokijua kama ungeainisha mpango mahsususi ambao umewekwa kwa ajili ya kuwasaidia adolescent mothers ambao wamekatishwa masomo kwasababu ya kubakwa na kupata ujaiuzito! maana kwa mujibu wa sheria za nchi hawa ni WATOTO, kuizungumzia QT kama alternative ni UPOFU.

Hukumu 2 tatu zilizotolewa kati ya matukio takribani 80,000 ya Teen Pregnancy na kusema kazi inafanyika huko ni Kukosa Mashiko! Lkn pia ile kauli ya SISOMESHI MALAYA ni uthibitisho tosha wa namna ambavyo Mtoto wa Kike Tanzania anavyonYimwa haki zake za msingi.
 
January 25, 2020

CCM Mpya yaweweseka

Katibu uenezi CCM Humphrey Polepole azishutumu asasi za kiraia AZAKI kwa kutuma barua gazeti la financial times na kujiuliza kwanini wasingezungumza na serikali ya CCM Mpya kutatua changamoto na masuala mengine kabla ya kuueleza ulimwengu kinachoendelea katika uhalisia wake.

 
Nimesoma sijaimaliza. Wakati mwingine tuwe tunaangalia shilingi pande zote mbili. Tusijitoe ufahamu na kujitia upofu, ila utetezi wako umefika mahala husika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo alichokisema ni sahihi hajatafuna maneno, maana hata tukipewa hizo fedha nyingi zinaishia mifukoni mwao wanao lengwa hawapati sasa ya nini kujiongezea madeni.

Sent using Jamii Forums mobile app
We bhana wee ! Hujui ZZK wewe, hapo pangekua na ka channel ka yeye ku access hizo funds kupitia kamati fulani ya bunge nina kuhakikishia angeandika vizuri mno na kusisitiza hizo fedha zifike haraka hazina ! Zito is an opportunist of all time ! Kwa sasa amejikita kwenye operation MWAGA MBOGA NI MWAGE UGALI !
 
Back
Top Bottom