Msakila KABENDE
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 510
- 314
Watu wenye njaa na uchu wa madaraka hatukuwahi kuwa na akili ya ziada - siku zote tumeelekeza matamanio ya madaraka ili kukidhi mahitaji ya kifamilia.
God and time
God and time
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa baada ya kuandika na zuio ndo amepata faida gani? Sisi Watanzania tunaipeleka nchi yetu motoni sisi sisi.Sasa yeye kama kaiomba Benki Kuu ya Dunia kuahirisha kuipa Tanzania Dollar Milion 500 za Mkopo, wewe kama unaona hakufanya vizuri, husituambie sisi humu JF.
Kama unajiamini, na unaona unauwezo, basi waandikie Benki ya Dunia kukanusha habari hizo, na uwaambie Zitto kasema uongo, hivyo watoe huo msaada/mkopo.
Mh. Zitto Zuberi Kabwe aanze kuwekewa ulinzi imara, naona ya Mh. Tundu Lissu yanaweza kujirudia tena kupitia kauli ya kisingizio cha mapambano ya kiuchumi wasaliti ni lazima washughulikiwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huyo rais ana miliki miradi gani ya kumpatia kipato cha kufanya ayo unayo yasema. Tupe elimu kidogo maana ata Forbes ya mwaka jana sijamuona.watz mna matazo sana sijuw mnataka muuongozwaje tu,!!!yani mazur yote rais anafanya lakin mtu anabeza jaman hebu tufikilie sana juu ya swala ka la zito ni labkipuuz sana na mtu huyu ni wakuogopa ka ukoma kwa kwel.
Sent using Jamii Forums mobile app