Wo shi niubi
JF-Expert Member
- Aug 14, 2015
- 1,353
- 1,784
Zitto mpuuzi tu ,hii sheria iko toka enzi za ukoloni,awamu zote zilizopita hakuna mtoto aliyepata mimba akaendelea na shule,mimi Nilisoma demu fulani akapata mimba one week before mtihani wa form six alirudishwa nyumbani, zitto kama ni mzalendo na anatetea akina dada hao kwa nini asipeleke mswada bungeni kuitaka serikali ibadili sheria hiyo? amekaa bulngeni zaidi ya miaka 10 sijawahi ona jitihada zake katika hili au hoja binafsi bungeni ya zitto kuhusu ubadilishwaji wa sheria hii, Zitto na lissu siasa zao kijinga, halafu bado wana zile mind zao kuwa chchote kinachotokea nchini basi mzungu atakuja kutusaidia au kutuamulia.
Angalia mtu kama Mbowe au yule katibu mkuu wao mnyika hawa siasa za kipuuzi kama hizi, pamoja na mapungufu ya Mbowe lakini hanaga siasa za kijinga kama za zitto au Lissu.
Angalia mtu kama Mbowe au yule katibu mkuu wao mnyika hawa siasa za kipuuzi kama hizi, pamoja na mapungufu ya Mbowe lakini hanaga siasa za kijinga kama za zitto au Lissu.