Savimbi Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2011
- 6,818
- 9,183
Elimu bure unamchangia Tsh 6000 kwa mwaka, are you serious? Mzazi anayemnunulia mwanae Counter Books zaidi ya 10, Uniforms, fedha za nauli na kula mchana ndio ashindwe kulipa Tsh 6000 au 25000? Sasa hiyo 6000 au 25000 kwa mwaka mwanafunzi anatumia kwenye nini? Elimu bure ni Changa la Macho la kuwaibia Mbeberu fedha zao tu.Ruzuku kwa kila mwanafunzi wa Shule ya Msingi kuwa ni Tsh 6,000 na Sekondari Tsh 25,000 kwa kila Mwanafunzi kwa mwaka