Savimbi Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2011
- 6,818
- 9,183
Elimu bure unamchangia Tsh 6000 kwa mwaka, are you serious? Mzazi anayemnunulia mwanae Counter Books zaidi ya 10, Uniforms, fedha za nauli na kula mchana ndio ashindwe kulipa Tsh 6000 au 25000? Sasa hiyo 6000 au 25000 kwa mwaka mwanafunzi anatumia kwenye nini? Elimu bure ni Changa la Macho la kuwaibia Mbeberu fedha zao tu.Ruzuku kwa kila mwanafunzi wa Shule ya Msingi kuwa ni Tsh 6,000 na Sekondari Tsh 25,000 kwa kila Mwanafunzi kwa mwaka
Mawazo hayapigwi rungu. Zitto amekosea wapi labda kwa mfano?Watanzania mna matatizo sana sijuw mnataka muuongozwaje tu,!!!yani mazur yote rais anafanya lakin mtu anabeza jaman hebu tufikilie sana juu ya swala ka la zito ni labkipuuz sana na mtu huyu ni wakuogopa ka ukoma kwa kwel.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawakawii kusema Jiwe alinukuliwa vibaya, yaani siasa za CCM ni za kishenzi sana. Huwa hawajiulizi kesho ni kitu gani kitatokea.Sasa hapo Zitto kadanganya wapi?
Zitto ni mhaini.
We bhana wee ! Hujui ZZK wewe, hapo pangekua na ka channel ka yeye ku access hizo funds kupitia kamati fulani ya bunge nina kuhakikishia angeandika vizuri mno na kusisitiza hizo fedha zifike haraka hazina ! Zito is an opportunist of all time ! Kwa sasa amejikita kwenye operation MWAGA MBOGA NI MWAGE UGALI !Hapo alichokisema ni sahihi hajatafuna maneno, maana hata tukipewa hizo fedha nyingi zinaishia mifukoni mwao wanao lengwa hawapati sasa ya nini kujiongezea madeni.
Sent using Jamii Forums mobile app