Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Kwanini utegemee mtu mwingine kukujengea wewe msimamo? Jenga wewe misimamo yako tena iwe zaidi ya Michael. Kama huwezi kaa kimya na ka pseudoname kako la JF!We tulikuamini sana lakini sasa unakuwa mbwa yani wajibu wako kubweka ili anayekufuga aendelee kukulisha.nimekupuuza
Ndo Kwa kutafuta huruma za wazungu wasiojua kuwapenda watu weusi hata siku moja?Kama Zitto hana hoja apuuzwe. Lakini kama alichoongea kina mashiko, kwa nini tumkemee? Ana haki ya kutoa ya moyoni, kama ilivyo kwa Mtanzania yoyote yule
Sent using Jamii Forums mobile app
Watanzania mna matazo sana sijui mnataka muuongozwaje tu,!!!yani mazur yote rais anafanya lakin mtu anabeza jaman hebu tufikilie sana juu ya swala ka la zito ni la kipuuzi sana na mtu huyu ni wa kuogopa ka ukoma kwakweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunapaswa kukupuuza! Hivi binti aliyepewa mimba anahukumiwaje maisha yake yote?
Panua ubongo kabla upanue vidole
Halafu alichokiandika mwenyewe leo anafurahia kufanya kinyume, ajabu saana!