Kucheleweshwa kwa Mkopo World Bank: Tumkemee Zitto Kabwe kwa pamoja

Zitto mpuuzi tu ,hii sheria iko toka enzi za ukoloni,awamu zote zilizopita hakuna mtoto aliyepata mimba akaendelea na shule,mimi Nilisoma demu fulani akapata mimba one week before mtihani wa form six alirudishwa nyumbani, zitto kama ni mzalendo na anatetea akina dada hao kwa nini asipeleke mswada bungeni kuitaka serikali ibadili sheria hiyo? amekaa bulngeni zaidi ya miaka 10 sijawahi ona jitihada zake katika hili au hoja binafsi bungeni ya zitto kuhusu ubadilishwaji wa sheria hii, Zitto na lissu siasa zao kijinga, halafu bado wana zile mind zao kuwa chchote kinachotokea nchini basi mzungu atakuja kutusaidia au kutuamulia.

Angalia mtu kama Mbowe au yule katibu mkuu wao mnyika hawa siasa za kipuuzi kama hizi, pamoja na mapungufu ya Mbowe lakini hanaga siasa za kijinga kama za zitto au Lissu.
 
Elia F Michael,
Wana CCM bwana,mara tuseme mikopo na misaada ya mabeberu hatutaki, mara tuanze kukemeana wenyewe kwa wenyewe kisa mikopo, hivi tatizo letu ni nini hasa?
 
Hivi ni kweli kuWa CCM lazma uongee uongo na usiogope dhambi? Watoto wa kike wakipata mimba wanaendelea na masomo?

Je, SiYo kweli kua Mwenyekiti wa CCM anasema kua tuzae na tuzaliane ili tuwe na uchumi imara kama China?
Mkuu si anasema Uzazi wa Mpango ni uongo mtupu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Elia F Michael ifike sehemu usituone wote wapumbavu mkuu. Rais kwa kauli yake zaidi ya mara 3 anasema yeye akiwa madarakani hataruhusu mtoto aliye pata mimba kurudi shule zitto kurudia alicho sema raisi imekuwa uongo.

Unaleta stori za wajawazito kuruhusiwa soma program za kujiendeleza mara waziri mwanamke yaani upumbavu mtupu yanahusiana vipi?

Wewe kanusha je? raisi hakusema hataruhusu walio pata ujauzito kurudi shule sio ubwege unao andika

Mkuu umekuwa na akili ndogo hadi nimekudharau.
 
Tanzania siyo masikini. Kama tuliweza kununua ndege 2 kwa cash, hiyo misaada ya nini? Tunawatukana mabeberu wanatuonea wivu lakini misaada yao tunataka. Nani katuroga? Wafrika tuna matatizo sana
 
Tanzania ni mnasema ni donor country, sasa kwa nini mnaanza kulilia misaada. Acha Magufuli ahudumie wananchi. Hatuhitaji pesa za mabeberu sisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zitto awamu hii yupo tu, madili yote yanampita kushoto. Mazoea mabaya sana.
 
Hayo mazuri anayoyafanya huyo Rais wako Ni yapi, zaidi ya kukopa na kukopa Kisha kudai anatumia fedha za ndani!!!? Au uzezeta wako unakufanya usitazame mambo katika mwanga halisi!!?
 
Mh. Zito ni msema ukweli lazima aungwe mkono na kila Mtanzania
 
Kumbe mnapenda mikopo ya Mabeberu na Mashoga eeeeh? Sasa kiburi chenu cha kishamba kinatokana na nini?
 
Kuna kosa gani kuzaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…