Kucheleweshwa kwa Mkopo World Bank: Tumkemee Zitto Kabwe kwa pamoja

Hii nchi ina kila aina ya watu.

Hao watoto wakiruhusiwa kuzaa wakiwa shule si utakuta girls wote wananyonyesha.

Kweli Mheshimiwa Magufuli una kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Aliyempa mimba miaka 30 jela, aliyepewa mimba hakuna kusoma.

Mtoto aliyezaliwa anakuwa na baba mfungwa na mama Mjinga.Sijui tutakua na kizazi cha aina gani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh, pole Dogo kwisha habari yako.umeungana Na watesi Wa lissu.dhambi hii haitakuacha salama.
 
ZItto atarudi lini kwao?
Nasikia Nkurunzinza hagombei tena.
 

Nani kazuia wewe kuandika barua. Hoja vs Hoja sio.
 
Elia F Michael, ninachoweza kukwambia kwa kifupi ni hiki.

Badala ya kumshambulia Mbunge, Mh. Zitto kwa kuandika barua kama unavyodai, chukua nafasi nawe uandike barua huko huko alikoipeleka Zitto ili na ya kwako ikisomwa na hao watu, watafanya uamzi kutokana na uzito wa huo ushahidi wako.

Unachofanya hapa kiko wazi. Wewe ni mtu mwenye njaa kiasi kwamba imeathiri mfumo mzima wa fikra zako.

Umekosa subira ili uwape muda hata hao unaowalilia wakujaze tumbo wapime wapi pa kukuweka ili usiendeleze wazimu huu unaoonyesha humu.

Unawapa wakati mgumu hawa unaowalilia, kwani unadhihirisha wazi hulka yako ni ya kimalaya malaya hivi. Huaminiki.
Wanajua kesho akishapatikana mwenye mshiko zaidi ya wao utawaacha kwenye mataa ili ukakidhi njaa yako huko.

Hivi huoni jinsi unavyojiharibia kwa mtindo wako huu?
 
Njaa imehamia kichwani sasa ni full kujipendekeza kutafuta uteuzi!!
Na ataupata. Kwa sababu watu wa aina hii ndio anaowataka mteuzi.

Asipoteuliwa wakati huu matumaini yake makubwa kayaweka baada ya uchaguzi mkuu akiwa na uhakika hapatakuwepo na mabadiliko yoyote katika uongozi wa nchi.

Hii ndio njia wanazotumia wengi wa hao waliomo ndani ya chama hicho sasa hivi.
 
Kwani Magufuli hakusema kuwa mwanafunzi atakayepata mimba na kujifungua hakuna kurudi shuleni?? Nakuuliza we mburula Magufuli hakusema???. Unalalamika nini wakati Magufuli kasema juzi kuwa tunayo pesa ya kutosha. Akaendelea kujimwambafai kuwa pesa tuliyonayo tunaweza kukaa hata 6 months bila TRA kukusanya kodi. Sasa kwanini ulilie mkopo wakati unazo pesa za kutosha. Wadanganyeni mamburula kama wewe. Zitto yuko sawa
 
Ndugu@Elia F Michael, Kwanza nikupongeze Sana kijana kwa kujitambua na kujipambanua kutoka zero to hero.
Ni wachache Sana wenye maono,vijana wengi wasomi wanapotea kiushabiki ama kimfumo na kujiweka katika kundi la hovyo,lakini kwako wewe Ni tofauti japo ulianzia kwa wapinga Kila kitu,wachochezi,wasiojitambua na wazee wa kulalamika ila akili yako imekusaidia kuvuka mto na Sasa upo kwenye mikono salama.
Nikuambie tu ungeelendea kukaa huko mtoni ungemezwa na Mamba ama kuliwa na kiboko.
Katika hoja yako hapo juu umetoa maelezo mazuri Sana ukweli Ni kwamba home mate wenu Zitto Kabwe Kuna mengi anakosea,Ni kijana msomi mzuri but useless kitendo Cha kuandika nakala ama barua au kutoa taarifa kwa Nchi nyingine kuliteta Taifa lako Inahesabiwa Kama UHAINI,kwa tasfiri rahisi unatakiwa kufukuzwa ama kupotezwa,hufai kuendelea kuwa Mtanzania.
Utanzania wetu sio katika nyimbo za Taifa,sio katika rangi Bali UZALENDO wa Hali ya juu na kuwa tayari kufa kwaajili ya Tanzania.Bahati mbaya zaidi huyo Zitto amepitia Jeshi la kujenga Taifa JKT alifundishwa somo la uzalendo (nadhani hakuzingatia ) lakini sisi wengine tutaendelea kumkumbusha, kumpa Elimu,na kumuonya kutoiangusha ama kuichonganisha Nchi yetu.
Asante Elia nakuona ukifika mbali zaidi,wewe Ni visionary leader aluta continue, Tanzania mpya.
 
Kwann mikopo kwenye elimu bali cash kwenye ndege.
 
Ipi ni siri ikishakuwa public kwani aliyoyasema yana usiri upi
 
Anayeipeleka motoni ni anayesema ukweli au uongo?
Siku yakitukuta ya Syria, Iran, Congo, Nigeria naomba Mungu yaanze na ww?
Hivi unahisi hao mabeberu mnaowapelekea uwo upuuzi wenu wanawapenda sana.
Hamuoni mnampa mlango adui yenu! ?
Nahisi hujui athali za mchafuko wa kisiasa, kiuchumi

Nenda waulize somalia wakwambie athali zake .
Kaulize syria .
Hata hapo juu kwa Marehemu Ghadaffi hapatamaniki .kisa ujinga wa watu wachache.
Think again Mr

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hao mnaowaita mabeberu ndo mnaowaomba misaada. Sasa kama hamuwataki si mkatae pia misaada yao?
 
Siku zote nimekuwa nikisisitiza kwamba viongozi wa kitaifa inatakiwa wachunge kauli zao 'public figures have to keep their words''
 
Kwani hiyo misaada ww haikusaidii ?
Vipi kuhusu Mama na baba yako , wanao na hata ndugu zako haiwasaidi.
Hamuoni wenzenu wanajikwamua kwa kumwaga damu.

Nawashangaa sana uchochezi wenu , likibuma huko Mungu awatangilize tu nyie na familia zenu. Bcoz mnayoyatafuta sasa mtakuwa mmeyapata .
Tangu lini kesi ya swala wakampelekea Simba
Hao mnaowaita mabeberu ndo mnaowaomba misaada. Sasa kama hamuwataki si mkatae pia misaada yao?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…