Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,567
- 9,037
Donor country inaomba mkopo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwasababu yako ya wanao na ndugu zako.Donor country inaomba mkopo?
Kuna tajiri asiye na mkopoKama ni kwelia ameandika lengo sio tunyimwe pesa Bali ni kupunguza deni LA taifa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona anashinda huko?badala kujiuliza MEKO atarudi lini kwao
Kijana uwezo wako ni mdogo sana...siasa yako ipo ukingoni. Mwakani tafuta kazi ya kufanya
Huu ndio ukweli wenyewe wa 2020!.2020 Zito ndiyo atakuwa Kub bungeni..kule zanzibar atapata wabunge wengi plus yeye huku bara
Siku zooooooooooooooooote Zitto atakuwa Msaliti, haaminiki, CCM na majina yooooteee.1.Miaka ya 2005 zito alipambana sana kuhusu mikataba ya midini hadi wakina karamagi wakatolewa. Baadaye akaula kuwa mwenyekiti wa Pac pamoja na Cheyo akipewa kamati ya laac. Baadaye kipindi cha makinda hizi kamati ya cheyo na zito ziliungana lakini bado uenyekiti akapewa Zito. Nani yupo nyuma yake.
2. Zito alituhumiwa na wenzake chadema kuwahujumu na kuwasaliti japo sikuamini lakini kipindi hiko kuliibuka urafiki mkubwa kati ya Zito na Zoka (boss wa kitengo masuala ya siasa)..Zito na Jk(urafiki wa siri). Zito na Makinda. Zito na Dau. Zito na Msechu. Zito na January Makamba..zito na mwigulu..Wale wote ambao Waliokuwa wanampigania zito walilamba vyeo serikalini. Kuna kijana km Mwampamba..Juliana Shonza.. KITILA. Mama Anna wa kilimanjaro wote wapo serikalini. Je zito ni nani?
3. Mapema baada ya Rais kuapishwa Zito alimsifia sana Rais. Gafla Zito akabadilika. Mwaka 2017 Zito alikuwa mtu wa kwanza kutweet suala la ndege kushikiliwa Canada..Lisu akaitisha press akiwa na Zito..majanga yakampata Lisu. Lisu alikuwa kila siku akihudhuria mahakamani kwa kumkosoa bwana mkubwa. Zito ameisema sana Serikali hii kuwa ni ya washamba..mara gangstar..Siri zote za serikali anatupa yeye..mfano ndege kukamatwa south..canada..kesi ya mkulima..n.k but lini Zito umeona akisumbuliwa. Je zito ni nani?
4. Leo tumeona barua ambayo Zito na watu kadhaa wameandika barua World bank kuhusu tanzania kunyimwa msaada wa billion 500 kusaidia masuala ya elimu..umeona response ya mkuu wa nchi amesema tuwapuuzeni tu hao.
Ingekuwa ndiyo Lisu kaandika pangechimbika...Je Zito ni nani?
Kwa upande wangu Zito ni mtoto wao na wanampromote kutuaminisha sisi na wale wa nje kuna demokrasia Tanzania. Na 2020 Zito ndiyo atakuwa Kub bungeni..kule zanzibar atapata wabunge wengi plus yeye huku bara italazimishwa chadema watangazwe wachache ili wasimpiku Zito. Hii moviea chadema wanajua ndiyo maana wanasita sana kushirikiana na Zito 2020. Ebu angalia kosa la viongozi wa chadema ni kuhamasisha wafuasi wao kudai fomu za wakala kwenye uchaguzi wa kinondoni. Mbowe na matiko walikaa four months mahabusu..na bado kesi inaendelea.
Leo Zito hajawahi kuguswa.
Kinachofanyika ni kumuunda mkosoaji na unaweza kumcontrol. Zito ni mwenzao
Jf nyuzi km hizi siyo za kufuta..hazina shida.
Zitto sio nyoka bali ni strategistUnamaoni gani kuhusu Zito kuwa nyoka
Huu ndio ukweli wenyewe wa 2020!.
Tukubali tukatae, JPM ni JIWE la ukweli, ni Mwamba, ni Jabali, hivyo kwa upinzani wa Tanzania huku Bara, kuna watu wawili tuu ndio wanaweza kupambana na JPM kwenye urais na JPM akapata angalau joto joto la uchaguzi, hawa ni Tundu Lissu na Zitto Zuberi Kabwe.
Kwa vile mpaka sasa hakuna uhakika wa Tundu Lissu kurejea nchini kuja kumkabili JPM kwenye urais, hivyo Zitto ndie mgombea pekee aliyebakia anayeweza kuleta impact kwenye urais.
ZZK asipokuwa mgombea wa upinzani kwa mwaka huu kumkabili JPM wa CCM, then ZZK ndie Mbunge pekee atakaye penya kwenye kasi ya JPM na kurejea Bungeni.
Kwa huku bara, tunakwenda kwenye Bunge la chama kimoja, ZZK ndie KUB, kupitia wabunge wa ACT watakao penyea Zanzibar, haswa kutoka Pemba na yale majimbo yao wawili ya Zanzibar.
Kwa huku Tanzania Bara, ZZK ndie mpinzani pekee atakayevuka kisulisuli cha CCM 2020
Zitto ni Mzalendo wa kweli, Baada ya kumsikiliza leo, nimebaini haya...
Wanabodi, Nimemsikiliza, Mhe. Zitto Zuberi Kabwe akihojiwa kwenye kipindi cha Mikasi!, (japo kipindi hakikuwa na maswali magumu kivile!, ile hiki ndicho Watanzania wanachokihitaji, vipindi vya maswali magumu type ya "kiti moto" havihitajiki sana kwa audience yetu!. Kiukweli, tukubali...www.jamiiforums.com
Kiukweli, Kama Sio Nguvu ya Soda, Then ACT ni Tishio. Hawa ni The Underdogs, Huwezi Kuwapuuza
Wanabodi, Tangu kuasisiwa kwa ACT, leo ndio mara yangu ya kwanza, mimi Paskali kuzungumzia lolote kuhusu ACT, kwa sababu, mimi ni muumini wa "Umoja ni Nguvu, Utengano ni Udhaifu". Naamini ushirikiano wa dhati wa upinzani na muungano wa wapinzani kuwa kitu kimoja na kusimamisha mgombea mmoja...www.jamiiforums.com
P
Zitto anajua kujenga hoja ambazo zina nguvu ya hoja wakati wanasiasa wengine wao wanajenga hoja za nguvu.Kwanini Zito hapati misuksuko km wapinzani wengine