Dah ....ni uamuzi wa mtu binafsi tu kutokana na mipango ya bajeti yako..ama kuchepuka ama kujaza mapochopocho[emoji2][emoji1787][emoji1787]Guest 30,000
Vinywaji na misosi 30,000
Usafiri 10,000
Kifuta jasho 30,000
Haraka haraka 100,000!
Wacha nibaki njia kuu hio 100,000 najaza friji mapochopocho kibao.
Dah...inaonyesha hata haukuwa na bajeti ya kununua vitu vya sokoni....Kuna siku yamenipata mahesabu ya fasta fasta nikaona itakuwa 145,600/=
Nili-focus mbele zaidi safari yangu ikaishia sokoni.
Nilinunua mchele, sukari, tambi , maharage, dagaa na samaki.
Nahisi niliongeza siku za furaha nyumbani. Nilimpigia simu kuwa nimepata dharura, nikamrushia 15,000/=
Kilichoendelea ni siri yangu tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mahitaji huwa hayaishi hata uwe na bajetiDah...inaonyesha hata haukuwa na bajeti ya kununua vitu vya sokoni....
Jifunze kupanga bajeti ya mahitaji yako...na uifuate[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Beretta ARX 160
Bajeti ya kuchepuka? Bajeti haijawahi kutosheleza kiasi cha kuhalalisha kuchepukaDah ....ni uamuzi wa mtu binafsi tu kutokana na mipango ya bajeti yako..ama kuchepuka ama kujaza mapochopocho[emoji2][emoji1787][emoji1787]
Sent using Beretta ARX 160
Shkamoo
Duh hio WOTE ni nzito. Yani ukiwa na vicent vya gesti lazima uchepuke?Ndio maana nikasema watanzania wote wenye uwezo angalau wa kulipa gest wanachepuka isipokuwa Rais tu
Marahaba mwenza, ninamtafuta mume wetu nimepoteza miwani heading siiyoni vizuri.Shkamoo dada
Hiyo heading ni hatari kwa afya ya wachepukaji mwenza!Marahaba mwenza, ninamtafuta mume wetu nimepoteza miwani heading siiyoni vizuri.
Hivi unafikiri wanaume wanapenda kuchepuka?
mke kajifungua utasubiri miezi kadhaa?
Mke kila akirudi toka kazi amechoka utafanyaje?
Mke baada ya kupata watoto mapenzi yote kageuzia kwa watoto
Mke hataki style mbali mbali kama zile za uchumba mchepuko hizo unazipata bila shida
Mke kisha zeeka na wewe unataka dogodogo
@nahuja
Madame B
Mshana Jr
funzadume
msafwa93
OKW BOBAN SUNZU
Asprin nisomee heading ya hii siledi siiyoni vizuri.
Shkamoo dada
Marahaba mwenza, ninamtafuta mume wetu nimepoteza miwani heading siiyoni vizuri.
Tazama jinsi ilivyo vema na kupendeza watu kukaa kwa upendo...Hiyo heading ni hatari kwa afya ya wachepukaji mwenza!
Na mie naomba vituTazama jinsi ilivyo vema na kupendeza watu kukaa kwa upendo...
Huu wetu ni utatu mtakavitu....
Wenzako wazoefu kuepuka gharama hizo za kila siku wanamnunulia nyumba na gari kabisa.Guest 30,000
Vinywaji na misosi 30,000
Usafiri 10,000
Kifuta jasho 30,000
Haraka haraka 100,000!
Wacha nibaki njia kuu hio 100,000 najaza friji mapochopocho kibao.
Dah. Chief..ndiyo maana nikasema ni uamuzi tu....kwa jinsi unavyoyaona na kuyapangilia mambo yako....[emoji41]Bajeti ya kuchepuka? Bajeti haijawahi kutosheleza kiasi cha kuhalalisha kuchepuka
AseeWenzako wazoefu kuepuka gharama hizo za kila siku wanamnunulia nyumba na gari kabisa.