Kuchepuka gharama sana

Kuchepuka gharama sana

Guest 30,000
Vinywaji na misosi 30,000
Usafiri 10,000
Kifuta jasho 30,000
Haraka haraka 100,000!
Wacha nibaki njia kuu hio 100,000 najaza friji mapochopocho kibao.
Dah ....ni uamuzi wa mtu binafsi tu kutokana na mipango ya bajeti yako..ama kuchepuka ama kujaza mapochopocho[emoji2][emoji1787][emoji1787]

Sent using Beretta ARX 160
 
Kuna siku yamenipata mahesabu ya fasta fasta nikaona itakuwa 145,600/=

Nili-focus mbele zaidi safari yangu ikaishia sokoni.
Nilinunua mchele, sukari, tambi , maharage, dagaa na samaki.

Nahisi niliongeza siku za furaha nyumbani. Nilimpigia simu kuwa nimepata dharura, nikamrushia 15,000/=

Kilichoendelea ni siri yangu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah...inaonyesha hata haukuwa na bajeti ya kununua vitu vya sokoni....
Jifunze kupanga bajeti ya mahitaji yako...na uifuate[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Beretta ARX 160
 
Dah...inaonyesha hata haukuwa na bajeti ya kununua vitu vya sokoni....
Jifunze kupanga bajeti ya mahitaji yako...na uifuate[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Beretta ARX 160
Mahitaji huwa hayaishi hata uwe na bajeti
 
Dah ....ni uamuzi wa mtu binafsi tu kutokana na mipango ya bajeti yako..ama kuchepuka ama kujaza mapochopocho[emoji2][emoji1787][emoji1787]

Sent using Beretta ARX 160
Bajeti ya kuchepuka? Bajeti haijawahi kutosheleza kiasi cha kuhalalisha kuchepuka
 
Hivi unafikiri wanaume wanapenda kuchepuka?
mke kajifungua utasubiri miezi kadhaa?
Mke kila akirudi toka kazi amechoka utafanyaje?
Mke baada ya kupata watoto mapenzi yote kageuzia kwa watoto
Mke hataki style mbali mbali kama zile za uchumba mchepuko hizo unazipata bila shida
Mke kisha zeeka na wewe unataka dogodogo

@nahuja
Madame B
Mshana Jr
funzadume
msafwa93
OKW BOBAN SUNZU

Ukiwa mbinafsi katika mahusiano yako na mkeo lazima uwe na mawazo kama haya.
 
Kuchepuka ni zaidi ya Gharamaa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yani kama una wife akigundua nadhani utaelewa kuwa yeye nae genye anazoo[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Guest 30,000
Vinywaji na misosi 30,000
Usafiri 10,000
Kifuta jasho 30,000
Haraka haraka 100,000!
Wacha nibaki njia kuu hio 100,000 najaza friji mapochopocho kibao.
Wenzako wazoefu kuepuka gharama hizo za kila siku wanamnunulia nyumba na gari kabisa.
 
Bajeti ya kuchepuka? Bajeti haijawahi kutosheleza kiasi cha kuhalalisha kuchepuka
Dah. Chief..ndiyo maana nikasema ni uamuzi tu....kwa jinsi unavyoyaona na kuyapangilia mambo yako....[emoji41]

Sent using Beretta ARX 160
 
Back
Top Bottom