Hahhahahaaa,,,hivi ni kwanini. Kama nini mfano😝😝Ila vitu vya kukosesha amani vina raha sana
Kuchepuka...Hahhahahaaa,,,hivi ni kwanini. Kama nini mfano😝😝
Acha kulia lia hayo yote yanatakiwa yaende sambamba mchepuko ugonge na friji ijae mazagaza.Guest 30,000
Vinywaji na misosi 30,000
Usafiri 10,000
Kifuta jasho 30,000
Haraka haraka 100,000!
Wacha nibaki njia kuu hio 100,000 najaza friji mapochopocho kibao.
Sijalia, nimeamua kustaafu.Acha kulia lia hayo yote yanatakiwa yaende sambamba mchepuko ugonge na friji ijae mazagaza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Over
Nani?Kwisha habari yake
Hakuna jipya kwa hiyo michepukoHakuna jipya kivipi mkuu
Nani huyo huyoNani?
Ni ile ambayo huwezi ku risk kuipotezaHela ya mawazo ikoje?
Ukisikia huyu ni MTU makini hivyo ndivyo anavyokuwa ni ulofa sana kununua kitu ulichonacho kwa gharama zote hizo ili hali una mke homeGuest 30,000
Vinywaji na misosi 30,000
Usafiri 10,000
Kifuta jasho 30,000
Haraka haraka 100,000!
Wacha nibaki njia kuu hio 100,000 najaza friji mapochopocho kibao.
Hahaha aiseeee sawasawa mkuu.Guest 30,000
Vinywaji na misosi 30,000
Usafiri 10,000
Kifuta jasho 30,000
Haraka haraka 100,000!
Wacha nibaki njia kuu hio 100,000 najaza friji mapochopocho kibao.
Mkuu ungemuongeza hata buku tano angalau iwe ishirini.Kuna siku yamenipata mahesabu ya fasta fasta nikaona itakuwa 145,600/=
Nili-focus mbele zaidi safari yangu ikaishia sokoni.
Nilinunua mchele, sukari, tambi , maharage, dagaa na samaki.
Nahisi niliongeza siku za furaha nyumbani. Nilimpigia simu kuwa nimepata dharura, nikamrushia 15,000/=
Kilichoendelea ni siri yangu tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Afazali umenielewaUkisikia huyu ni MTU makini hivyo ndivyo anavyokuwa ni ulofa sana kununua kitu ulichonacho kwa gharama zote hizo ili hali una mke home
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahaa hamna senti nita risk kuipotezaNi ile ambayo huwezi ku risk kuipoteza
Ni kosa.Sinywi pombe (labda redbull), sivuti sigara, sipendi mpira (naangalia documentaries na movies), sina starehe zaidi ya kutoka na familia weekends.
Unadhani kwa mwez mara moja nikijipongeza kwa kuuza mech kwa mvhepuko wangu ambao huwa hauniombi ela wala nn, ni kosa kwel??
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo letu ni kuwa, uchumi ukibana tunakuwa wanafki.Ni kosa.