Kuchepuka gharama sana

Kuchepuka gharama sana

Sinywi pombe (labda redbull), sivuti sigara, sipendi mpira (naangalia documentaries na movies), sina starehe zaidi ya kutoka na familia weekends.

Unadhani kwa mwez mara moja nikijipongeza kwa kuuza mech kwa mvhepuko wangu ambao huwa hauniombi ela wala nn, ni kosa kwel??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Guest 30,000
Vinywaji na misosi 30,000
Usafiri 10,000
Kifuta jasho 30,000
Haraka haraka 100,000!
Wacha nibaki njia kuu hio 100,000 najaza friji mapochopocho kibao.
Ukisikia huyu ni MTU makini hivyo ndivyo anavyokuwa ni ulofa sana kununua kitu ulichonacho kwa gharama zote hizo ili hali una mke home

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna siku yamenipata mahesabu ya fasta fasta nikaona itakuwa 145,600/=

Nili-focus mbele zaidi safari yangu ikaishia sokoni.
Nilinunua mchele, sukari, tambi , maharage, dagaa na samaki.

Nahisi niliongeza siku za furaha nyumbani. Nilimpigia simu kuwa nimepata dharura, nikamrushia 15,000/=

Kilichoendelea ni siri yangu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ungemuongeza hata buku tano angalau iwe ishirini.
 
Sinywi pombe (labda redbull), sivuti sigara, sipendi mpira (naangalia documentaries na movies), sina starehe zaidi ya kutoka na familia weekends.

Unadhani kwa mwez mara moja nikijipongeza kwa kuuza mech kwa mvhepuko wangu ambao huwa hauniombi ela wala nn, ni kosa kwel??

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kosa.
 
Back
Top Bottom