Kuchepuka kwa mwanaume ni kitu kisichozuilika

Kuchepuka kwa mwanaume ni kitu kisichozuilika

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Kuchepuka kwa mwanaume ni kitu kisichozuilika, ila nawasii ndugu zangu tuchepuke lakini tuhakikishe wake zetu na watoto wako, wako kwenye mazingira mazuri. Mfano, mfanyie yafuatayo mkeo:-
  • Mpe biashara amiliki
  • Mjengee nyumba ya gorofa kama uwezo unao
  • Mnunulie usafiri mkubwa, kuanzia cc4000
Ukifanya hayo yote lazima mkeo ataendelea kukuheshimu hata kama atagundua unachepuka; tofauti na hapo ni kukaribisha umasikini juu ya umasikini.
 
Back
Top Bottom