Kuchepuka kwa mwanaume ni kitu kisichozuilika

Mkuu hayo ni Matatizo yako tu sio Kila mtu yupo hivyo ukishindwa wengine tunaweza usi generalize sema wewe ndo uwezi kustahimili bila mchepuko haya ikitokea ukazaa so ndo chanzo cha Matatizo hapo.

nn chanzo cha watoto wa mitaani?,Magonjwa HIV/AIDS? ukipata wakati wa kuchepuka?, na jitaidi ufahamu kuwa Ndoa sahihi ni Maisha ya Kiroho na sio Maisha ya Kimwili

Welcome pujo. Useme machache.
 
Mkuu hayo ni Matatizo yako tu sio Kila mtu hupo hivyo ukishindwa wengine tunaweza usi generalize sema wewe ndo uwezi kustahimili bila mchepuko haya ikitokea ukazaa so ndo chanzo cha Matatizo hapo.

nn chanzo cha watoto wa mitaani?,Magonjwa HIV/AIDS? ukipata wakati wa kuchepuka?, na jitaidi ufahamu kuwa Ndoa sahihi ni Maisha ya Kiroho na sio Maisha ya Kimwili

Welcome pujo. Useme machache.
Kweli mkuu,upungufu wa nguvu za kiume ukiwepo lazima ndoa itulie...na atakayekuwa anachepuka sana sana ni mke
 
Mbona nguvu zinakiwepo tu sema hujui Ndoa ni nn ndo maana ukijua ndoa ni nn? Basi utaelewa nilichokwambia tofauti na hapo huwezi kuelewa.

Shida tamaa zinawasumbua sana ndugu huridhiki na mke wako unajua madhara ya mchepuko? Huleta impact hadi Kwa watoto na familia nzima.

Wellcome pujo
 
Mbona nguvu zinakiwepo tu sema hujui Ndoa ni nn ndo maana ukijua ndoa ni nn? Basi utaelewa nilichokwambia tofauti na hapo huwezi kuelewa.

Shida tamaa zinawasumbua sana ndugu hurishiki na mke wako unajua madhara ya mchepuko? Huleta impact hadi Kwa watoto na familia nzima.

Wellcome pujo
Katika dunia hii ni asilimia ngapi ya watu hawachepuki?
 
Khe ndio mnaleta mabalaa majumbani kwenu, Kuna mwanasheria wa wilaya x huko aliwekwa karantini na familia yake yote sababu tu kimada wake alikutwa na corona.... Ikabidi kimada aulizwe alikutana na nani katika mizunguko yake si akataja kalala na mwanasheria wa wilaya.... Ikabidi jamaa awekwe karantini na familia... Nilimuonea huruma mke wake maskini upuuzi wa mumewe ukampeleka yeye karantini..... Mtulie wanaume hayo mashimo hayana tofautiiiiiii eeeeeeh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hayo ni Matatizo yako tu sio Kila mtu yupo hivyo ukishindwa wengine tunaweza usi generalize sema wewe ndo uwezi kustahimili bila mchepuko haya ikitokea ukazaa so ndo chanzo cha Matatizo hapo.

nn chanzo cha watoto wa mitaani?,Magonjwa HIV/AIDS? ukipata wakati wa kuchepuka?, na jitaidi ufahamu kuwa Ndoa sahihi ni Maisha ya Kiroho na sio Maisha ya Kimwili

Welcome pujo. Useme machache.
Unanikosha kwa maneno yako. Usemacho ni kweli, tamaa zinawasumbua.
The Most Winner
 
Khe ndio mnaleta mabalaa majumbani kwenu, Kuna mwanasheria wa wilaya x huko aliwekwa karantini na familia yake yote sababu tu kimada wake alikutwa na corona.... Ikabidi kimada aulizwe alikutana na nani katika mizunguko yake si akataja kalala na mwanasheria wa wilaya.... Ikabidi jamaa awekwe karantini na familia... Nilimuonea huruma mke wake maskini upuuzi wa mumewe ukampeleka yeye karantini..... Mtulie wanaume hayo mashimo hayana tofautiiiiiii eeeeeeh

Sent using Jamii Forums mobile app
Sehemu nyingine unapewa kwa kipimo
 
Kuna kitu WATU wakijue...ndoa mkishafunga mmmekua mwili mmoja, na hata roho yenu inakua moja ,ndio maana mume +mke+roho..wanazaa mwanadamu mwenye UHAI Hii kitu ukikaa ukaitafakari sana, utagundua nivema utulie .
 
Back
Top Bottom