Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Kwa nini upewe mara moja kwa wiki tuanzie hapoMfano,unapewa mara moja kwa wiki na wewe bado nguvu asilia unazo,utafanyaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini upewe mara moja kwa wiki tuanzie hapoMfano,unapewa mara moja kwa wiki na wewe bado nguvu asilia unazo,utafanyaje?
Wengine husema kizaz kinashuka,ukipiga mashine unaumiza
Amna nimejarb kuwaza kwa sautiKwa nini mkuu?
Kwani kinakushinda nini kuvumilia? Ina maana mfano wewe ukiwa mgonjwa basi yeye mkeo akachepuke tu sio?Wengine wakishakuwa wazazi huwa wanachangamoto zao mkuu
Huwa nasema daily lakini inaonekana watu wengi wanadhani wao kama wanafanya mambo fulani basi ni kila mtu anafanya.
Sio akili yake inawezekana kapewa limbwata na mchepukoKuna mmoja huku anafukuza
Mke aoe mchepuko asieeeeee
stidy
ha ha ha zikikaa mwilini muda mrefu bila kutoka huwa zinapunguza IQKwani kinakushinda nini kuvumilia? Ina maana mfano wewe ukiwa mgonjwa basi yeye mkeo akachepuke tu sio?
Wee nimekupenda gafla
Umbembeleze yeye hajui majukumu yake? Mambo kama hayo ya kusubiri mwanamme aseme "nataka kupea utawezana" ndio yanayosabisha watu waende nje.Mbembeleze aweze kukupa mara utakazo.
Kweli mkuu,wa nje huwa wanasaidia kupunguza stress sanaUmbembeleze yeye hajui majukumu yake? Mambo kama hayo ya kusubiri mwanamme aseme "nataka kupea utawezana" ndio yanayosabisha watu waende nje.
Marahaba Ankoo,kwema?
Sasa mpaka akupangie si lazima kuna shida mkuu?Umbembeleze yeye hajui majukumu yake? Mambo kama hayo ya kusubiri mwanamme aseme "nataka kupea utawezana" ndio yanayosabisha watu waende nje.
wapo wengine wanakuambia utafute msaidizi nje kutokana na nguvu ulizonazoSasa mpaka akupangie si lazima kuna shida mkuu?
Wavulana hawa anko mi nawaangalia tuMarahaba Ankoo,kwema?
Ukiyabeba majukumu ya kifamilia kama baba halisi (namaanisha mwanaume) kuchepuka ni ngumu sana maana hata kwa mke ndani performance ina shuka sana.
Kuna muda hata kamoja kanagoma.
Sent using Jamii Forums mobile app