Kuchepuka kwa mwanaume ni kitu kisichozuilika

Hakuna kitu kinachukiza km mtu anajua wajibu wake alafu anasubiri kukumbushwa ni upuuzi uliopitiliza
Dawa yake ni kusuza rungu nje tu ukiingia ndani na wewe unasubiri kukumbushwa na asipokumbusha itaenda hivyo hivyo mpaka akikumbuka wajibu wake!!
 
Kuchepuka kwa mwanaume ni kitu kisichozuilika, ila nawasii ndugu zangu tuchepuke lakini tuhakikishe wake zetu na watoto wako, wako kwenye mazingira mazuri. Mfano, mfanyie yafuatayo mkeo:-
  • Mpe biashara amiliki
  • Mjengee nyumba ya gorofa kama uwezo unao
  • Mnunulie usafiri mkubwa, kuanzia cc4000
Ukifanya hayo yote lazima mkeo ataendelea kukuheshimu hata kama atagundua unachepuka; tofauti na hapo ni kukaribisha umasikini juu ya umasikini.
Pole
 
Umesema kweli kabisa,kika mwanaume kwa uwezo wake,amtimizie mkewe na mkewe aone dhahiri kuwa mumewe anamjali,sasa hapo akichepuka,mke hatafura sana
 
Back
Top Bottom