Kuchepuka kwa mwanaume ni kitu kisichozuilika

Kuchepuka kwa mwanaume ni kitu kisichozuilika

Khe ndio mnaleta mabalaa majumbani kwenu, Kuna mwanasheria wa wilaya x huko aliwekwa karantini na familia yake yote sababu tu kimada wake alikutwa na corona.... Ikabidi kimada aulizwe alikutana na nani katika mizunguko yake si akataja kalala na mwanasheria wa wilaya.... Ikabidi jamaa awekwe karantini na familia... Nilimuonea huruma mke wake maskini upuuzi wa mumewe ukampeleka yeye karantini..... Mtulie wanaume hayo mashimo hayana tofautiiiiiii eeeeeeh

Sent using Jamii Forums mobile app

Ndio mnavyojidanganyaga kuwa hayana tofauti🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom